Azim Dewji: Iran walitusaidia, ni muda wa kuwaunga mkono

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mfanyabiashara Azim Dewji amesema Iran imewahi kuisaidia Tanzania katika nyakati ngumu, ikiwemo msaada wa meli mbili za mafuta miaka ya 70 wakati wa uhaba mkubwa.

Amesisitiza kuwa urafiki wa kweli huonekana wakati wa shida, hivyo Tanzania ina sababu ya kuonyesha mshikamano kwa Iran katika kipindi hiki wanachokipitia.

Tukokotoe thamani ya misaada kutoka pande hizo mbili halafu tuchague wa kuungana naye.

NB:Lengo kwa sasa liwe vita kusitishwa,mkeka ujao wese ni 5K/litre na kupatikana ni kwa mbinde.
 
Mfanyabiashara Azim Dewji amesema Iran imewahi kuisaidia Tanzania katika nyakati ngumu, ikiwemo msaada wa meli mbili za mafuta miaka ya 70 wakati wa uhaba mkubwa.

Amesisitiza kuwa urafiki wa kweli huonekana wakati wa shida, hivyo Tanzania ina sababu ya kuonyesha mshikamano kwa Iran katika kipindi hiki wanachokipitia.

Na Wamarekani hawajatusaidia ?
 
Tiar TANZANIA tumepigwa bom la mafuta mfukoni, Leo ahsubh petrol nimenunua lita kwa elfu nne nipo nawaza na vita ndo bdo changa iv..

shida wanaopgana wote wehu tu, watafumuaje miundo mbinu ya muhimu, ila lawama ziende kwa marekan ndo mchochez
 
Mfanyabiashara Azim Dewji amesema Iran imewahi kuisaidia Tanzania katika nyakati ngumu, ikiwemo msaada wa meli mbili za mafuta miaka ya 70 wakati wa uhaba mkubwa.
Nina uhakika Azim Dewji yupo humu na anatumia ID fake uhakika huo ninao nimejaribu kuconnect dots naona zinakubari
 
Labda kwa njia ya siri marekani isijue. Cha msingi ni tz kutokuonesha inaunga mkono upande upi ikiwa inaona ilinufaika kwa pande zote mbili
 
Mfanyabiashara Azim Dewji amesema Iran imewahi kuisaidia Tanzania katika nyakati ngumu, ikiwemo msaada wa meli mbili za mafuta miaka ya 70 wakati wa uhaba mkubwa.

Amesisitiza kuwa urafiki wa kweli huonekana wakati wa shida, hivyo Tanzania ina sababu ya kuonyesha mshikamano kwa Iran katika kipindi hiki wanachokipitia.

Miaka hiyo wazazi wetu walikua hawana magari.
 
Tupeleke Jei dabliu ti zi, wakakiwashe,
Mai jei Wii sasa
images (3) (19).jpeg
 
Mfanyabiashara Azim Dewji amesema Iran imewahi kuisaidia Tanzania katika nyakati ngumu, ikiwemo msaada wa meli mbili za mafuta miaka ya 70 wakati wa uhaba mkubwa.

Amesisitiza kuwa urafiki wa kweli huonekana wakati wa shida, hivyo Tanzania ina sababu ya kuonyesha mshikamano kwa Iran katika kipindi hiki wanachokipitia.

Je na USA waliotusaidia tangu tupate uhuru hadi leo, tutawasaidiaje? USA wametumia USD Billioni 27 tangu tupate uhuru hadi leo. It is very hard to deal with very myopic people. Wameshaweka dini mbele....Kama ni kuwasaidia, kwa jinsi ya akili na mawazo yake, basi USA na washirika wa maendeleo EU tulitakiwa tuwasaidie. Akili za dini ni za ovyo sana. Leo wanapigana Russia na Ukraine, hizi nchi zote zimetusaidia sana, kwa hiyo kwa akili ya Azim Dewji, basi tupeleke watu wengine wapiganie upande wa Russia na wengine wapiganie upande wa Ukraine. Kama akili ya watanzania wanafikiri kama huyu punda basi tuna safari ndefu. Hawaelewi maana ya Non-Aligned Movement (NAM). Tuna wapumbavu wengi sana nchi hii, ndiyo maana nchi inarudi nyuma kwa sababu ya watu wajinga kama hawa.
 
Back
Top Bottom