Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Novemba 1, 2026, Jijini Arusha, Mwanasiasa na Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Godbless Lema, ameeleza kuhusu uhusiano wake na Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
"Simchukii Mbowe na hatujawahi kuwa maadui na Mbowe, he is my brother. Nilimpinga kwa sababu ya principle za kisiasa, Sikumpinga kwa sababu ni adui yangu. Kwa hiyo hata nikitaka kumuona Mbowe hakuna mpumbavu yoyote na muomba ruhusa, yaani nikitaka nasema nataka kukutana na Mbowe hakuna mpumbavu yoyote namuomba ruhusa na kukutana naye itakuwa siri"-Amesema Lema
"