Lema: Ripoti ya Jaji Lila viongozi wengi wa CHADEMA wataishia Jela

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akizungumza na Wanahabari Jijini
Arusha

"Wa ulinzi wa usalama wa taifa wakakubaliana waseme hivi waliokufa kwenye vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025 ni watu 518."

"Nikawaambia kwa hiyo unafikiri hizo kesi atapewa nani? Wambieni wananchi wenu wasipokuwa makini kuhamasika kujali haki na msingi wa viongozi wao kupigania haki viongozi wenu wote wataishia jela."

"Akaniambia unazijua zilizorejea? Wakaratibu mkaangalia aliyeratibu aliyefainansi aliyefanya nini, aliyefanya nini."

"Sasa hapa tulipo lazima tutoke. Hatuwezi kutoka bila nguvu ya umma. Hatuwezi kutoka bila nguvu ya umma. Hatuwezi kutoka nguvu ya umma."

"Na ndio maana mimi kwenye mikutano yangu siku hizi naongea na wananchi siongei na serikali."

"Nasema nyie ndio sababu huyu anayelaumu wananchi wameanza kukata tamaa. Sio nalaumu wananchi wameanza kukata tamaa."

"Wananchi ndio sababu na wananchi ninaowasikia nyie ndio sababu. Kama kukata tamaa kweli kata tamaa vizuri nyie ndio sababu. Nyie ndio sababu."

"Mmoja aliniambia pale mahakamani mheshimiwa Yaani wakiwaweka ndani nyie nikamwambia wewe mimi sio wewe. Wewe mimi sio wewe. Mwenzenu wewe mbona sasa hivi hapa Chimbiki?"

"Wananchi mmenisikiliza kuna kitu kinaitwa tume ya kujijiliza. Maaskofu mnisikilize, mashehe na kila mtu."

"Na kuna mada za watu 518 mada za watu 518 na tume imepewa zilizorejea serikali inataka kujiclear."

"Nani anapewa hizo kesi? Nani anapewa hizo kesi? Mkaamka nyie umma mkasema jambo lile lilikuwa ni la serikali na mkalinda viongozi wenu kwa umoja wenu wataishia jela."

"Leo ninapoongelea na nyinyi katibu wa kanda ya Nyasa yuko katibu wa kanda ya Serengeti yuko Mnyawani yuko nje kwa dhamana na anahisi atakuwa anajifichaficha."

"Una makatibu karibu wanne wa kanda Chama hiki hakikusudii na nilisema hivi na hii imeleta shida kweli."

"Hii ndio imeanza kuleta shida mtandaoni. Nilisema hivi chama hiki hakikusudii kupanga uasi hakikusudii kupanga fujo kitafanya mikakati yake na mipango yake kupitia njia za kidemokrasia haki na kuhamasisha watu kutafuta nuru katika taifa hili."

"Unaona huyu ameanza kuwa muoga. Maneno gani haya? Hivi waheshimiwa wananchi"
 
Lazima kutahadharisha. Kazi ya kupambaña na wahuni, ndio kwanza inaanza
 
LEMA NI ANITHI WA AKILI.....CHADEMA WANATAKIWA KUMUONDOA CHAMANI HARAKA SANA..
NA SHAURI, WASIMWACHA HATA MIEZI 2 TOKA SASA ..PIA WAMWONDOWE MBOWE ...WAKIPUUZA HUU USHAURI WANGU SHAURI YAO
 
Ndio baba wa taifa wakati anapigania uhuru wa Tanganyika alienda kushirikiana na wazaramo wa pwani
 
Huyu kachanganyikiwa?. Ndio maneno Gani hayo? Yeye shida yake ni wananchi sio CCM.
 
Lema anajaribu kuwaweka sawa juu ya njia mliyochagua...mmechagua njia ambayo hamuiwezi, hamjawa tayari nayo na wala hamkujiandaa nayo.

Harakati za kinafiki nafiki zisizoeleweka, Leo mnapambana na HP kesho HP mnasema ametubu mnambatiza ukamanda.... bado hamjabalehe kwenye haya mambo tafuteni modality nyingine ya siasa.

ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni.
 
