Je Lema amepangwa atuandae kisaikolojia?
Kwa nini ameongea Baadhi ya mambo yaahakamani siku Tano kabla ya hukumu ya Tundu lisu?
Mfano eti kuna mbunge wa ujerumani alisema ni chadema na Diaspora ndio chanzo cha mauaji.
Hapa lema ni kama anaunga mkono wauaji na kulaumu waandamanaji.
Hapa ni kama lema ameandaa watu kua Lisu ataenda kuhukumiwa Kwa sababu yeye ndie mwenyekiti wa chadema na Chadema inahusika na maandamano.
Ukiangalia Lema yuko katika mpango maalumu wa kupima na kuwaandaa watanzania kuhusu hukumu itakayotolewa siku Tano zijazo.
Kwa sababu tayari lema kaungana na serikali kua makosa ni ya waandamanaji na chazo ni chedema amabachowemyekiti wake ni lisu pampja na Diasporas.
Hii press ya lema ni maelekezo sio Bure.
(Kifo cha kaka yake Lisu siku sita kabla ya hukumu ya Lisu ingawa hii sio sehemu ya mada ya Lema) na press ya Lema ya siku Tano kabla ya hukumu zinanifikirisha sana.
Kwa kifupi Lema anatumika.
Mfano kama mwenyekiti Lisu akiwa mahakanani alitania au kusema ukweli kua makamu kamape pole Rais Samia Kwa kufiwa na Mume wake,yeye Lema alikimbilia kumpa pole Samia kabla ya Makamu Mwenyekiti kama nani?
Alitumwa na nani?
Kwa ni nini kiherehere cha kurukia maagizo aliyopewa Makamu akawahi yeye kupeleka pole?
Lema alidandia basi sio lake,basi lilikua la makamu Mwenyekiti.
Lema alianza kazi ya usuluhishi wa Mo29 peke yake,nani alimapa mamlaka hayo?
Kama lema anaona kua wakosefu walikua ni Chadema na Diasporas maana yake Tundu lisu ana hatia.
Lema ameitisha press ya kuwaponda waandamanaji Chadema na Diasporas siku Tano kabla ya hukumu.
Lema anatuandaa watanzania kisaikolojia.
Lema anatumika,na kuanzia Sasa hukumu ya Lisu imeshajulikana Kwa mujibu wa Lema,kua mauaji yalisababishwa na Chadema na Diasporas, Chadema ambayo Mwenyekiti wake ni Lisu.