Alute ni mwanachadema?
Kama Lisu asingekuwa Mwenyekiti, je angekuwa na nini cha kuweza kusemewa na wanachadema?
Wapo wanachadema na watanzania wengi wanakufa kila leo kwa sababu mbalimbali kama ajali, magonjwa nk. Na wao huwa mna wakumbuka au hizi kumbukumbu na kusitisha shughuli za chama ni kwa ajili ya watu wanaojulikana pekee? Wengine wao hawana hadhi ya kusimamisha shughuli za chama au kukumbukwa?
Ukifa shughuli yako imeisha, maisha yako duniani yameishia hapo na waliobakia wanaendelea mbele.
Ukiweza unaamua ulie kwa ajili ya marehemu hata miaka 10, 20, 30 bila kufahya kazi yani ni kilio kwa kwenda mbele.