sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. farfat

    JamiiForums Tanzania TAFADHALINI SANA WATU MNAOJIONA MNA DINI

    Swali langu kwenu linahitaji sana kibu tafadhali mnijibu hasa sisi watu weusi ndio nawalenga humu kama wewe ni mzungu au mwarabu pita hivi Uzi hatukai na kama wewe ni shoga pita kushoto usitie neno hapa.🥺 Tunaanza na mada hivi kwanini hakuna mtume au nabii mweusi aliezungumziwa kwenye vitabu...
  2. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Huyu mlimbwende amenidharau sana wakuu, naombeni ushauri

    Huku na huku, nikajikuta namingo na toto moja bambataa.... Nikaanza kuilia mongo, siku nakutana nayo kwenye maongezi ikawa namna hii.... Yeye: Yaani kila nikikuona ukitabasamu, hua natamani nikukaribishe nyumbani kwangu ili nikufanyie kitu. Mimi: Waaawuuu...🤗 nikamuuliza kwani upo singo...
  3. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Mnashangaa kuhusu Lema, mbona mtashangaa sana?

    Pale chadema Kuna cream ya DJ imebaki MMM MAYAI TAITA Hata Professor ni kwasababu ya afya tuu imezorota lakini yule nae yupo kundi hili. Kabla ya mwaka kuisha hao nliowataja hapo wataonyesha rangi zao. Nyie wapumbavu sisi ccm chini ya daktari Samia (PhD) tuna njia zaidi ya laki2 za kucheza...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana Lema, nakubaliana naye 100% CHADEMA ya sasa inapaswa kufutwa haraka sana.

    Hakuna kisiki kigumu kilikuwa ndani ya Chadema kama Lema. Leo hii unamsikia Lema anawatuhumu viongozi wake hadharani, basi jua kuna jtatizo zito sana. Kwa maelezo ya Lema ni kwamba kwa sasa Chadema hakifai kuwa Chama cha siasa na anashangaa kwa nini Msajili wa vyama anachelewa kukifuta mara...
  5. M

    JamiiForums Tanzania WIMBO WA KARIBU LEMA CCM

    [INTRO – MC] Aaaah! Oyaa! Oyaa! Habari imefika mjini! Kutoka Arusha mpaka Dar! Nani huyo? Lema! Ameenda wapi? CCM! Heeeee! Twende kazi! [BETI YA KWANZA] Lema eeh! Lema eeh! Umefika wapi? CCM! Lema eeh! Lema eeh! Habari imeenea mjini! [KIITIKIO – CHORUS] Lema kaingia, kaingia, kaingia! CCM...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Lema, Lissu alikosea sana kukuamini. Ni vile hotuba yako umeitoa ukifahamu hatoachiliwa Nov 6. Sina hakika kama atakuja kukusamehe

    Mh Mwenyekiti Lissu, Kama angekua anataka Maridhiano ,asingekubali kukaa Jela miaka miwili. Asingeyakaa Yale Mabilioni. Asingewaonya mnaomtembelea Lissu Usiku. Asimgetafuta Ukweli, Haki, Uwajibikaji . Harakati za Mwenyekiti Lissu, kama zingeyatizama maisha yake binafsi, Basi asingetafuta...
  8. T

    JamiiForums Tanzania GODBLESS LEMA AMETUPA CODE: BILA MAANDAMANO YA WANANCHI TUTASUBIRI SANA

    Mheshimiwa Lema umeongea vizuri sana. Na upetupa code. Bila maandamano ya wananchi hakuna ushindi. Sasa ni sisi wananchi kujipanga
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO SUMA JKT GUARD hawapeleki fedha za Wafanyakazi wake PSSSF, wakiulizwa wakali sana

    Kampuni ya SUMAJKT GUARD hawaweki pesa kwenye mfuko wa PSSSF kwa wafanyakazi wake kila wakiulizwa wanakuwa wakali sana. Nipo Dodoma na shida ipo kote Tanzania zima, Kanda ya Kati ila tatizo lipo kotekote Tanzania nzima. Suma JKT Guard Dodoma. k
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimefuatilia kuunganishiwa maji katika Kata ya Tangasisi, Mtaa wa Chungurira, Tanga tangu Julai ila hadi sasa sijapewa control number

    Nina changamoto ya kucheleweshewa huduma ya kuunganishiwa maji nyumbani kwangu katika Mkoa wa Tanga, Kata ya Tangasisi, Mtaa wa Chungurira. Nimekuwa nikifuatilia ombi la kuunganishiwa maji tangu mwishoni mwa mwezi Julai, lakini hadi sasa sijapewa Control Number ili niweze kufanya malipo na...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Afrika bado safari ni ndefu sana: Mtoto wa rais Museveni aamuru Kizza Besigye apewe dhamana.

