tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Wakuu,
Lema anasema njia ya chuki haitoki na kwamba hawezi kusimama kwenye stage na kuanza kuhamasisha fujo
Mimi ni mjumbe wa Kamati Kuu ya chama. Mnataka nipande jukwaani nikahamishe fujo? Mnataka hiki chama kifutwe?"
Mimi sio mwoga, nina miaka 24 kwenye siasa. Siwezi kuongea kama mtu ana miaka miwili kwenye siasa, I cannot!... Sio mwoga, pengine nimekuwa na hekima. Nimejua njia ya chuki haitoki. Njia ya chuki haitoki! Na hii kama ni usaliti narudia, nafanya usaliti hadharani: njia ya chuki haitoki!"