funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,468 Reaction score 31,952 Nov 2, 2026 #1 Ilikuwa inanishangaza sana eti mpuuzi mmoja ambaye tuliwahi kumsema humu JF ndio amegeuka kuwa nguzo ya kisiasa ya chadema
Ilikuwa inanishangaza sana eti mpuuzi mmoja ambaye tuliwahi kumsema humu JF ndio amegeuka kuwa nguzo ya kisiasa ya chadema
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 38,298 Reaction score 72,863 Nov 2, 2026 #2 funaku said: Ilikuwa inanishangaza sana eti mpuuzi mmoja ambaye tuliwahi kumsema humu JF ndio amegeuka kuwa nguzo ya kisiasa ya chadema Click to expand... ..bila Ccm kusitisha utekaji, na mauaji, harakati hazitakoma. ..Ccm inazidi kuzama ktk dimbwi la DAMU ilizomwaga. ..Ni nani wa kuinasua Ccm?
funaku said: Ilikuwa inanishangaza sana eti mpuuzi mmoja ambaye tuliwahi kumsema humu JF ndio amegeuka kuwa nguzo ya kisiasa ya chadema Click to expand... ..bila Ccm kusitisha utekaji, na mauaji, harakati hazitakoma. ..Ccm inazidi kuzama ktk dimbwi la DAMU ilizomwaga. ..Ni nani wa kuinasua Ccm?