Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Ndani ya siku 3 tu, Doctor Charles Sokile, ambaye ni mchungaji makanisa ya TAG-amegongwa na bodaboda akiwa anatoka kwenye maonyesho ya Tonny Kapole kijitonyama.
Huyu mwanafunzi wa TIA amegongwa akiwa anakwenda chuo, /Kwa siku si chini ya maiti 5 zinazoingizwa mochwari kwa ajali za Boda boda...
Suala la kutekwa kwa Mtanzania Jijini Nairobi bado halijapata jawabu kwani Wakili wa serikali amesema suala hilo lipo kwenye Uchunguzi hadi sasa.
Suala hilo limeibua mnyukano wa kisheria Wakili Martha Karua amesema leo Mwaipaya alitakiwa kuletwa akiwa hai au amekufa mahakamani na kuiomba...
"
Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao.
Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
Wakazi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam wanatarajiwa kukabiliwa na upungufu wa huduma ya maji kwa siku nne kuanzia Novemba 3 hadi 6, 2026, wakati Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikifanya matengenezo ya bomba kuu lenye kipenyo cha inchi 72 linalopokea maji...
Je Lema amepangwa atuandae kisaikolojia?
Kwa nini ameongea Baadhi ya mambo yaahakamani siku Tano kabla ya hukumu ya Tundu lisu?
Mfano eti kuna mbunge wa ujerumani alisema ni chadema na Diaspora ndio chanzo cha mauaji.
Hapa lema ni kama anaunga mkono wauaji na kulaumu waandamanaji.
Hapa ni kama...
Agizo lililotolewa na Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, mwezi Oktoba 2026, mkoani Shinyanga, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Msalala, wilayani Kahama, limeanza kutekelezwa baada ya vifaa na mitambo ya ujenzi kuanza kurejeshwa katika maeneo ya miradi husika, hatua inayolenga kuhakikisha...
Nilichojionea kwa nyakati hizi ni kwamba,mtu unampenda mwanamke,unamuomba appointment akija unampa facts zako na lengo lako,asipokuja,hata ule muda wa kumnyenyekea haupo tena na ndiyo imetoka mazima na kama kulikuwa na kanamba unakafuta kabisa na ku block kabisa...
Labda wale wenye rika la...
Na ndio maana sikuhizi gereji za wachina zinazidi kuwa na demand kubwa, mtu anaona ni heri alipie mara tatu kuliko kwenda garage za mafundi wabongo.
Mafundi wetu wana tatizo moja kubwa: hawajui kusema "SIJUI."
Kila kitu wanalazimisha kukitengeneza hata kama hawana uelewa nacho. Mwisho wa siku...
Siku ya kumwombea Nyerere hufanyika kila mwaka, misa ya Mkapa hivyo hivyo, misa ya wafu wote waliotangulia mbele ya haki sisi uwa tunaiadhimisha tu.
Tofauti ya marehemu wengine na hawa wa Oktoba 29, 2025 tunawaombea ibada maalumu kwa maana hawa waliuawa na wahuni, wezi wa kura, majizi wa...
Siku ya Pili ya Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 70 ya Usajili wa Jumuiya za Kiraia unaoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam, ambapo viongozi wa Jumuiya na wadau wengine wameshiriki mdahalo kuhusu mada mbalimbali ikiwemo Umuhimu wa Kudumisha Amani na Utulivu nchini katika...
Ndugu wanajukwaa,
Naomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko na kuomba msaada wa kufikisha kilio cha wafanyabiashara wanaoendesha shughuli zao katika fremu za biashara za maua zilizopo eneo la Mbuyuni barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam.
Mwaka jana 2025, tulikutana na...
Anonymous
Thread
barabara
biashara
haki
kando
kando ya barabara
kuvunjwa
malalamiko
ndani
sikusiku tatu
ufafanuzi
wafanyabiashara
Uongozi wa unalazimisha watu wafanye usajili ndio wapate room na Mfumo wa chuo haufanyi kazi hakuna control number za NHIF wengine malipo hayasomi kwenye mtandao.
Wanafunzi wameshalipia hela ya hostel ila chuo hskitaki kutoa vyumba Tukalale wapi. Ukizingatia tunashindwa kuksmilisha usajili kwa...
Dont take the love you are given for granted.
Ukipata muda na kama bundle yako inakuruhusu, basi pita hapa youtube kisha subscribe, like and hit the notification button kwa burudani zaidi.
https://youtu.be/vCIqVwP57yI?si=GGpZYsLeQJjRumpt
R.i.e.p wapendwa wetu waliotutoka october 29 2025
Happy birthday Shujaa, na Mzalendo Magufuli
Tunamshukuru Mungu Kwa kutuletea Tanzania,kazi uliyoifanya Kwa muda mfupi ni ya kutukuka.
Baadhi yetu, siku kama ya Leo mwaka jana 2025, tulibeba mabango, na wengine wakabeba bango lenye picha yako kama ishara ya kukumbuka uzalendo na kuchukia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.