siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Ukarimu au Siasa za Kura? Mbunge wa Nyaribari Chache Aibua Gumzo kwa Kugawa Pesa Taslimu Mtaani"

    Mambo yamekuwa moto katika Kaunti ya Kisii, haswa baada ya video kuibuka ikimuonyesha Mbunge wa Jimbo la Nyaribari Chache, Hon. Zaheer Jhanda, akiwa katikati ya vumbi akifanya mambo yake mtaani. Kwenye video hiyo iliyosambaa kwa kasi, Mbunge huyo anaonekana akigawa pesa taslimuhasa noti za...
  2. Stroke

    JamiiForums Tanzania Baada ya utabiri kwa Samia kutimia napumzika siasa mpaka 2030 Inshaalah

    Wakuu; Baada ya kutabiri sawia kabisa Samia kuwa Rais 2025. Naona nipumzike siasa kwa muda mpaka 2030 tukijaliwa. Wish you all mijadala yenye tija. Mpaka tukikutana tena.
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Siasa ni mchezo unaohitaji precision ya hali ya juu katika kuucheza. Godbless Lema kafanya kosa kubwa la kiufundi kama alivyofanya Hezekiah Wenje

    Husemwa kuwa, siasa ni mchezo mchafu... Lakini mimi nasema hivi: Sio kweli, bali siasa ni Sanaa na profesheni halali na ya kawaida kama profesheni zingine katika maisha mfano ualimu, udaktari, unasheria nk. Shida ni kuwa, siasa imebeba watu wachafu kimaadili kwa zaidi ya 95% ndani yake na hawa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lema ni mnufaika wa Siasa za Mbowe hataziweza siasa za Lissu

    Inner circle ya uongozi wa Mbowe ilikuwa ni Lema, Msigwa, Sugu, Bon Yai alikuwepo na Mzee Kibao na Lissu kabla hajakerwa Hawa kila aliyewapinga walimpachika usaliti na wameumiza watu wengi sana na ndio maana hata wakati wanashughulikiwa tokea na Magufuli wanachama wengi waliwaacha wapambane...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Member Erythrocyte nimedharau kuanzia leo ktk medani ya siasa, ni chawa wa LEMA

    Siku zote nilikua najiuliza , huyu kweli mwanamageuzi? Kweli sio chawa? Kumbe nimegundua , ni chawa wa LEMA. Msakatonge, mzee fursa. Akinishambulia mimi kuwa chawa na napinga mageuzi, kumbe yeye ni chawa fursa, chawa mchafu, chawa kizee
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania GODBLESS LEMA anaonesha siasa sio uwanaharakati!

    Ilikuwa inanishangaza sana eti mpuuzi mmoja ambaye tuliwahi kumsema humu JF ndio amegeuka kuwa nguzo ya kisiasa ya chadema
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hatuhitaji Siasa za kuisindikiza CCM na kuipa uhalali ,LEMA na MBOWE ni magugu ya mwisho Mwisho kung'olewa kutoka chamani!

    Kwa miaka yote tangu 1992, CCM imeunda vyama Uchwara ,ikiwajua wanasiasa wéngi ni waganga njaaa . Ushindi wa LISSU na HECHE ,umebadili Siasa za Nchi Naamini kama Wananchi, NJIA ya CHADEMA ndio NJIA sahihi , ni lazima Mwananchi achague Diwani ,Mbunge na Rais anayemtaka. Habari za kupewa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mabadiriko ya vyama vya siasa yawe hivi : mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais.

    ni hatari sana mwenyekiti wa chama kitaifa kuwa rais.hapa akitokea rais asiyetaka kushauriwa ,ni hatari sana kwa taifa .kwa kweli mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais. chukulia mtu mwenye misimamo kama TL awe rais na ni mwenyekiti wa chama .hapo inakuwaje? hata hayati magufuli kuna sehemu...
  10. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Mbeya yapata Joto la Siasa: Wasafwa na Wanyakyusa watajwa katika Mjadala wa Ukabila kuelekea Uchaguzi wa CCM 2027

    MBEYA, joto la kisiasa linaanza kupanda kuelekea uchaguzi wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mwaka 2027, huku mjadala kuhusu ukabila kati ya Wasafwa na Wanyakyusa ukizidi kujitokeza katika mazungumzo ya kisiasa. Vikao na vijembe vya chini kwa chini vinaendelea, hali inayofanya suala la...
  11. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ Kama taarifa hii mmeikana, msahau kushinda vita au kuilinda Nchi, Siasa za CCM zimeua Taifa.

