viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mateso chakubanga

    Huenda wakati wowote Mahakama ya uhalifu wa kivita ikatoa kibali cha kukamatwa viongozi kadhaa wa M23 na Rwanda

    Kufuatilia vikao vizito vinavyoendelea vyenye agenda ya kurudisha utulivu na amani DRC pia ushahidi na hesabu za idadi vta vifo vya raia, ubakaji, utesaji na mauaji kadhaa mamlaka za haki zinategemea kukaa na kumshauri mwendesha mashtaka mkuu wa ICC kuorodhesha ushahidi na wahusika katika...
  2. A

    DOKEZO Viongozi wengi wa taasisi hawana busara ya kuongoza watumishi wa Umma

    Mimi ni mfanyabiashara ambaye nimefanikiwa sana lakini wapo baadhi ya ndugu zangu ambao ni watumishi wa umma katika taasisi mbalimbali. Malalamiko ya ndugu zangu kuhusu namna ambayo viongozi wao wa taasisi wanavyowafanyia yanafanana karibu kila taasisi. Viongozi wanafanyia kazi habari za...
  3. J

    Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

    Ninaandika huu ujumbe nikiwa katika hali ya uchungu mkubwa. Nimechoka! Nimevunjwa moyo! Nimeonewa kiasi cha kuhisi mimi si binadamu tena. Kila siku naamka nikiwa na maumivu mapya, nikiwa na mzigo mzito wa uonevu moyoni mwangu. Ninaomba msaada! Ninaomba mwenye kusikia kilio cha mnyonge anisaidie...
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    "No Reform, No Election" mbona imewapanikisha watu kibao kuanzia viongozi mpaka wataalam wa siasa,wazee si mnakubalika, au?

    Naona kila mtu kapaniki, watu mlikuwa na matokeo yenu mkononi nini? Fanyeni siasa, si huwa mnajisifu mnakubalika na raia sasa wasiwasi wa nini!!! Iwekwe tume huru pale watu tupige kura. Watu walikuwa wanafanya upinzani kama mtaji tu. Tushachoka maigizo yenu. Hakuna nchi iliyowekeza kwenye...
  5. REJESHO HURU

    Viongozi mnaona hii movement ya NON EMPLOYED TEACHER ORGNIZATION (NETO) msifumbe macho

    Vijana wasomi wenye taluuma ya uwalimu wasio na ajira wameanua kuanzisha movement jiulizeni je wakiungwa mkono na taaluma nyingine hali itakuwaje, kumbukeni wazazi waliowasomesha nao wanasononeka kwaiyo hata wazazi nao watawaunga mkono, wanafunzi vyuoni watwaunga mkono Tunajua mna mabomu mna...
  6. Stephano Mgendanyi

    Wanawake Viongozi wa Simiyu Wapatiwa Mafunzo Kuimarisha Utawala Bora

    📍 WANAWAKE VIONGOZI WA SIMIYU WAPATIWA MAFUNZO KUIMARISHA UTAWALA BORA 📅 19 February 2024 | Simiyu, Bariadi – Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mery Pius Chatanda, ameongoza ufunguzi wa mafunzo maalumu kwa wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji kutoka mkoa wa...
  7. Moaz

    Njia wanazotumia viongozi wa serikali kufanya ufisadi

    Viongozi wa serikali katika nchi nyingi za Dunia ya Tatu hutumia mbinu mbalimbali za kifisadi ili kuiba pesa za wananchi huku wakijifanya kuwa waadilifu na wenye dhamira ya maendeleo. Wanafanya hivi kwa kutumia mifumo rasmi ya serikali, udhaifu wa sheria, na mbinu za ujanja wa kiutawala. Hapa...
  8. upupu255

    Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba

    Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba "Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe, sasa kwa hali hii Refa hawezi kuchezesha mpira" MPIRA”. Huyo ni moja ya mzee wa Yanga akiwalalamikia...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?

    Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume) wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi. Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao...
  10. GENTAMYCINE

    Mkijijua kuwa Mmeoa Watoto wa Wakubwa (Viongozi) Barani Afrika kuweni makini mno kwani mkikengeuka tu Mnatumbuliwa na Kukomolewa

    Ninaomba kujua ni Vivutio gani vikubwa na vizuri naweza kuvikuta Rufiji kwani GENTAMYCINE nataka kwenda Kutalii huko.
  11. MBOKA NA NGAI

    Raia mmoja wa Burundi awahimiza wenzake kuwa makini na viongozi wao

    https://x.com/WilsonLixon/status/1890756407906939004
  12. Mi mi

    Xi kukutana na viongozi wa makampuni ya kiteknolojia China

    Kikao hicho kinatazamiwa kufanyika jumatatu ya wiki ijayo. Xi to chair symposium attended by Jack Ma and other Chinese business leaders, sources say By Reuters February 14, 202512:25 PM GMT+3Updated a day ago Summary Companies Symposium is likely to be held on Monday, sources say Attendance by...
  13. P

    Naandika, Nafuta: Viongozi tuoneeni huruma

    Kila nikikaa kuangalia maisha ya mtu mweusi ulimwenguni, moyo unauma na hakuna dalili kuwa mtu mweusi akuja kuishi kwa furaha. Tatizo lipo kwenye Ubongo wa walio wengi. Sample za kina Nyerere, Thomas Sankara, Lumumba, Nkrumah, Magufuli ni chache sana na zipinapigwa vita nje ndani. Waafrika...
  14. The Palm Beach

    One on one Interview: Mch. Godfrey Malisa (anayesemekana kufukuzwa CCM) akifungukuka. Asema wamevunja katiba, hawafai kuwa viongozi tena..!!

    https://youtu.be/-NdDsArLVlU?si=eH35yrxDVCmdL3QM ➡️Huyu mzee anayesemekana kuwa amefukuzwa uanachama CCM, ni wazi kuwa yuko so determined kuhakikisha kuwa mchakato wa kumpitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea urais huko CCM unarudiwa kwa kufuata taratibu na katiba...
  15. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Mwita Waitara: Kuna uwepo wa hujuma zinazofanywa na viongozi wa CCM Jimboni kwangu ili ni sishinde Ubunge

    Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amedai kuwa kuna uwepo wa hujuma zinazofanywa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimboni kwake zenye nia ya kuhakikisha hashindi kiti cha ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  16. Waufukweni

    Pre GE2025 VIDEO: Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche

    Akiwa nyumbani kwao Tarime, John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi pamoja na familia yake
  17. The Watchman

    Viongozi wa kanisa Katoliki na kanisa la kristo nchini DRC wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23

    VIONGOZI wa Makanisa Katoliki Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENCO) pamoja na Kanisa la Kristo nchini humo (ECC), mapema leo Februari 12, 2025 wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23 lengo likiwa ni kujadili udumishaji amani nchini humo. Viongozi hao...
  18. OKW BOBAN SUNZU

    Mh. Kiasi: Viongozi wa Dini wahangaike pia na njaa ya haki ya Waumini wao

    “Natoa wito kwa Viongozi wetu wa Dini, Maaskofu, Mapadri na Masheikh wetu, na wao ni Watanzania, yakiharibika yanaharibika na kwao yakitengamaa yanatengamaa na kwao, wasikubali kuambiwa wajibu wao ni kuombea roho za Waumini wao tu, wajiulize je miili ya Waumini wao ipoje, wahangaike na njaa ya...
  19. R

    Mfalme wa Jordan kaenda white house kamuunga mkono Trump kuwahamisha wapalestina, Misri na nchi nyingine kukutana Saudi Arabia kusuka mpango kazi

    Mfalme Abdullah wa Jordan na Mwanawe Wamtembelea Trump Ikulu Mfalme Abdullah wa Jordan na mwanawe wametembelea Ikulu ya White House kwa mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump. Mkutano huo uliangazia juhudi zinazoendelea za kubadilisha mwelekeo wa Mashariki ya Kati, hasa kuhusu uhamishaji...
  20. Mwanadiplomasia Mahiri

    Kwanini Mwaka wa Uchaguzi Mkuu, viongozi wengi au watu maarufu hufariki?

    Mwaka 2015 wakati Taifa linajiandaa na Uchaguzi Mkuu, baadhi ya watu mashuhuri walipoteza uhai. Wachache wao ni kama Mchungaji Christopher Mtikila, Emanuel Makaidi, Deo Filikunjombe nk Nimeuliza haya, maana miezi michache ijayo Taifa litakuwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa kuchagua Rais, Wabunge na...
Back
Top Bottom