Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Ndani ya siku 3 tu, Doctor Charles Sokile, ambaye ni mchungaji makanisa ya TAG-amegongwa na bodaboda akiwa anatoka kwenye maonyesho ya Tonny Kapole kijitonyama.
Huyu mwanafunzi wa TIA amegongwa akiwa anakwenda chuo, /Kwa siku si chini ya maiti 5 zinazoingizwa mochwari kwa ajali za Boda boda.
Hawana leseni, wanakunywa visungura, wanasababisha ulemavu na mayatima mbali na wajane!