“Kwanza niwaambie Wanasimba hawana haja ya hisa sijui wamenyimwa hisa.. Nachoamini Wanasimba hawataki hisa wanataka furaha, ili ushinde unahitaji Wachezaji ndio maana Mwekezaji anawaleta. Hawa Viongozi wengine Machawa tu, unasema timu inauzwa ilikuwa na thamani gani miaka 10 nyuma?”
Azim...
Ndugu wapendwa! Nataka kusafirisha mizigo yangu toka Dar kuja songea lakini sijui ni kampuni zipi za usafirishaji zinahusika.
Mzigo ninaotaka kusafirisha ni freezer na sofa. Hivyo naomba mwenye kujua jina la kampuni inayotoa huduma hiyo pia na sehemu inapopatikana hiyo kampuni.
Nawasilisha...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuweni Makini sana na Maigizo yanayoletwa kwa njia tofautitofauti.
Maria Sarungi amewahi kufanya Maigizo ya kusema Ametekwa halafu eti baadaye akajifanya kwamba eti aliwashinda nguvu watekaji .
Lengo likiwa ni kutaka kuichafua Nchi yetu na serikali yetu kwa maslahi...
Kuna jambo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likinitatiza kuhusu namna nyama inavyokatwa katika mabucha yetu na maeneo mbalimbali ya biashara ya nyama.
Matumizi ya vibao vikubwa vya plastiki kukatia nyama kwa kutumia visu, mapanga na hata mashoka yanaweza kuwa yanahatarisha usalama wa chakula...
Matukio ya mauaji baina ya wenza hivi karibuni yamezua mijadala na mihemuko
Hata masikini wanaekeana sumu kwenye chakula na hakuna chochote atakachokirithi kama mume huyo akifariki.
tabia njema na sura ya upole sio njia ya mke au mume mwema.
MAbadiriko ni njia ya mwanadamu, haujui wife...
Maana ngoma za hii kwaya huwa zinanikumbusha Enzi hizo nikiwa mwema kabla Dunia haijaniambukiza madhambi🤣🤣.
In serious note nataka kujua historia ya hii kwaya wadau nitashukuru sana
Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya vifaa vya simu wakiamini kuwa kununua chaja, earphones, cover na screen protector kwa bei ya jumla kisha kuuza kwa faida kunatosha. Lakini ukweli ni kwamba biashara hii inahitaji zaidi ya kuwa na bidhaa dukani!
Fikiria umefungua duka la vifaa vya simu...
Unajua unaweza kuwa na mtaji mkubwa wa biashara ya mbolea, lakini ukashindwa kupata faida kwa sababu ya makosa machache tu?
Tanzania ni nchi inayotegemea sana kilimo, hivyo biashara ya mbolea inaweza kuwa fursa nzuri ya kujipatia kipato. Lakini kabla hujafungua duka la mbolea, kuna mambo muhimu...
JICHO LA TATU _ KILA KITU UNACHO PASWA KUJUA.
👉Kwa karne nyingi watu wamekuwa wakizungumza kuhusu Jicho la Tatu. Baadhi ya watu hulitafuta jicho la tatu kama nyenzo au njia ya kuwasiliana na viumbe wa ulimwengu mwingine wasioonekana, wengine huliona jicho hilo kama chombo cha kuwasaidia...
Kama ni pepo, kama ni high libido , kama ni tabia tu unajua mwenyewe aisee ila haukuwa wa kawaida.
Kilichonichosha ni wewe kupendelea kutumia sex toys nikuchomeke kwenye jagina na MAKEBO yako huku nikiwa nakufanyia romance.
Kila fikra iliomo kichwani mwako ni ngono na kila hamasa ya kufanya...
Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi. Mara nyingi, mteja hushawishiwa kufungua akaunti bila kuelezwa kwa uwazi gharama zote, kisha hujikuta akikata pesa bila taarifa ya kutosha.
Nilifungua akaunti CRDB miaka kadhaa iliyopita...
Anonymous (9651)
Thread
account
benki
bila
bila kujua
elimu
kujua
makato
mwezi
pesa
sahihi
stahiki
taarifa
taarifa sahihi
wateja
Kuna series moja maarufu inayotrend duniani kwa sasa inaitwa SILO , hii series imeanza kutoka 2023 mpaka sasahv inaendelea iko season 3 ambayo imetoka mwaka huu 2026.
Kuna familia moja ya Black , mume anaitwa robert na mkewe camille, wote ni watu weusi. Kinachosikitisha ni kwamba mwanaume hapo...
Binafsi unajisikia furaha sana...
I kudhani kuna wa hivi basi utakuwa Umekosea njia
Ila hu upepo na uvumi umetufungua sana, kumbe mali za humu ni mbovu kiasi hiki?
Mke wangu ana matatizo ya mcho ya kuona mbali aliwahi kuugua macho akapona kama miaka 8 imepita.
Sasa nimejaribu kufatilia kidogo nikasikia kitu kinaitwa mtoto wa jicho na matibabu yake ni kubadilishiwa lensi tu.
Basi shida yangu nataka kujua makadirio ya matibabu yanaweza kufikia kiasi gani...
Jamani naomba kujua kama jaji Mtungi na msaidizi wake Sisty wapo!
Kuna chama cha siasa kinamiliki majeshi na vyombo vya usalama.
Nadhani hii ni kinyume na sheria ya vyama vya siasa na natumaini hatua kali sana za kukifuta chama hicho zitachukuliwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.