Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wewe babu unaongea kabisa kwa ujasiri! Yani Polepole ajifiche tu acha uchawa wako huo.
Umri wako ulipaswa kuongea kwa hekima. Usiropoke kama unavyoropoka ukiwa unaiongelea Simba
==================
Mfanyabiashara maarufu nchini, Azim Dewj, amesema kuwa hana imani na taarifa zinazodai kuwa mwanasiasa Humphrey Polepole ametekwa, akieleza kuwa huenda ameamua kujificha kimkakati kutokana na sababu za kisiasa.
Akizungumza katika mahojiano maalum, Dewj alisema kuwa Polepole alikuwa akijaribu kujitokeza mara kwa mara kupitia mitandao ya kijamii lakini hakupata mwitikio mkubwa kutoka kwa wananchi, jambo lililoweza kumfanya aone kama ujumbe wake hauleti matokeo aliyotarajia.
“Sidhani kama Humphrey Polepole ametekwa. Labda ameamua kujificha kimkakati ili kuonekana kama ametekwa. Huenda ni mbinu ya kisiasa baada ya kuona maneno yake hayana mvuto tena, wakati mama Dkt. Samia kila anapokwenda anajaza viwanja,” alisema Dewj.