Jamani naomba kujua kama jaji Mtungi na msaidizi wake Sisty wapo!
Kuna chama cha siasa kinamiliki majeshi na vyombo vya usalama.
Nadhani hii ni kinyume na sheria ya vyama vya siasa na natumaini hatua kali sana za kukifuta chama hicho zitachukuliwa
Yes,Jamani naomba kujua kama jaji Mtungi na msaidizi wake Sisty wapo!