ni hatari sana mwenyekiti wa chama kitaifa kuwa rais.hapa akitokea rais asiyetaka kushauriwa ,ni hatari sana kwa taifa .kwa kweli mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais. chukulia mtu mwenye misimamo kama TL awe rais na ni mwenyekiti wa chama .hapo inakuwaje? hata hayati magufuli kuna sehemu...
Baba wa taifa hayati Mwalimu Nyerere, aliwahi kusema,
wanasiasa waliofilisika kisiasa, wasio na agenda au walioksa hoja,
hutumia udini au ukabila wao kama silaha za kutafuta madaraka ya kisiasa.
Je,
baadhi ya taasisi za dini na vyama vya siasa vimeichoka zaidi amani kuliko waTanzania wote...
Please Please,
My friends, ladies and gentlemen,
tusikae kimya, kutazama tu bila kukemea taasisi za kidini na vyama vya siasa vikiendelea kuhamasisha na kuchochea chuki, uhasama na migawanyiko, ambayo ni wazi inalenga kuamsha hasira na ghadhabu miongoni mwa jamii za waTanzania na pengine kuleta...
Kwa kurelax,
elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
Je,
hii ni ishara kwamba viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, walio ghadhabishwa na mabadiliko hayo, wana maslahi na CCM, au nao ni wanachama wa ccm, lakini wako upinzani kiana au kwasabau ya njaa tu?
Maana sote ni mashahidi humu jukwaani,
namna ambavyo wanachama wa...
Jamani naomba kujua kama jaji Mtungi na msaidizi wake Sisty wapo!
Kuna chama cha siasa kinamiliki majeshi na vyombo vya usalama.
Nadhani hii ni kinyume na sheria ya vyama vya siasa na natumaini hatua kali sana za kukifuta chama hicho zitachukuliwa
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ametoa wito kwa vyama vya siasa, utumishi wa umma pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuzingatia wajibu wao wa msingi ili kuiletea nchi maendeleo na kuepuka migogoro.
Akizungumza leo Septemba 22, 2026 baada ya kuapa kuwa Makamu...
Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
Ndiyo, kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa, hasa pale chama kinapotaka kujenga taasisi imara, endelevu na inayofuata misingi ya kidemokrasia.
Ingawa harakati ni muhimu sana katika kuamsha umma, kupigania haki fulani, au kuanzisha mapinduzi ya kisiasa, zikitumika...
Friends and Enemies,
Lilikua ni suala la muda tuh kwa Tundu lisu kuweza kutiwa hatiani na kukutwa na kesi ya kujibu.
Ni wazi kabisa alihusika kwenye uhaini,kuchochea fujo na vurugu kiasi cha kupelekea uvunjifu wa amani na vifo vya watu wengi wasio na hatia
Kwa kuwa platform aliyoitumia ilikua...
Ukiachilia mbali kukosekana discipline katika kueneza itikadi, sera na agenda za vyama hivyo vya siasa vya upinzani nchini, na pengine utamaduni usio na staha wa uropkaji, kutukana na kuporomosha matusi miongoni mwa viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, dhidi ya wenye maoni...
Hii mbinu inaweza ipunguze tatizo Kwa kiasi kikubwa
Sio CCM Wala Chadema au chama KINGINE CHOCHOTE kumekuwepo na wingi la machawa wanaonunulika kirahisi.
Nikianza na Chadema ambayo wengi tunatarajia kuona ikichukua uongozi wa nchi hali ni mbaya zaidi.
Viongozi wengi wa Chadema wamekuwa wepesi...
Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja,
wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya...
Mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan, na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam Julai 30, umeibua tena mjadala kuhusu mwelekeo wa maridhiano nchini baada ya kipindi cha mvutano wa kisiasa kilichofuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.
Kwa upande wa Serikali, mkutano huo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezugumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 30 Julai, 2026.
Kwasababu sote ni mashahidi na tunasikia na kuona jinsi ambavyo wanayumba na kudandia kila kitu ambacho ni kipaumbele cha waTanzania, na all over the sudden wanakibwaga na kudandia kingine on the spot.
Halafu wamekua wakisubiri na kutambaa na matukio tu ya kisiasa kadiri yanavyotokea, je, hii...
Kama ambavyo ilitokea kabla na katika uchaguzi mkuu wa oct.2025, wenye misimamo ya vyama vyao ikiwa ni pamoja na kususia uchaguzi mkuu walipuuzwa. Nadahni ni muhimu sana kama taifa kusonga mbele katika utaratibu huo huo kwamba atakae suasia au kuja na mashariti ya chama chake kuelekea maridhiano...
Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi yao walipopaza sauti kuhusiana na tuhuma za ubadhirifu wa pesa za michango ya wadau kwa chama hicho...
Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine.
Kwenye kamati hiyo akiwa na Mabere Marando...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.