Hili swalanla wasiojulikana kujiamulia watakavyo linalotuumiza vichwa, ni jambo dogo sana ikiwa Waziri Ridhwani Kikwete akiamulia kulivalia njuga.
Awamu ya pili ya mzee Mwinyi marehemu, Aliinuka Mtu mmoja tokea kule Kilimanjaro aliitwa Lyatonga Mrema, alikuwa akitamka Neno, ndani ya masaa...
Tukiendelea kuwalilia na kuwakumbuka wenzetu waliouwawa October 29,2025, tujikumbushe kidogo historia.
Hapo nchi jirani DRC yalianzia Mambo hivi hivi, dhulma, utekaji na mauaji wakati huo Kuna watu Fulani, walidhani wao hawawezi kufikiwa.
Sasa ilitokea siku moja mlinzi wa karibu wa Raulent...
Ikitokea umeingia kwenye rada za watekaji na hii ni kwakua lazima mara nyingi muhanga awe anajua kwakua watekaji mara nyingi sio wendewazimu wamfuate mtu hivihivi bila sababu.
Sasa ukishayatindinganya na ukaona umepewa onyo la meseji au kufuatwa fuatwa na sura usizozielewa basi mbinu hii...
Najiuliza mara nyingi kundi la hawa watu! Hivi ni kweli mmeamua kutumiwa kuteka kupoteza pumzi za wanadamu wenzao?
Kwenye mazingira hayo wewe upon kundi la Mungu au la shetani?
Unajisikiaje wazazi;watoto,mke/mume Wana haha kumtafuta ndugu Yao ambaye ww umemteka na kumficha?
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera Faris Buruhan amesema kauli yake aliyoitoa katikati ya mwezi Aprili mwaka 2024 ‘Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia polisi msiwatafute”, ilitafsiriwa tofauti akidai kipande cha video kilichosambaa mitandaoni kilikuwa ni...
Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia.
Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu.
Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto msianze kulalamika kuwa tunawindwa.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali haitoi ruhusa ya utekaji na kwamba vitendo vya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ni makosa ya jinai yanayokiuka sheria na yatachunguzwa kwa kina ili ukweli ubainike.
Amesema endapo mtu anahusishwa na uhalifu, Serikali...
Nauza kifaa cha kukusaidia kujilinda
yaani self defense
🔥 TASER GUN INAKUSAIDIA KUMPIGA SHOTI KIBAKA SHOT KUBWA KAMA YA UMEME WA GRID YA TAIFA 🔥
Unahitaji kujilinda na vibaka, majambazi, wezi na wabakaji?
Taser Gun ni mashine ndogo ya kuchajiwa inapiga shoti ya umeme zaid ya gridi kubwa ya...
Sikiliza clip! Sina la kuongeza , si mimi bali Ado Shahibu!
Hotuba ya jana ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba imewakosea sana Watanzania na ACT Wazalendo tusipoweza kusimama kwa kujaiamini na kuusema ukweli hakika chama hichi akitopendwa na Watanzania
NI kawaida lazima mwenye mkoa wake wa DSM aje atuambie hadharani au safari anaona aibu maana siyo kwa aibu hii .
Atakuja tu msubiri anajiandaa kupangilia uwongo wa kutukuka
Mnamjua au niwatajie ......
mission paralyzed
Mei 20, 2026 kulitokea tukio linalodhaniwa kuwa la utekaji wa David Djumbe ambaye ni msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Hata hivyo, imeelezwa kuwa, Djumbe alifanikiwa kuwatoroka watekaji waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa polisi.
Akisimulia tukio hilo, David Djumbe amesema...
Muache ngonjera za kusema Aliruka na kutokomea akiwa na PINGU.
Ukimfunga Mtu Míkono kwa namna yoyote ile, UMEMUONDOLEA BALANCE YA KUKIMBIA , HIVO HAWEZ KUA NA UWEZO WA KUKIMBIA KWA KASI HATA KUWASHINDA MAASKARI
UHUNI MLOUFANYA KWA POLEPOLE, KWAKUA HAMNA AKILI, NDIO MNAURUDIA ULEULE
Maana yake Kuna Ombwe kubwa linatengenezeka .
Sina Uhakika Tena Kama Askari Barabarani wanaweza Kuyasimamisha Magari yenye hizi namba.
Hawawezi kwa sababu Vichwani mwao na wao wanaamini ni ya Akina Abduli.
Kiasi kwamba huu uwazi , Umetengeneza Mazingira Mazuri kwa WATU WABAYA .
Leo hiii...
Mapungufu: Tume kuwauliza Polisi na usalama nani ni watekaji na wauaji? wakati tunajua watekaji wa wanasiasa na wanaharakati ni Polisi na wauaji wa vijana October 29 ni polisi na usalama
-Aonaye haambiwi tazama. Baada ya wenzao kudakwa Kenya nikama kikosi cha watekaji na wauwaji wa watanganyika kipo likizo kidogo.
Je hii inaashiria nini?
Je nikwamba wamegundua project imeanza ku backfire?
-Je malipo hamna?
-Project imeisha?
Mbezi muda huu vibaka walipaki Gari yao hapo tangu Asubuhi, Kumbe walikuwa wanamvizia Agent wa gari ya makuti.
Kabla hawajatokomea nae wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka kituoni.
Wamemhifadhi kituo cha Magufuli wafanyakazi wa stendi nendeni hapo kituoni vingenevyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.