okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,459
- 3,842
Wanaharakati na wanasiasa wa TANZANIA swala la watu kuharibikiwa mali zao na kuibiwa sio ishu kwao yaani haliwavushi katika matarajio yao.
Siku tukiacha kuwa na vibaka wenye mamlaka na vibaka jamii ya kawaida katika siasa mageuzi hayatahamasishwa na wenye matarajio yao binafsi.
Siku tukiacha kuwa na vibaka wenye mamlaka na vibaka jamii ya kawaida katika siasa mageuzi hayatahamasishwa na wenye matarajio yao binafsi.