Hivi mnadhani mtaidanganya Dunia kuwa nyinyi sio watekaji na wauwaji?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia.

Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu.

Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto msianze kulalamika kuwa tunawindwa.
 
Kuna nchi gani duniani watu hawatekwi?
 
Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia.

Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu.

Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto msianze kulalamika kuwa tunawindwa.
Ndiyo maana wale vijakazi wao wanashangilia wanaposikia Trump anataka ICC isimamishe shughuli zake
 
Back
Top Bottom