Kuna tofauti gani kati ya Wazanzibari wengi kujiunga na kufanya kazi katika TISS (Idara ya Usalama wa Taifa) na Watanzania kutoka Bara kushika nafasi za juu za uongozi katika JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) na Jeshi la Polisi?
Hebu tuangalie ukweli uliopo mitaani bila kuogopa mtu. Taifa letu limefika mahali ambapo viongozi wetu wamegeuza nchi kuwa shamba la bibi, wanajiamulia mambo yao wanavyotaka wao na hawana habari kabisa na maisha magumu ya wananchi wa chini. Watu wanakufa na njaa, vijana wanazunguka mtaani hawana...
viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele
Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
fedha
harakati
katika
kitu
kuliko
mbele
misingi
msimamo
pesa
sana
siasa
siasa za upinzani
thamani
uaminifu
upinzani
viongozi
wachache
wachaga
wengi
wote
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akizungumza na Wanahabari Jijini
Arusha
"Wa ulinzi wa usalama wa taifa wakakubaliana waseme hivi waliokufa kwenye vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025 ni watu 518."
"Nikawaambia kwa hiyo unafikiri hizo kesi atapewa nani? Wambieni wananchi wenu...
Serikali ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia, kuongoza na kuendesha shughuli za eneo Fulani kama vile shule, kijiji, chuo au nchi kwa mujibu wa Katiba na sheria za sehemu husika au nchi husika.
Ikumbukwe kuwa serikali zote Duniani ni madhabahu ya Mungu, yapaswa kuheshimiwa. Na hakuna mtu...
Suala la Oct 29, 2025 viongozi wa Juu wa kiislam ni kama haliwahusu: uongozi wa TEC ndio umekuwa mstari wa mbele kuhoji uhalali wa mauaji ya Oct 29. Imepelekea ionekane kama hili suala lipo kidini zaidi.
Ninaishukuru TEC kwa kutojali huo mtazamo na kuendelea kunenea HAKI BIL BATIL. Naishukuru...
Hoja ya Komredi Kawaida kuhusu wajibu wa viongozi wa dini katika maadili ya waumini inastahili mjadala wa kina. Si kwa sababu viongozi wa dini wanapaswa kubeba makosa yote ya wanasiasa, bali kwa sababu malezi ya kiroho na kimaadili ni sehemu ya dhamana yao.
Katika maadhimisho ya kuwaombea...
Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, ameiagiza Kamati husika ya Bunge kuwahoji watumishi wa umma wanaodaiwa kukiuka Waraka wa Serikali wa mwaka 2021 unaoelekeza taratibu za ununuzi wa magari ya serikali, na kuchukua hatua stahiki dhidi yao.
Zungu amesema kutokana na hali ngumu ya kiuchumi duniani...
Wafanyabiashara katika eneo la Temeke Mwisho tumepewa barua za kutakiwa kuondoka kupisha eneo hilo kwa ajili ya mwekezaji. Viongozi wanaeleza kuwa eneo hilo lina mgogoro, huku kukiwa na taarifa kuwa kampuni ya GSM ndiyo inayotarajiwa kuwekeza.
Hata hivyo, wafanyabiashara tulikabidhiwa eneo hilo...
Anonymous
Thread
barua
eneo
hilo
kupisha
mgogoro
mwekezaji
mwisho
sehemu
temeke
viongozi
wadau
Kwa 🇹🇿 Mfano
Wako wapi watu kama JK Nyerere, Rashid Kawawa, Getrude Mongella na viongozi wengine wa zamani?
Ukikaa ukasikiliza "viongozi" wa sasa unashikwa na hasira, hawana huruma, hekima, staha ya midomo.
Mfano hawa wa Tanzania wengine, wengi hawana maadili kabisa na competence. Uchawa na...
Siku ya Pili ya Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 70 ya Usajili wa Jumuiya za Kiraia unaoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam, ambapo viongozi wa Jumuiya na wadau wengine wameshiriki mdahalo kuhusu mada mbalimbali ikiwemo Umuhimu wa Kudumisha Amani na Utulivu nchini katika...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimemsikia Kiongozi Mmoja wa Dini Eti anasema Tanzania Tumetoa Wakimbizi. Ningependa kusema Tanzania na Kama Taifa hatuna wakimbizi na Hatujatoa Wakimbizi . Sisi ni Taifa na Kisiwa cha Amani Cha Kupigiwa Mfano Duniani Kote.
Viongozi Wa Dini wajifunze kutofautisha Kati...
Utekaji utaishia kuangusha viongozi Tanzania maana hata viongozi sasa baada ya Nchimbi kuwekwa kizuizini na utekaji kuendelea mpaka Kenya hii serikali sasa inajifatutia majanga sio tu kwa Tanzania bali sasa hata wakina Rutto watakuwa maadui wa watekaji
Habari!
Twende haraka kwenye mada ya maombolezo ya mashujaa wa 0ct 29,
Tangu March 2021 alipoapishwa kiongozi yule dhalimu, takwimu za safari za kuzurura huko na huko duniani Kwa gharama kubwa za Kodi zetu ni kubwa mno, Kila tulipolalamika, tulijibiwa kwamba mimi mamaenu nisipotoka mtakula...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewakaribisha Watanzania, hususan viongozi wa jumuiya za kiraia, kushiriki mkutano utakaofanyika Mlimani City, Dar es Salaam, kuanzia Oktoba 28 hadi 30, 2026.
Mkutano huo unalenga kujadili changamoto zinazokabili jumuiya za kiraia, kuimarisha...
Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
chama
hamasa
harakati
hawana
imara
injini
kiongozi
majina
makubwa
mbeya
mfano
siasa
siasa za upinzani
tanzania
upande
upinzani
upinzani tanzania
viongoziviongozi wa vyama
vyama
vyama imara
wako
wenye
Nimeikuta hii video random mtandaoni, ukikaa na kui analyze kwa upana ni nchi nyingi za Africa
jamii inayolazimika kuomba, kushukuru na kunyenyekea ili iweze kuishi
Tunasikia kauli kama “Mradi wangu,” “Nitatoa pesa,” “Nitaleta maendeleo,” na “Mimi ndiye niliyesaidia.” Tunaomba kwa...
Naomba viongozi wa ccm ambao ni wakatoliki kama Philipo mpango na wengine siku ya kuwaombea waliouwa na utawala wa ccm tarehe 29/10/2025.
Tunataka wasome masomo yote tafadhali nina hakika Mungu atakujibu
Kwanza tunaombea marehemu,pili tunaombea wote walio ua hao watoto wetu Mungu atende atakavyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.