lisu

The Lisu people (Lisu: ꓡꓲ‐ꓢꓴ ꓫꓵꓽ; Burmese: လီဆူလူမျိုး, [lìsʰù]; Chinese: 傈僳族; pinyin: Lìsù zú; Thai: ลีสู่) are a Tibeto-Burman ethnic group who inhabit mountainous regions of Myanmar (Burma), southwest China, Thailand, and the Indian state of Arunachal Pradesh.
About 730,000 Lisu live in Lijiang, Baoshan, Nujiang, Diqing and Dehong prefectures in Yunnan Province and Sichuan Province, China. The Lisu form one of the 56 ethnic groups officially recognized by China. In Myanmar, the Lisu are recognized as one of 135 ethnic groups and an estimated population of 600,000. Lisu live in the north of the country; Kachin State (Putao, Myitkyina, Danai, Waingmaw, Bhamo), Shan State, (Momeik), (Namhsan, Lashio, Hopang, and Kokang) and southern Shan State (Namsang, Loilem, Mongton) and, Sagaing Division (Katha and Khamti), Mandalay Division (Mogok and Pyin Oo Lwin). Approximately 55,000 live in Thailand, where they are one of the six main hill tribes. They mainly inhabit remote mountainous areas.The Lisu tribe consists of more than 58 different clans. Each family clan has its own name or surname. The biggest family clans well known among the tribe clans are Laemae pha, Bya pha, Thorne pha, Ngwa Pha(Ngwazah), Naw pha, Seu pha, Khaw pha. Most of the family names came from their own work as hunters in the primitive time. However, later, they adopted many Chinese family names. Their culture has traits shared with the Yi people or Nuosu (Lolo) culture.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hii ni dalili wanajua Hukumu ya Lisu

    ! Kwa kauli hii wanajua hukumu itakuwaje! Time will tell
  2. R

    JamiiForums Tanzania LEMA FOR YOUR INFORMATION: Lisu hataki kusaidiwa. Eti ulionana na Makamu wa Rais kumsaidia Lisu! Lisu Anataka haki, si kusaidiwa

    Kumbe wewe chawa, unategemea kusaidiwa! Wakikusaidia hela unasaliti kama hivi ulivyosaliti wenzako jana
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, tuunganishe doti? Kwa nini Lema ameongea hayo siku Tano kabla ya hukumu ya Lissu?

    Je Lema amepangwa atuandae kisaikolojia? Kwa nini ameongea Baadhi ya mambo yaahakamani siku Tano kabla ya hukumu ya Tundu lisu? Mfano eti kuna mbunge wa ujerumani alisema ni chadema na Diaspora ndio chanzo cha mauaji. Hapa lema ni kama anaunga mkono wauaji na kulaumu waandamanaji. Hapa ni kama...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania What a timing: kifo cha Adv. Alute Lisu na press ya Lema

    Je hii ni coincidence au kuna mtiririko anuao kati ya nukta? Tafakari bila kuendekeza HISIA.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Alute Mgwahi Lisu dada yake aongea kisàbabishi

    Alute Mughwai Lissu passed away due to long-term illness, specifically chronic kidney disease. [1] (https://www.instagram.com/p/DfMMmg3t8BG/), [2] (https://www.facebook.com/halisi255/posts/kaka-wa-tundu-lissu-alute-mughwai-lissu-afariki-duniaalute-mughwai-lissu-kaka-mk/1649353236991987/)...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lisu kuweni macho sana tena sana na TIME LIMITATION TO INSTITUTE APPEAL, ni kwa tahadhali tu!!!

    Ni tahadhali! Wala si kwamba hukumu itakuwa vile au hivi, NO. Hizi figisu alizokuwa akifanyiwa Lisu na prison eg za kunyumwa usiri, kuwekwa na wafungwa wa kunyongwa na " ukatili" wote aliofanyiwa, Rugemeleza Nshala be vigilant. Wanaweza kumwekea vigingi akakuta muda say wa ku lodge notice of...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Lissu kugoma kula ni dhaifu sana kulinganisha na mahasimu wake walivyo makatili. Wanafurahia hiyo mbinu

    Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti . Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu Mod usiunganishe uzi
  8. R

