Hivi vikundi vya watekaji na wauwaji vidhibitiwe haraka,Raulent Kabila, alitendwa vibaya sana na mlinzi wake

Footstep

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2026
Posts
383
Reaction score
594
Tukiendelea kuwalilia na kuwakumbuka wenzetu waliouwawa October 29,2025, tujikumbushe kidogo historia.

Hapo nchi jirani DRC yalianzia Mambo hivi hivi, dhulma, utekaji na mauaji wakati huo Kuna watu Fulani, walidhani wao hawawezi kufikiwa.

Sasa ilitokea siku moja mlinzi wa karibu wa Raulent Kabila, marehemu akafanya tukio ambalo hakuna aliyemtegemea, ni sawa na mbwa kumuuma mwenye mbwa, sababu alianza kuuma majirani na wapitanjia, akasifiwa kwamba ajua kazi, jambo hili linashangaza.

Sasa Leo sisi tunalilia ndugu zetu Kuna wengine wanatubeza na kushangilia, lakini hali si njema.

Ninaomba Kwa dhati mbwa wote vichaa wanaouma watu hovyo wakamatwe na wangolewe meno ili wasijeleta tena madhara kwetu na Kwa watoto wetu.

Nimemaliza.
 
ok.🐒
 
Wewe mjinga unaleta mzaha wakati Kuna watu walikuwa na baba zao Leo ni yatima,

Wengine ni watoto wachanga mama zao wameuwawa
hao baba zao ndio wale magaidi waliokua wakilipua vituo vya mafuta, vituo vya polisi na makazi ya watu wakadhani wataachwa watambe kufanya hiyo nonsense yao au kukenuliwa tu, right?🐒
 
Sasa mwenye sheli akiamua kuchoma sheli yake mwenyewe, unamuulia Nini?
 
hao baba zao ndio wale magaidi waliokua wakilipua vituo vya mafuta, vituo vya polisi na makazi ya watu wakadhani wataachwa watambe kufanya hiyo nonsense yao au kukenuliwa tu, right?🐒
Yaani wewe jamaa ungejua jinsi unavyokera ungekaaga kimya tu.

Ungekuwa muda mwingi upo karibu na mimi na ujinga wako huu unaoandika sidhani kama ungekuwa na jino hata moja mdomoni maana ningeshayang`oa yote kwa mabanzi.
 
Ungekuwa muda mwingi upo karibu na mimi na ujinga wako huu unaoandika sidhani kama ungekuwa na jino hata moja mdomoni maana ningeshayang`oa yote.
Yaezakuwa ni roboti AI
 
Yaani wewe jamaa ungejua jinsi unavyokera ungekaaga kimya tu.

Ungekuwa muda mwingi upo karibu na mimi na ujinga wako huu unaoandika sidhani kama ungekuwa na jino hata moja mdomoni maana ningeshayang`oa yote kwa mabanzi.
si mimi gentleman,
ni ukweli ndivyo ulivyo, ni mchungu, lakini una kera, hata hivyo itakubidi uzoee,

kwasababu,
binafsi,
sina kigugumizi wala sipepesi macho katika kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu.

In fact,
I'm not here to be love, like or to seek popularity or respect, but to tell the truth before God.

halafu kwenye ngumi niko vizuri zaidi ya madini haya ninayoyatema jukwaani gentleman.
So,
I can disband anybody within or outside the platform softly and for swiftly without any fear of contradictions 🐒
 
Linda mgongo wako ***** wewe
 
calm down plz gentleman with pointless comment on platform 🐒
Machawa bana,

Ulilipwa ukaanza kumpamba nchimbi,

Wakikuongezea dau umtukane, utamtukana balaa.

Sasa hoja hiyo hiyo fikiri kivingine kulingana na mada
 
Machawa bana,

Ulilipwa ukaanza kumpamba nchimbi,

Wakikuongezea dau umtukane, utamtukana balaa.

Sasa hoja hiyo hiyo fikiri kivingine Kwa waliotajwa hapo juu
politics is a science gentleman,
not unnecessary mayhem, chest thumbing or useless insults,

politics is a perceptional game and it is dynamic in nature. You must be flexible occasionally in practicing it 🐒
 
Kama ndio ukweli huo,

Mbona saizi humuulizii nchimbi Wala kumpamba?

Wewe ni yuda, na Kwa taarifa yako taarifa zako zinaenda huko huko na watakulipua.
 
andikia uzi mahususi jukwaani kuhusu hiyo porojo yako na wadau wa Jf watatoa maoni yao.

I'm not a saint in political science gentleman 🐒
 
Tukiendelea kuwalilia na kuwakumbuka wenzetu waliouwawa October 29,2025, tujikumbushe kidogo historia.

Hapo nchi jirani DRC yalianzia Mambo hivi hivi, dhulma, utekaji na mauaji wakati huo Kuna watu Fulani, walidhani wao hawawezi kufikiwa.

Sasa ilitokea siku moja mlinzi wa karibu wa Raulent Kabila, marehemu akafanya tukio ambalo hakuna aliyemtegemea, ni sawa na mbwa kumuuma mwenye mbwa, sababu alianza kuuma majirani na wapitanjia, akasifiwa kwamba ajua kazi, jambo hili linashangaza.

Sasa Leo sisi tunalilia ndugu zetu Kuna wengine wanatubeza na kushangilia, lakini hali si njema.

Ninaomba Kwa dhati mbwa wote vichaa wanaouma watu hovyo wakamatwe na wangolewe meno ili wasijeleta tena madhara kwetu na Kwa watoto wetu.

Nimemaliza.
Ninaomba Kwa dhati mbwa wote vichaa wanaouma watu hovyo wakamatwe na wangolewe meno ili wasijeleta tena madhara kwetu na Kwa watoto wetu.
 
andikia uzi mahususi jukwaani kuhusu hiyo porojo yako na wadau wa Jf watatoa maoni yao.

I'm not a saint in political science gentleman 🐒
"I'm not a saint in political science"

Unadhani ukinyakuliwa na hao mwewe, hiyo toba yako itasikiwa ndugu yuda?

Changa karata zako vyema.
 
Back
Top Bottom