Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Siku ya Pili ya Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 70 ya Usajili wa Jumuiya za Kiraia unaoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam, ambapo viongozi wa Jumuiya na wadau wengine wameshiriki mdahalo kuhusu mada mbalimbali ikiwemo Umuhimu wa Kudumisha Amani na Utulivu nchini katika uendeshaji wa Jumuiya za Kiraia na Uwekezaji na fursa za kukuza Uchumi zilizopo katika Jumuiya za Kiraia.