    JamiiForums Tanzania Lisu

    Yuko tayari kwa lolote
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

    Kupitia TEC, Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA na Lissu

    Bwana Lisu, usiache kula, kwa vile 6.11.2026 ni hukumu, let us wait for the hukumu, then from there, you and Chadema and all Well Wishers can decide the way forward! Ni hilo tu kwa leo!
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu kuamua kujidhuru na kujiangamiza mwenyewe kwa njaa kabla ya hukumu yake, ni kutafuata umaarufu na public sympathy isiyo na tija

    Kwasababu kwa kawaida, mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe. Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lisu kuongea na wana habari leo 24.10.2025 saa tano

    The placard tells it all Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, wanatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari leo, Oktoba 24, 2026, katika Makao Makuu ya chama hicho, Edwin Mtei House, Mikocheni jijini Dar es Salaam...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Lisu katoswa kwenye Tuzo ya Sakharov kutokana na kesi ya Uhaini inayo mkabili.

    Kutoswa kwa Lisu kwenye kinyang' anyiro cha Tuzo ya heshima ya Sakharov imesqbqbishwa na: 1. Matamshi yake aliyo yatamka ya kuhamasisha vurugu na kufanya uasi nchini. Hii sio tabia na hulka ya mpenda Demokrasia, kwa matamshi hayo ambayo dunia nzima imeyashuhudia na kuyafuatilia yamemkosesha lisu...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu hana record yoyote ya kuaminika kwamba ni mtetezi wa haki za binadamu iwe ni kwao Singida, Tanzania, Africa au kokote duniani.

    Na kwahivyo, hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV. Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake, kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ombi langu. Tar 6 Mungu saidia Tundu lisu ahukumiwe kunyongwa.

    Haya ni maombi yangu mana haitakii mema nchi hii. Tuna rais mpenda maendeleo na ameleta mapinduzi makubwa sana kila sector abapo jpm aliharibu kila kila kitu. Samia kila nchi inamtamnai akaongozw mana hana makelele yeye ni kazi tu shukrani atazipata mbinguni
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hatua ya John Heche kutamka kwamba Tundu Lisu ni Makamu mwenyekiti wa chadema taifa inatoa ujumbe gani mzito kwa wanachadema?

    What coded massages is John Heche trying to communicate to chadema party members politically speaking? Ni kipi hasa John Heche ana uhakika nacho hadi kufikia hatua ya kudai na kutamka hadharani kwamba Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na sio mwenyekiti kamili? Je, ukiwatazama...
  17. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alishinda kihalali kwenye ulimwengu wa roho na mpinzani wake mkubwa (Lisu) alikubali huku akipokea manuizo hayo kwa bashasha!

    Ulimwengu wa roho inabidi uwe Pro active sana!, Ilikua kabla hata ya uchaguzi mkuu wa Chadema Mama yetu kipenzi aliona mbali akamaliza kile ambacho kingemsumbua sana October 29, 2025, watu wanadhani ni mauaji ila sio, August 2024, rais alitembelea Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliamuru...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda CHADEMA ingekua na wabunge zaidi ya 100 wa majimbo kwa sasa, ikiwa Freeman A. Mbowe angeendelea kuwa mwenyekiti wake

    Lakini baada ya wavurugaji, vibwengo na micharuko wa kisiasa kuikamata, wameiharibu kabisa chadema na kuifanya ikose kabisa hata sifa tu za kisheria za kushiriki uchaguzi wowote ule humu nchini. Unadhani chadema walijichanganya wapi hata ikaangukia mikononi mwa vibaka wa kisiasa? Ni somo gani...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Lissu na Heche walipokuwa wakiomba kuwa viongozi wa CHADEMA Taifa, walidai Katiba ya CHADEMA ni mbovu sana wataibadilisha. Je, wamebadili nini?

    Au baada ya kupata uongozi ambao walioupata kwa hila, ghiliba na kutweza utu wa wengine, je, katiba hiyo waliyoiita mbovu sana ya chadema, sasa imekua nzuri, haina matatizo na sio mbovu tena na haihitaji marekebisho? Na mbona hakuna hata siku moja tangu hawa majamaa waropokaji wamekua viongozi...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
Back
Top Bottom