Mbinu ya Lissu kugoma kula ni dhaifu sana kulinganisha na mahasimu wake walivyo makatili. Wanafurahia hiyo mbinu

Mbinu ya Lissu kugoma kula ni dhaifu sana kulinganisha na mahasimu wake walivyo makatili. Wanafurahia hiyo mbinu

POROJO
kete ingekuwa inasukumwa angekaa mwaka mzima korokoroni?
Kuna wakati lazima ukubali ushauri wewe watu wanakushauri wazo la kutokula sio zuri wewe unasema kete!
Hiyo kete ukikosa glucose mwilini kwa kutokula utaisukumaje?
Kwani lazima kukubali kila ushauri?Hata wa shetani?
 
POROJO
kete ingekuwa inasukumwa angekaa mwaka mzima korokoroni?
Kuna wakati lazima ukubali ushauri wewe watu wanakushauri wazo la kutokula sio zuri wewe unasema kete!
Hiyo kete ukikosa glucose mwilini kwa kutokula utaisukumaje?
Subiri basi utakubali kuwa ni porojo au siyo...mengine ni mawazo yako hukatazwi kuyaamini.
 
..Majaji na Mahakimu wagome kupinga Magereza kukaidi hukumu ya Mahakama Kuu.
Majaji na mahakimu wagome!!
Mkuu, unaikumbuka kauli ya ukaidi ya afisa magereza aliyo itoa mahakamani ya kuendelea kuwazuia wanao mtembelea Lissu hadi jaji akahamaki?
Ile kauli haikumtoka kwa bahati mbaya
 
Lissu kesi ilishaisha ile wakili wa nini tena sa hizi? Kwanza si alisema kesi anaongea mwenyewe hataki wakili?
Kesi imeisha, weka hukumu hapa inasemaje? Je kesi ikiisha huruhusiwi kutembelewa na mawakili wako, ama sheria zinasimama?
 
Ni kweli, kwanza akifa akiwa kwenye hunger strike kabla ya hukumu atawapunguzia kazi waliotaka kumnyonga.

Hata jamii itajuwa amekufa kwa njaa na itajuwa tu kuwa alijutia kauli zake zilizosababisha watu zaidi ya 590 kuuawa
Ita leta hasira kwa miaka na miaka.. na huyo mama enu na wote wanao m support hawata pata amani milele
 
Majaji na mahakimu wagome!!
Mkuu, unaikumbuka kauli ya ukaidi ya afisa magereza aliyo itoa mahakamani ya kuendelea kuwazuia wanao mtembelea Lissu hadi jaji akahamaki?
Ile kauli haikumtoka kwa bahati mbaya
SUre..
naona hata majaji wana ogopa
 
Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti .

Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo

Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu
Mod usiunganishe uzi
Nakubaliana na wewe.
Ukumbukwe pia washamtandika na risasi zaidi ya 30. OBVIOUSLY THEY WANT HIM DEAD.
 
Ni kweli, kwanza akifa akiwa kwenye hunger strike kabla ya hukumu atawapunguzia kazi waliotaka kumnyonga.

Hata jamii itajuwa amekufa kwa njaa na itajuwa tu kuwa alijutia kauli zake zilizosababisha watu zaidi ya 590 kuuawa
Ila walioua watu zaidi ya 1,000 hawajutii lolote kwakuwa wamefanikiwa kubaki madarakani kwa hayo mauaji.
 
Alisingewaleta barabarani wasingeuliwa. Hii kwa mujibu wa root cause analysis
Kama aliweza kuwaleta barabarani akiwa na miezi zaidi ya mitano jela, basi huyo ndio anayestahili kuwa rais.
 
Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti .

Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo

Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu
Mod usiunganishe uzi
You are fucking right
 
Majaji na mahakimu wagome!!
Mkuu, unaikumbuka kauli ya ukaidi ya afisa magereza aliyo itoa mahakamani ya kuendelea kuwazuia wanao mtembelea Lissu hadi jaji akahamaki?
Ile kauli haikumtoka kwa bahati mbaya

..Pakistan Majaji wamewahi kugoma kupinga kuingiliwa mhimili wa mahakama na serikali.

..Kwa hiyo hata hapa Tanzania Majaji na Mahakimu wana sababu nzito kabisa ya kugoma kupinga Magereza kukaidi hukumu ya Mahakama makuu.
 
Bado Mwamba atabaki kuwa Shujaa, historia yake hapa duniani haifanani na mtu.
Hana hatia wala kosa, acha agomee kula mpaka kufika siku ya hukumu awe ameshakufa na Yawezekana kuna Ma-Tundu Lissu zaidi ya 1000 hayaonekani
Shujaa hapaswi kufa kizembe
Bado anayo kazi kubwa mbele
 
Back
Top Bottom