Azim Dewji: Siamini serikali inaweza kuwa na sababu ya kumpoteza mtu; anaweza kufungwa au kutafutiwa kesi ili kumuondoa kwenye reli

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722

Mhoji (Charles William): Mara nyingi unapotoka kuzungumzia kuhusu masuala ya amani, utulivu na jinsi ambavyo watu hawatakiwi kuendeshwa na propaganda, kuna watu wamekuwa wakisema mzee Azim Dewji anatakiwa kuungana na Watanzania ambao wanalaani baadhi ya vitu vinavyotokea hapa Tanzania, matukio kama ya utekaji na kadhalika kwa sababu yeye mwenyewe liliwahi kutokea kwenye familia yake, kijana wake Mo Dewji alitekwa na Watanzania waliunganisha nguvu kudai Mo arejee. Lakini yanapotokea matukio mengine ya utekaji kama Azim Dewji anakaa kama upande wa kuitetea serikali.

Azim Dewji: Si kweli. Jambo lolote linalotokea baya mimi nasema na wala simuogopi mtu. Unaona? Na mimi natakiwa hivyo, kwamba kukiwa mtu anastahili sifa mpe sifa yake. Kama mtu anastahili kuambiwa, mwambie. Sisi kidini vilevile tunaambiwa kuna kitu kinaitwa Amr bil Ma'ruf, kwamba mtu anapokosea ni wajibu, ni agizo la Mungu kumkosoa. Kwa hiyo jambo linapoharibika, lazima nasema.

Mhoji: Na wengi labda waliumdhika kidogo uliposema wakati ule kwamba hauamini kama Humphrey Polepole ametekwa. Kwa hiyo wakaona badala ya kuungana na familia ambayo inatafuta ni wapi alipo, wewe umeenda kutoa kauli ambayo imeonekana kama ni dhihaka.

Azim Dewji: Si kweli. Unaona? Kwa mtazamo wangu, kila mtu si anaruhusiwa kuwa na mtazamo wake bwana? Wewe unaweza kuwa na mtazamo wako na ile ni mtazamo wangu. Mimi siyo kiongozi wa serikali wala siyo kiongozi wa chama, mimi ni mwanachama tu. Unaona? Unapokuja kuzungumza maneno ambayo hayaeleweki, basi inakuwa kwamba au umetumwa au wewe una sababu nyingine. Unaona?

Mwanzo unaanza kusema kwamba kuna kipindi kimoja unasema, "bwana rais anapoenda nyumbani basi mlinzi wake anajua kwamba mlango ni huu anamwambia hapa, akifika mpaka anamfungia." Lakini hiyo ni kawaida pahala popote, muangalie rais yeyote ambapo anapoenda anaambiwa hivyo, kwamba na hii gari hii hapa. Kwani rais haoni gari? Au kama kuna mahala pa kutoka hawaonyeshi? Sasa hizo ni protokali za kila pahala. Lakini unapozungumza maneno ambayo hatuyaelewi, si lazima tutakufikiria tu vinginevyo? Au umetumwa au una ajenda fulani.

Unaona? Kwa hiyo mimi nasema Polepole namheshimu, Lissu ni ndugu yangu mimi sina shida naye, lakini tunatakiwa tuwe tunaweka uzalendo wetu mbele.

Mhoji: Kwa mtazamo wako kuhusu haya mambo ya watu kupotea na utekaji...

Azim Dewji: Kama watu kupotea kweli si kitu kizuri kabisa. Kama wanapotezwa na serikali au wanapotezwa na chama, na mimi siamini kwamba serikali inaweza kuwa na sababu ya kumpoteza mtu. Unajua? Kuna vitu vingi tu mtu unaweza ukafungwa, anaweza akataftiwa kesi tu akamondoa kwenye reli, akamweka... kwa nini amuue? Hakuna sababu ya kumuua.

Pia soma: Polepole: Mzee Azim Dewji ni moja ya wale wapiga mapambio kinafiki
 
Yeye hapendi kuishi, aseme ili auwawe. Kuna siku hata huyo atayakana maneno yake. Tuchunge midomo yetu ilikukinda maisha yetu
 
Huyo Mzee mweupe sana
 
Mfanyabiashara na mwanasiasa wa zamani, Azim Dewji, amefunguka kuhusu masuala ya utekaji na upoteaji wa watu nchini na kueleza kuwa haamini kama Serikali ina sababu yoyote ya kumpoteza au kumuuwa mwananchi au mpinzani yeyote.

Dewji ameeza kuwa kwenye siasa kuna mbinu nyingi ambazo zinaweza kutumika kumweka mtu pembeni (kama vile kumfungulia kesi) bila kufikia hatua ya kumpoteza au kutoa uhai wake. Aidha, ameongeza kuwa wakati mwingine matukio hayo hutumiwa na wanasiasa wenyewe kusingiziana ili kutengeneza mazingira fulani ya kisiasa.

