Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.
umewahi kufikiria kwamba simulizi za Adamu na Hawa, nyoka wa Edeni, Kaini na Abeli, Sodoma na Gomora, Ayubu na hata majaribu ya Yesu yanaweza kuwa na maana kubwa zaidi ya namna ambavyo tumekuwa tukiyasoma?
Vipi kama baadhi ya simulizi hizo si historia ya watu waliopita tu, bali ni ujumbe...
Wakuu habarii,
Moja kwa moja kwenye maada!
Kuna hii ishu ya baadhi ya mikao ya kula tunda kuonekana kama vile ni unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake.
Leo naomba niwasanue wanawake kua mikao karibia yote unayopangwa na mtu wako hua wanaume wanaikaa na wao wawapo job.
So unavyo geuzwa geuzwa...
Inasikitisha Sana kwa Ukanda Wa Pembezoni Mwa Ziwa Viktoria Kuwa na Tatizo sugu La Huduma ya Maji,
Mkoa Wa Mwanza Imekua Si Changamoto tena imekua Kama ni Wajibu wa Wananchi Kukosa Huduma Hii Muhimu Kwa Wiki kadhaa au Miezi,Bahati Mbaya Hakuna Taarifa zinazotolewa Wazi kwa Umma Kama kutakua na...
Kuna siku Mwanamke anaweza kuamka na maumivu makali sana ya mwili.
Wakati mwingine maumivu hayo hayahitaji dawa ya Hospital.
Maumivu ya wanawake huweza kusababishwa na vitu vingi ikiwemo mawazo tu ya kupata vitu vizuri kutoka Kwa mwenzi wake.
Siku ukisikia "mume wangu/Mpenzi naumwa" hatutaki...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Hivi kweli, mji mpya (sio second hand), wa kisasa tena mali ya serikali unauita mtumba?? Seriously?? Mh. Mizengo Pinda aliwahi kukataa sehemu anayoishi hapo Dodoma kuitwa zuzu. Hiyo sehemu ikabadilishwa jina ikaitwa jina la kabila la wagogo lenye maana ya jiwe kubwa...
Vyombo vya Dola haviwezi kujiendesha bila Kodi na Tozo za wananchi maskini
Serikali haiwezi kujiendesha bila tozo na Kodi kutoka Kwa wananchi maskini
Kwa wananchi ndo wenye MAMLAKA ya mwisho juu ya hatima ya Taifa lao sio vyombo vya Dola Wala majeshi
Watawala waovu wanachoweza kufanya ni...
Siku ya Marehemu Wote inayojulikana Kilatini kama Commemoratio Omnium Fidelium Defunctorum,
huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 November, ili kuwakumbuka, kuwaenzi na kuwaombea waamini marehemu katoliki wote na waja wa Allah wote waliotangulia mbele ya haki.
Mtakubaliana nami kwamba kilichofanyika...
Pole sana SweetyCandy
Sijui kilichokukuta na pole kwa maumivu.
Naomba tuwe wa haki kidogo.
Kuna wababa wanaoyumba, ni kweli, na kila mtu ana mfano wa mmoja. Lakini kuchukua mfano wa watu wachache kisha kusema "wababa wote kazi yao ni kupiga watoto na kukimbilia michepuko" si ukweli wa...
Alafu ikukute wewe ni masikini , aisee utachapiwa nyumba nzima, mke, mtoto wako mwenye divsheni 4, mdogo wa mke wako,etc unakuta hadi boda boda wamewatungia majina tayari maana wamegawana familia yako😁, utasikia binti yako anaitwa "aisha sarakasi"
Aisee
Eli Cohen
secretarybird
Kinyungu
Harmful
TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu?
TBC hivi kutekwa KWA TWAHA MWAIPAYA sio habari kwenu?
Nimeikuta hii video random mtandaoni, ukikaa na kui analyze kwa upana ni nchi nyingi za Africa
jamii inayolazimika kuomba, kushukuru na kunyenyekea ili iweze kuishi
Tunasikia kauli kama “Mradi wangu,” “Nitatoa pesa,” “Nitaleta maendeleo,” na “Mimi ndiye niliyesaidia.” Tunaomba kwa...
Tanzania tuna silka moja ya kuongea uongo hasa linapokuja suala la wakati. Mtu anakuambia nitafika hapo baada ya dakika kumi halafu anafika baada ya saa nzima. Mkutano unaotakiwa kuanza saa tatu asubuhi unaanza saa tano asubuhi. Kiongozi alisemwa atafika saa nne asubuhi anafika saa sita mchana...
Kuna mtazamo hasi sana umekuwa ukisambazwa kuwa wanawake wa Kinyakyusa wana kiburi, ni wababe, Lakini, je, umewahi kujiuliza kuna nini nyuma yake ?
Ndoa inamuhitaji mwanamke kujishusha (Submissive), Ndoa inamtaka mwanamke kumtii mme wake, ndoa inamtaka mwanamke kukubali mwanaume ndie kichwa cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.