    Katika hali inayoonyesha kwamba mkuu wa majeshi nchini Uganda Jenerali Muhozi Kainerugaba ambaye pia ni mtoto wa rais wa nchi hiyo Bw. Yoweri Museveni, ndiye kwa sasa anaiongoza nchi ya Uganda, ameamua kumpatia dhamana kiongozi mkongwe wa upinzani wa Uganda Bw. Kizza Besigye. Juhudi za kutafuta...
  12. K

    JamiiForums Tanzania HALI NI MBAYA SANA

    Hii ni hotuba yangu kwa wananchi wa nchi ya wadanganyika mara baada ya kula kiapo; Ndugu wadanganyika;ukiona kulipaswa kuwepo maridhiano kabla ya kuchaguana na kisha hayo maridhiano ya wadanganyika hayakufanyika na yakatokea ya kutokea na sasa kuna utaratibu wa kulazimisha maridhiano na baadhi...
  13. Isenye

    JamiiForums Tanzania Wife ananifuatilia sana kwenye mitandao ya kijamii wakuu

    Yani kila ninachokipost lazima nifuatwe inbox nijieleze kina maana gani.
  14. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Natafuta series ambayo ni season moja complete ila kali sana

    Natafuta series ambayo ni season 1 complete alafu iwe kali. Pls i do need your suggestions
  15. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nimewaza sana ila huu ndio ukweli.

    1:Utaonekana mwerevu pale utakapo kuwa na kitu cha kuonesha, porojo za mdomoni ni sawa na mbwa koko kubweka tu. 2:hakuna mwanaume anayependa mwanamke mmoja, hakuna mwanamke anaye penda mwanaume asiye na kitu. 3:flashlights za dunia hii, zipo kukusherehekesha, ila kama huna plan ya maisha...
  16. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo nikikumbuka moyo wangu unauma sana wakuu...

    Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu... Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...😂 Leo nimekajaribu kwa salam.. Mimi: mambo Yeye: niko poa kabisa Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lisu kuweni macho sana tena sana na TIME LIMITATION TO INSTITUTE APPEAL, ni kwa tahadhali tu!!!

    Ni tahadhali! Wala si kwamba hukumu itakuwa vile au hivi, NO. Hizi figisu alizokuwa akifanyiwa Lisu na prison eg za kunyumwa usiri, kuwekwa na wafungwa wa kunyongwa na " ukatili" wote aliofanyiwa, Rugemeleza Nshala be vigilant. Wanaweza kumwekea vigingi akakuta muda say wa ku lodge notice of...
  18. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii picha inachekesha sana

    😁
  19. F

    JamiiForums Tanzania Hivi vikundi vya watekaji na wauwaji vidhibitiwe haraka,Raulent Kabila, alitendwa vibaya sana na mlinzi wake

    Tukiendelea kuwalilia na kuwakumbuka wenzetu waliouwawa October 29,2025, tujikumbushe kidogo historia. Hapo nchi jirani DRC yalianzia Mambo hivi hivi, dhulma, utekaji na mauaji wakati huo Kuna watu Fulani, walidhani wao hawawezi kufikiwa. Sasa ilitokea siku moja mlinzi wa karibu wa Raulent...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Uchawa unalipa sana , shida uongozi unapobadilika huishi maisha ya kutengwa na aibu mfano wale machawa wa Magufuli wako wapi?

    Chawa ni mtu anayejipendekeza Kwa kiongozi, mwanasiasa mfanyabiashara au kundi fulani Kwa lengo la kunufaika au kupata chochote. Kwa maana rahisi chawa ni kama mwanamke malaya ambaye yupo tayari kufanya chchote ilimradi apate pesa. Shida ni pale anayekutumia anapotimiza malengo yake harafu...
Back
Top Bottom