Kama kweli ni wanafiki ruhusuni uchaguzi wa huru na haki hapo ndipo utajua ukweli
 
siku ukijua China kwanini hakuna uchaguzi wa Rais ndio utajua kwanini CCM haiwezi kuruhusu uchaguzi huru na wa haki.

Vyama vyenyewe ndio hivi vyakufanya uchaguzi na kuvipa nchi?? bora tupambane CCM iwe bora na tuachane na mfumo wa vyama vingi, tuwe tu na team ya wabobezi ndani ya CCM itakayotupa Rais wa nchi kuliko huu mfumo wa kila mtu kupiga Kura.

ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni
 
Kwahiyo unakiri kuwa uchaguzi huru na wahaki ukifanyika ni kwamba cccm hawatashinda? Tafsiri yake ni kwamba wananchi hawaitaki ccccm
 
LEMA NI ANITHI WA AKILI.....CHADEMA WANATAKIWA KUMUONDOA CHAMANI HARAKA SANA..
NA SHAURI, WASIMWACHA HATA MIEZI 2 TOKA SASA ..PIA WAMWONDOWE MBOWE ...WAKIPUUZA HUU USHAURI WANGU SHAURI YAO
Nakubaliana na wewe. Indoa Lema ,nilidhani leo atajitoa chadema
 
siku ukijua China kwanini hakuna uchaguzi wa Rais ndio utajua kwanini CCM haiwezi kuruhusu uchaguzi huru na wa haki.

Vyama vyenyewe ndio hivi vyakufanya uchaguzi na kuvipa nchi?? bora tupambane CCM iwe bora na tuachane na mfumo wa vyama vingi, tuwe tu na team ya wabobezi ndani ya CCM itakayotupa Rais wa nchi kuliko huu mfumo wa kila mtu kupiga Kura.

ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni
Wachina wanawaza maendeleo ya nchi na nidhamu Kali dhidi ya wahujumu uchumi.
 
siku ukijua China kwanini hakuna uchaguzi wa Rais ndio utajua kwanini CCM haiwezi kuruhusu uchaguzi huru na wa haki.

Vyama vyenyewe ndio hivi vyakufanya uchaguzi na kuvipa nchi?? bora tupambane CCM iwe bora na tuachane na mfumo wa vyama vingi, tuwe tu na team ya wabobezi ndani ya CCM itakayotupa Rais wa nchi kuliko huu mfumo wa kila mtu kupiga Kura.

ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni
We kweli matako
 
China unaifananisha na Tanzania? Hiyo ccm haiwezi kuwa bora hadi kusiwe na vyama vingine? Kipi kinafanya msiifanye ccm kuwa bora sasa, hadi vyama vingine visiwepo? Ukiona huwezi kuwa bora kwenye ushindani, usitegemee utakuwa bora hata ukiwa peke yako. Siku za mwanzo wa vyama vingi ccm ilitumia usingizi wa watanzania kuwaburuza, baada ya watu kuamka, ccm imeona haiwezi tena, na haitaweza kiongozi bila mbeleko ya dola na hata mauaji. Kenya hapo KANU imekufa, na Kenya ina uchumi bora kuliko Tanzania, ww ndio unatuletea mifano ya China kwa hawa wachovu wa ccm?

Ni hivi, mabadiliko yakifika yamefika, hata mtumie nguvu vipi, hamuwezi kuchumoa.
 
siku ukijua China kwanini hakuna uchaguzi wa Rais ndio utajua kwanini CCM haiwezi kuruhusu uchaguzi huru na wa haki.

Vyama vyenyewe ndio hivi vyakufanya uchaguzi na kuvipa nchi?? bora tupambane CCM iwe bora na tuachane na mfumo wa vyama vingi, tuwe tu na team ya wabobezi ndani ya CCM itakayotupa Rais wa nchi kuliko huu mfumo wa kila mtu kupiga Kura.

ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni
Ukiona mtu anajitambulisha kwa signature ya Yemeni basi huyo ni empty brain
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akizungumza na Wanahabari Jijini
Arusha

"Wa ulinzi wa usalama wa taifa wakakubaliana waseme hivi waliokufa kwenye vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025 ni watu 518."

