Mbinu ya Lissu kugoma kula ni dhaifu sana kulinganisha na mahasimu wake walivyo makatili. Wanafurahia hiyo mbinu

Mipango inasukwa vizuri na kete inachezwa vizuri sana...usidhani Lissu ni mjinga kila tukio ni mahesabu makali mbele.
Wewe subiri jinsi watu watakavyokamatwa kuelekea 29 oktoba 2026, then nchi italipuka bila kutegemewa.
Keyboard worries haisaidii kwa sasa
 
Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti .

Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo

Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu
Mod usiunganishe uzi
Bado Mwamba atabaki kuwa Shujaa, historia yake hapa duniani haifanani na mtu.
Hana hatia wala kosa, acha agomee kula mpaka kufika siku ya hukumu awe ameshakufa na Yawezekana kuna Ma-Tundu Lissu zaidi ya 1000 hayaonekani tu
 
Lissu kesi ilishaisha ile wakili wa nini tena sa hizi? Kwanza si alisema kesi anaongea mwenyewe hataki wakili?
 
Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti .

Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo

Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu
Mod usiunganishe uzi

..Lissu kugoma kula ni sehemu yake anayoweza kufanya.

..Lakini kwa ujumla zinatakiwa zifanyike jitihada kwa wale walioko nje ili kulishinikiza jeshi la Magereza kutekeleza hukumu ya mahakama kuu.

..Huu ni mwenendo mbaya sana umeonyeshwa na Magereza. Tunaweza kufika mahali Mahakama ikaamuru mtuhumiwa afungwe halafu Magereza wakagoma na kumuachia huru.
 
Mipango inasukwa vizuri na kete inachezwa vizuri sana...usidhani Lissu ni mjinga kila tukio ni mahesabu makali mbele.
Wewe subiri jinsi watu watakavyokamatwa kuelekea 29 oktoba 2026, then nchi italipuka bila kutegemewa.
POROJO
kete ingekuwa inasukumwa angekaa mwaka mzima korokoroni?
Kuna wakati lazima ukubali ushauri wewe watu wanakushauri wazo la kutokula sio zuri wewe unasema kete!
Hiyo kete ukikosa glucose mwilini kwa kutokula utaisukumaje?
 
Lakini akifa kwa njaa si itakuwa ni HERI kwa wanaomuombea anyongwe kwa uhaini wake?
Lissu yupo mahabusu kwa zaidi ya mwaka mmoja,yanayo mtokea kule hatuyajui. Tumuache afanye analoona lina mfaa kwa wakati husika,mzigo wa mateso kajitwika peke yake.
 
Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti .

Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo

Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu
Mod usiunganishe uzi
Ni kweli, kwanza akifa akiwa kwenye hunger strike kabla ya hukumu atawapunguzia kazi waliotaka kumnyonga.

Hata jamii itajuwa amekufa kwa njaa na itajuwa tu kuwa alijutia kauli zake zilizosababisha watu zaidi ya 590 kuuawa
 
POROJO
kete ingekuwa inasukumwa angekaa mwaka mzima korokoroni?
Kuna wakati lazima ukubali ushauri wewe watu wanakushauri wazo la kutokula sio zuri wewe unasema kete!
Hiyo kete ukikosa glucose mwilini kwa kutokula utaisukumaje?
Yupo ndani ya mwaka mzima kwa sababu ya udhaifu wa mahakama na pia ile rufaa ya Jamhuri. Lissu Hana kosa kwa kuchelewa kwa kesi.
 
Ni kweli, kwanza akifa akiwa kwenye hunger strike kabla ya hukumu atawapunguzia kazi waliotaka kumnyonga.

Hata jamii itajuwa amekufa kwa njaa na itajuwa tu kuwa alijutia kauli zake zilizosababisha watu zaidi ya 590 kuuawa
Kwa hivyo Lissu ndio aliwaua?
 
Watu mnakuwa na haraka ya kuongea. Hata siku Ile Lissu anaanza kujitetea mlianza hivhivi ila baadae ndio mkaelewa lengo lake.
 
Back
Top Bottom