"Sina uhakika, lakini kwa kweli sio kitu kizuri kabisa kama wanapotezwa. Na serikali au wanapotezwa na chama. Na mimi siamini kwamba serikali inaweza kuwa na sababu ya kumpoteza mtu."

"Kuna vitu vingi tu mtu anaweza akafungwa. Anaweza akatafutiwa kesi tu, akamwondoa kwenye reli, akamweka... Kwa nini amuuwe? Hakuna sababu ya kumuuwa."
 
Mwanae alitekwa na nani?
Charles William yupo smart sana katika kuhoji wageni wake,ila hili swali alitakiwa kumuuliza huyu mzee!
 
Mhoji (Charles William): Mara nyingi unapotoka kuzungumzia kuhusu masuala ya amani, utulivu na jinsi ambavyo watu hawatakiwi kuendeshwa na propaganda, kuna watu wamekuwa wakisema mzee Azim Dewji anatakiwa kuungana na Watanzania ambao wanalaani baadhi ya vitu vinavyotokea hapa Tanzania, matukio kama ya utekaji na kadhalika kwa sababu yeye mwenyewe liliwahi kutokea kwenye familia yake, kijana wake Mo Dewji alitekwa na Watanzania waliunganisha nguvu kudai Mo arejee. Lakini yanapotokea matukio mengine ya utekaji kama Azim Dewji anakaa kama upande wa kuitetea serikali.

Azim Dewji: Si kweli. Jambo lolote linalotokea baya mimi nasema na wala simuogopi mtu. Unaona? Na mimi natakiwa hivyo, kwamba kukiwa mtu anastahili sifa mpe sifa yake. Kama mtu anastahili kuambiwa, mwambie. Sisi kidini vilevile tunaambiwa kuna kitu kinaitwa Amr bil Ma'ruf, kwamba mtu anapokosea ni wajibu, ni agizo la Mungu kumkosoa. Kwa hiyo jambo linapoharibika, lazima nasema.

Mhoji: Na wengi labda waliumdhika kidogo uliposema wakati ule kwamba hauamini kama Humphrey Polepole ametekwa. Kwa hiyo wakaona badala ya kuungana na familia ambayo inatafuta ni wapi alipo, wewe umeenda kutoa kauli ambayo imeonekana kama ni dhihaka.

Azim Dewji: Si kweli. Unaona? Kwa mtazamo wangu, kila mtu si anaruhusiwa kuwa na mtazamo wake bwana? Wewe unaweza kuwa na mtazamo wako na ile ni mtazamo wangu. Mimi siyo kiongozi wa serikali wala siyo kiongozi wa chama, mimi ni mwanachama tu. Unaona? Unapokuja kuzungumza maneno ambayo hayaeleweki, basi inakuwa kwamba au umetumwa au wewe una sababu nyingine. Unaona?

Mwanzo unaanza kusema kwamba kuna kipindi kimoja unasema, "bwana rais anapoenda nyumbani basi mlinzi wake anajua kwamba mlango ni huu anamwambia hapa, akifika mpaka anamfungia." Lakini hiyo ni kawaida pahala popote, muangalie rais yeyote ambapo anapoenda anaambiwa hivyo, kwamba na hii gari hii hapa. Kwani rais haoni gari? Au kama kuna mahala pa kutoka hawaonyeshi? Sasa hizo ni protokali za kila pahala. Lakini unapozungumza maneno ambayo hatuyaelewi, si lazima tutakufikiria tu vinginevyo? Au umetumwa au una ajenda fulani.

Unaona? Kwa hiyo mimi nasema Polepole namheshimu, Lissu ni ndugu yangu mimi sina shida naye, lakini tunatakiwa tuwe tunaweka uzalendo wetu mbele.

Mhoji: Kwa mtazamo wako kuhusu haya mambo ya watu kupotea na utekaji...

Azim Dewji: Kama watu kupotea kweli si kitu kizuri kabisa. Kama wanapotezwa na serikali au wanapotezwa na chama, na mimi siamini kwamba serikali inaweza kuwa na sababu ya kumpoteza mtu. Unajua? Kuna vitu vingi tu mtu unaweza ukafungwa, anaweza akataftiwa kesi tu akamondoa kwenye reli, akamweka... kwa nini amuue? Hakuna sababu ya kumuua.

Pia soma: Polepole: Mzee Azim Dewji ni moja ya wale wapiga mapambio kinafiki

Hakuna PONJORO anakayesema vibaya awamu hii.
 
Back
Top Bottom