"Nikawaambia kwa hiyo unafikiri hizo kesi atapewa nani? Wambieni wananchi wenu wasipokuwa makini kuhamasika kujali haki na msingi wa viongozi wao kupigania haki viongozi wenu wote wataishia jela."

"Akaniambia unazijua zilizorejea? Wakaratibu mkaangalia aliyeratibu aliyefainansi aliyefanya nini, aliyefanya nini."

"Sasa hapa tulipo lazima tutoke. Hatuwezi kutoka bila nguvu ya umma. Hatuwezi kutoka bila nguvu ya umma. Hatuwezi kutoka nguvu ya umma."

"Na ndio maana mimi kwenye mikutano yangu siku hizi naongea na wananchi siongei na serikali."

"Nasema nyie ndio sababu huyu anayelaumu wananchi wameanza kukata tamaa. Sio nalaumu wananchi wameanza kukata tamaa."

"Wananchi ndio sababu na wananchi ninaowasikia nyie ndio sababu. Kama kukata tamaa kweli kata tamaa vizuri nyie ndio sababu. Nyie ndio sababu."

"Mmoja aliniambia pale mahakamani mheshimiwa Yaani wakiwaweka ndani nyie nikamwambia wewe mimi sio wewe. Wewe mimi sio wewe. Mwenzenu wewe mbona sasa hivi hapa Chimbiki?"

"Wananchi mmenisikiliza kuna kitu kinaitwa tume ya kujijiliza. Maaskofu mnisikilize, mashehe na kila mtu."

"Na kuna mada za watu 518 mada za watu 518 na tume imepewa zilizorejea serikali inataka kujiclear."

"Nani anapewa hizo kesi? Nani anapewa hizo kesi? Mkaamka nyie umma mkasema jambo lile lilikuwa ni la serikali na mkalinda viongozi wenu kwa umoja wenu wataishia jela."

"Leo ninapoongelea na nyinyi katibu wa kanda ya Nyasa yuko katibu wa kanda ya Serengeti yuko Mnyawani yuko nje kwa dhamana na anahisi atakuwa anajifichaficha."

"Una makatibu karibu wanne wa kanda Chama hiki hakikusudii na nilisema hivi na hii imeleta shida kweli."

"Hii ndio imeanza kuleta shida mtandaoni. Nilisema hivi chama hiki hakikusudii kupanga uasi hakikusudii kupanga fujo kitafanya mikakati yake na mipango yake kupitia njia za kidemokrasia haki na kuhamasisha watu kutafuta nuru katika taifa hili."

"Unaona huyu ameanza kuwa muoga. Maneno gani haya? Hivi waheshimiwa wananchi"
Lema naye ni kama mjinga hiyo report itafanya viongoz wa chadema waishie jela kivipi, anajua admissibility of evidence kweli, hiyo report haina Cha kufanya Kwa viongoz wa chadema hizo ni story za vijiweni, kwamba hiyo report ikitoka ndo chadema wafungwe bila mchakato wa kimahakama au kwasababu kama utakuepo mchakato wa kimahakama hakuna itakachofanya maana itakuwa tested to it's competency na hapo ndio itaonekana ya hovyo.
 
Lema anajaribu kuwaweka sawa juu ya njia mliyochagua...mmechagua njia ambayo hamuiwezi, hamjawa tayari nayo na wala hamkujiandaa nayo.

Harakati za kinafiki nafiki zisizoeleweka, Leo mnapambana na HP kesho HP mnasema ametubu mnambatiza ukamanda.... bado hamjabalehe kwenye haya mambo tafuteni modality nyingine ya siasa.

ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni.
Wana CHADEMA kuwekwa ndani, kuuliwa, kubambikwa kesi nakutndwa kwa hiyana , haya mambo yameanza zamani kabla ya septemba 29. Ripoti ya jaji lila itakuwa inaendeleza uonevu dhidi yao.
Asiyeona hilo ni zuzu. Serekali ya CCM imewatenda kila lililo baya.
Btw , CCM kama hawako tayari kwa mfumo wa vyama vingi ni bora wakaitangazia dunia kuwa Tz ni ya chama kimoja na dunia iwekewe hivyo, kama wachina walivyo. Kuliko kuishi kinafiki kama wafanyavyo sasa
 
Back
Top Bottom