    Katika mitandao kuna huu ujumbe unasambaa na Jeshi linasema si taarifa sahihi. Sio kila fake news ni ya kupinga, zingine ziko kimkakati sana, JWTZ kukana hii taarifa kwa kutokukaa kimya ni kuruhusu rasmi vijana wajilinde wenyewe hata kwa kutafuta Silaha. Hii habari jeshi limekanusha kwa nguvu...
  12. okiwira

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na unafiki na ubinafsi ni mahala pake

    Wanaharakati na wanasiasa wa TANZANIA swala la watu kuharibikiwa mali zao na kuibiwa sio ishu kwao yaani haliwavushi katika matarajio yao. Siku tukiacha kuwa na vibaka wenye mamlaka na vibaka jamii ya kawaida katika siasa mageuzi hayatahamasishwa na wenye matarajio yao binafsi.
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania 1994, Rwanda walikaa kimya dhidi ya unafiki na chuki zilizkua zinahamasishwa na vyama vya siasa na taasisi za kidini kama ambavyo inafanyika Tz sasa.

    Please Please, My friends, ladies and gentlemen, tusikae kimya, kutazama tu bila kukemea taasisi za kidini na vyama vya siasa vikiendelea kuhamasisha na kuchochea chuki, uhasama na migawanyiko, ambayo ni wazi inalenga kuamsha hasira na ghadhabu miongoni mwa jamii za waTanzania na pengine kuleta...
  14. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo Mwaipaya alivyotoa mbinu za kuepuka kutekwa

    Jana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa. Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya ni injini ya siasa za upinzani Tanzania. Walichokosa ni chama chenye mizizi Mbeya na kiongozi CHADEMA, lakini harakati na hamasa, hawana mfano

    Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
  16. instinct desire

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU. Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni Uzinzi Kuiba Mali za watu Kutamani Mali/mke wa mtu...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Siasa za kitapeli tuziache, Mnyika nakukubali sana Ila kusema tugome kula wakati tunakula si njia sahihi

    Why doth CHADEMA perpetually resort to jocularity in matters of fundamental import? Ye remain passive, not active! It is meet and proper for Lissu to abstain from nourishment, yet for us without to engage in a hunger strike is devoid of significance. We ought to proceed unto the penitentiary...
  18. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tuachane na Maridhiano kwasababu yalishawahi kufanyika: vyama vikaruhusiwa kufanya siasa, ruzuku zikalipwa, kesi zikafutwa lakini mwisho ikawa hasara.

    Watanzania siyo wageni na kitu kinachoitwa maridhiano, kwa nature ya wanasiasa hawa tulionao, hakuna haja ya maridhiano kwasababu maridhiano yalishawahi kufanyika tukitegemea tutaona siasa za kizalendo, tulitegemea tutaona uzalendo wa kwelikweli kwa Taifa letu lakini cha ajabu wanasiasa wakaanza...
  19. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashinda kesi dhidi ya Said Issa Mohamed kuhusu kufungiwa kisiasa

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, maombi ya kutaka CHADEMA ipigwe 'STOP' TENA KUFANYA SIASA yametupiliwa mbali na Mahakama Maombi hayo yaliletwa Mahakamani hapo na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed na mwenzake Ahmed Rashid Khamis...
  20. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ambavyo Siasa zinavyoweza kuzorotesha Jeshi na Usalama wa nchi

    "Ukifahamu ukweli na usipousema, Mungu lazima atakudai damu za watu hao." Tanzania imeanza kujivuruga yenyewe, na amini nawaambia haya yanayofanyika kipindi hiki lazima yatakuja kuleta madhara makubwa baadaye. Hasahasa ukizingatia jinsi ambayo siasa za Africa zinaanza kuingiliwa kwa nguvu na...
Back
Top Bottom