Azim Dewji: Wanasimba hawahitaji kujua Hisa wala thamani ya timu yao,wanahitaji furaha ya ushindi tuu.

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
“Kwanza niwaambie Wanasimba hawana haja ya hisa sijui wamenyimwa hisa.. Nachoamini Wanasimba hawataki hisa wanataka furaha, ili ushinde unahitaji Wachezaji ndio maana Mwekezaji anawaleta. Hawa Viongozi wengine Machawa tu, unasema timu inauzwa ilikuwa na thamani gani miaka 10 nyuma?”

Azim Dewji, Mfadhili wa zamani SIMBA.
 
Anaweza kuwa sahihi na asiwe sahihi.
Ni 50/50
 
Atoe upumbavu wake , Simba tunahitaji ushindi na pia tunahitaji kufahamu timu yetu inakwenda vp,
Kuepuka simba kupelekwa shimoni na kufa kama zilivyokufa club ya Pan Africa na zinginezo.
 
“Kwanza niwaambie Wanasimba hawana haja ya hisa sijui wamenyimwa hisa.. Nachoamini Wanasimba hawataki hisa wanataka furaha, ili ushinde unahitaji Wachezaji ndio maana Mwekezaji anawaleta. Hawa Viongozi wengine Machawa tu, unasema timu inauzwa ilikuwa na thamani gani miaka 10 nyuma?”

Azim Dewji, Mfadhili wa zamani SIMBA.
Hawa maponjori wameshawaona Simba ni mazamwamwa
 
Mangungu walimpaje uenyekiti jimbo tu lenye idadi ndogo yawatu walimkataa inakuaje simba
 
“Kwanza niwaambie Wanasimba hawana haja ya hisa sijui wamenyimwa hisa.. Nachoamini Wanasimba hawataki hisa wanataka furaha, ili ushinde unahitaji Wachezaji ndio maana Mwekezaji anawaleta. Hawa Viongozi wengine Machawa tu, unasema timu inauzwa ilikuwa na thamani gani miaka 10 nyuma?”

Azim Dewji, Mfadhili wa zamani SIMBA.
Kwa hali tuliyopitia kipindi cha miaka ya hivi karibuni, kwakweli tunahitaji furaha tu na hii inaletwa na ushindi katika kila mechi inayokuwa mbele yetu over....
 
“Kwanza niwaambie Wanasimba hawana haja ya hisa sijui wamenyimwa hisa.. Nachoamini Wanasimba hawataki hisa wanataka furaha, ili ushinde unahitaji Wachezaji ndio maana Mwekezaji anawaleta. Hawa Viongozi wengine Machawa tu, unasema timu inauzwa ilikuwa na thamani gani miaka 10 nyuma?”

Azim Dewji, Mfadhili wa zamani SIMBA.
Wakati Simba inafanya vibaya wanaomba walikuwa wataka nini? Mbona hakusema?
 
Hizi akili za kuzuzu ndio zinafanya mnatawaliwa mielel, na kufirwa.

Mtu akiisema Simba unadhani ni Yanga.

Pumbavuuui
Kwahiyo ukifirw* wewe unajua kila mtu anafirw*? Endelea kugawa lokundu lokuta.
 
Back
Top Bottom