Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Mshauri wa Sheikh Mkuu Mzee Azim Dewji amesema Krismas mwaka huu itumike kutoa mafunzo kwa Vijana maana Miongoni mwa kazi za Taasisi za Dini ni kutoa Mafunzo ya Maadili mema kwa wananchi kwa Ujumla.
Amewataja waislamu wote nchini hasa Mashia kuuungana na wakristo wote kusherehekea Krisimasi kwa kuwa hata muislamu anamwamini Yesu Kristo.
Amewataja waislamu wote nchini hasa Mashia kuuungana na wakristo wote kusherehekea Krisimasi kwa kuwa hata muislamu anamwamini Yesu Kristo.