“Kwanza niwaambie Wanasimba hawana haja ya hisa sijui wamenyimwa hisa.. Nachoamini Wanasimba hawataki hisa wanataka furaha, ili ushinde unahitaji Wachezaji ndio maana Mwekezaji anawaleta. Hawa Viongozi wengine Machawa tu, unasema timu inauzwa ilikuwa na thamani gani miaka 10 nyuma?”
Azim...
Mfanyabiashara na mwanasiasa wa zamani, Azim Dewji, amefunguka kuhusu masuala ya utekaji na upoteaji wa watu nchini na kueleza kuwa haamini kama Serikali ina sababu yoyote ya kumpoteza au kumuuwa mwananchi au mpinzani yeyote.
Dewji ameeza kuwa kwenye siasa kuna mbinu nyingi ambazo zinaweza...
Mhoji (Charles William): Mara nyingi unapotoka kuzungumzia kuhusu masuala ya amani, utulivu na jinsi ambavyo watu hawatakiwi kuendeshwa na propaganda, kuna watu wamekuwa wakisema mzee Azim Dewji anatakiwa kuungana na Watanzania ambao wanalaani baadhi ya vitu vinavyotokea hapa Tanzania, matukio...
Mfanyabiashara Azim Dewji amesema Iran imewahi kuisaidia Tanzania katika nyakati ngumu, ikiwemo msaada wa meli mbili za mafuta miaka ya 70 wakati wa uhaba mkubwa.
Amesisitiza kuwa urafiki wa kweli huonekana wakati wa shida, hivyo Tanzania ina sababu ya kuonyesha mshikamano kwa Iran katika...
Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora rasilimali za nchi, akitolea mfano wa matukio ya hivi karibuni nchini Venezuela.
Akizungumza kuhusu...
Mshauri wa Sheikh Mkuu Mzee Azim Dewji amesema Krismas mwaka huu itumike kutoa mafunzo kwa Vijana maana Miongoni mwa kazi za Taasisi za Dini ni kutoa Mafunzo ya Maadili mema kwa wananchi kwa Ujumla.
Amewataja waislamu wote nchini hasa Mashia kuuungana na wakristo wote kusherehekea Krisimasi...
Wewe babu unaongea kabisa kwa ujasiri! Yani Polepole ajifiche tu acha uchawa wako huo.
Umri wako ulipaswa kuongea kwa hekima. Usiropoke kama unavyoropoka ukiwa unaiongelea Simba
==================
Mfanyabiashara maarufu nchini, Azim Dewj, amesema kuwa hana imani na taarifa zinazodai kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.