Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Please Please,
My friends, ladies and gentlemen,
tusikae kimya, kutazama tu bila kukemea taasisi za kidini na vyama vya siasa vikiendelea kuhamasisha na kuchochea chuki, uhasama na migawanyiko, ambayo ni wazi inalenga kuamsha hasira na ghadhabu miongoni mwa jamii za waTanzania na pengine kuleta mafarakano yanayoweza kusababisha uharibifu, usumbufu na maafa miongoni mwa waTanzania.
1994 Rwanda walikaa kimya na kunyamazia unafiki na propaganda nonsense za vyama vya siasa na taasisi za kidini zilizokua zikienezwa na kuhamasishwa hivi hivi kama wanavyofanya wanafiki hawa waTanzania, at the end, it was too late kudhibiti chuki na uhasama uliokwishakusambazwa kote Rwanda, na mpaka leo wananchi wa Rwanda hawataki kabisa kukumbuka au kuzungumzia kilichowatokea 1994.
Tafadhali,
Kama taifa,
Inafaa tukemee kwa nguvu zote, unafiki huu na propaganda hizi zinazofanywa wazi wazi kabisa na taasisi za kidini zilizoacha wajibu wao wa kueneza neno la Mungu na kujivika siasa majitaka za chuki nchini,
na zaidi sana tukemee vyama vya siasa vilivyopoteza uelekeo na visivyo na agenda, na kuamua kua mawakala wa taasisi za kidini kwaajili ya kupitishia agenda zao ovu dhidi umoja, amani na usalama wa waTanzania na taifa letu.
Tusikuba uovu huu na tukatae unafiki huo.
waTanzania tuungane kupuuza porojo, upotoshaji, uzushi na unafiki wa wanaohamasisha chuki, migawanyiko na uhasama miongoni wetu na itapendeza zaidi 🐒
Mungu Ibariki Tanzania