Hali tete , familia watendewe haki ni zaidi ya mwaka sasa , vyombo vya usalama vifanye juhudi za ziada .
https://youtu.be/6onwxmeYfDE?si=qYODv9dKxBE-9040
Hizi ni kauli za Dkt Nchimbi -katibu mkuu wa CCM zikimuhusu Mwenyekiti mbowe na John Mnyika kuhusu masuala ya utekaji na mauaji
1."Na Mbowe alinieleza juu ya suala la Kibao, kwa kumtazama Mbowe hahusiki na tukio hili la utekaji."
2."Naye kwa kumwona tu, Mnyika hawezi kuhusika na utekaji."...
Dr Samia Suluhu Hassan tokea alipoapishwa kuwa Rais baada ya kifo cha Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli amekuwa akifanya kazi kubwa sana katika kuijenga Tanzania mpya huku akionyesha uwezo na ujasiri mkubwa katika kulinda maslahi ya taifa.
Rais anaijenga Tanzania mpya ya watu...
Hii haina ubishi kwa siasa za kinyonge zilizopo ndani ya Chadema zinazoendeshwa na Mboe,inabidi amkabizi kijiti Tundu Lissu
Siyo kwamba kwa ajili ya kufanya vurugu,hapana tunaitaji mtu atakayetutia ujasiri hata tunapouwawa,siyo kulialia na kuwakaribisha wauwaji kwenye misiba yetu na kutoa...
KWenye jambo hili la utekaji na mauaji halijaanza na ndugu Yetu Ali Kibao. Limekuwepo kwa muda sasa huku likilindwa na baadhi ya watu wente namlaka.
Kama kweli Rais unataka kuwapata wahusika kamili na kujua nafasi zao kwenye huu ushetani, ungetoa maelekezo wafuatao wakamatwe mara moja:
1)...
Timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu ili kuhakikisha waliofanya mauaji ya Ali Kibao Kada wa CHADEMA wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.
Jana Septemba 7, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu...
Mpo salama Wakuu!
Watibeli tuliuchukia ûtawala wa awamu ya Tano siô Kwa sababu Hakuna mazuri àmbayo hayakufanywa na ûtawala huo. Yapo. Lakini màtukio ya utekaji, Mateka kuuawa, miili kuokotwa mahalimahali NI Moja ya mambo yaliyotufanya Sisi kuuchukia ûtawala wa awamu ya Tano
Ñàona utekaji Kwa...
Kuna mchezo kama si wa kijinga basi ni wa kitoto unachezeka hapa..!
Watekaji mahiri hukuteka kwa lengo maalum kama si kisasi basi ni mambo ya kisiasa ama kikomboleo (ransom)
Sakata la Shadrack kwa mazingira yote ni la kisiasa.. Ni kijana fukara hana visasi na watu wanaoweza kumteka..labda kama...
Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto!
Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi'
Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa?
Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona...
Pumzika Kwa amani father A.
Sikuelewa maana ya usumbufu wa ijumaa jioni na jumamosi karibu masaa sita.
Ulikua unasema unatupatia basics za maisha kiukweli tulikua na miili iliyojengeka hadi leo hii kwenye uzee.
Ulipokua unasisitiza mwanaume lazima uwe na mapafu ya mbwa sikuelewa, ulipotoa...
https://www.youtube.com/live/Lw1Orezvek4
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa mchakato wa kuwakamata Wanachana na Viongozi wa Chama hicho unaendelea.
Akizungumza na JamiiForums amesema “Hadi kufikia leo Asubuhi...
Wakuu,
Naamini wote tumeshapata taarifa juu ya tukio la kijana Sativa kupatikana, ambapo alitekwa na watu wasiliojukana na kupatikana leo katika hifadhi ya Katavi.
Edga Sativa (Sativa)
Pia soma: Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na...
edga mwakabela
edga mwakabela apatikana
freedom of expression
kukosoa serikali
kushirikiana
sativa apatikana
sativa apatikana katavi
uhuru wa kutafuta taarifa
uhuru wa kutoa maoni
watekaji
watu wasiyojulikana
Wanaukumbi.
BREAKING: ISRAEL YAWAACHA MATEKA 39 WA PALESTINA KWA WATEKAJI WA ISRAELI HUKO GAZA.
Israel imewaachilia mateka Wapalestina 39, wanawake 24 na watoto 15.
Hamas kukabiliana na mateka 13 wa Israel.
Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu litasimamia uhamisho huo katika jela ya...
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari akiwa na Gavana wa Benki Kuu, Godwin Emefiele wamezindua noti hizo lengo likiwa ni kuzuia uingizaji wa bidhaa za magendo na kupunguza nguvu ya ufadhili katgika vikundi vya waasi vinavyotumika kuteka watu.
Noti hizo mpya za Naira 200, 500 na 1,000 zinatarajiwa...
Wasichana hao katika Jimbo la Zamfara wamesema waliruhusiwa kuoga mara 5 tu ndani ya miezi mitano waliyokuwa mateka na tena hawakutakiwa kutumia sabuni.
Watekaji walitishia kuwabadili wasichana hao kuwa sehemu ya kikosi chao kama hawatapata malipo.
Mamlaka zimetangaza kuwa mateka hao...
Bunge la Seneti la Nigeria limepitisha mswada wa kifungo cha miaka 15 jela kwa kulipa fidia ili kumwachilia huru mtu ambaye ametekwa nyara, na adhabu ya kifo kwa uhalifu wa utekaji nyara ambapo mwathirika hufariki
Muswada huo, ambao unarekebisha sheria ya ugaidi ya Nigeria, unaamuru hukumu ya...
Picha: Dkt. Willbrod Slaa
Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita.
TAARIFA YA CAG INAPOTOSHWA
“Kuna upotoshwaji kwenye taarifa ya CAG, nadhani Zito Kabwe angelisaidia sana...
Hii MariaSpaces ni moto wa kuotea mbali, nilikua na usingiizi ila alipoanza kuongea Mdude ambaye ni muhanga wa "utekaji" usingizi ulikata. Nitajaribu kuweka Audio kama itakubali...
Kwa kifupi ni kwamba
1. Walimpigisha shoti ya umeme kwenye chuchu na sehemu ya haja kubwa Mara kadhaa
2. Kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.