Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia?
Au muda wa kushangilia bado?
Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini?
In fact,
ni kitu nonsense sana...
allah
chadema
chama
funzo
humu
kaka
kifo
lissu
maoni
mashuhuri
mtu
nchini
tofauti
vifo
vifo vya wanasiasa
wafuasi
wako
wanasiasa
wao
wapi
watu mashuhuri
Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu...
Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...😂
Leo nimekajaribu kwa salam..
Mimi: mambo
Yeye: niko poa kabisa
Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani...
Habarini za wakati huu Wazee!
Kama maada inavyojieleza, kuna mshikaji wangu wa karibu sana alinishirikisha Jambo ambalo likanifikirisha sana na kuwa shauku kufuatilia zaidi. Huyu mshikaji wangu yupo Dsm kwa sasa na mimi nipo Dsm kwa muda, jana tukapata muda wa kukutana kupata moja baridi moja...
Huwezi kuamini lakini siku ya jana ilipita pasipo kusikia wala kuona Chama na Serikali vikiomboleza. Sio kwamba ni kuku, No, ni watu zaidi ya miatano waliuawa ndani ya siku tatu.
Huku ni kutweza thamani ya uhai
Nabaki na maswali mengi sana najiuliza kwanza nilazima kujiunga na chama cha TALGWU pale tu unapo ajiliwa. maana nimekutana na makato nika shindwa kuelewa nilivyo jaribu kuulizia nikashauliwa nimuone afisa utumishi basi nikawa nimefanya hivyo lakin majibu nilio pewa ni kwamba ni lazima kila...
Hii ngoma ukiiangalia lazima iku-traumatize.
Jamaa walikuwa wanamkata vipande vya nyama taratibu huku akilia kwa maumivu.
Mind you alikuwa raisi amepinduliwa hapo.
Video inayosambaa mitandaoni inaonyesha kijana akimwambia mama yake mjamzito kuwa hataki apate mtoto mwingine. Tukio hilo linaibua mjadala kuhusu hisia za watoto wakubwa pale wazazi wanapoamua kupata watoto wengine baada ya wao kukua.
Kwa mtoto mdogo, kupata ndugu mpya kunaweza kuwa jambo la...
Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, katika harakati zenu nyny panyaroad ugomvi ukaibuka baina yenu wenzio wakafa sasa serikali imekosea nini? Hapo wa kulaumiwa niwazazi kwa kutowapa malezi watoto wao.
Halafu Hii desturi ya kuilaumu serikali kwa Kila jambo linalotokea katika jamii si...
“Usiishi maisha ya kutafuta makofi ya watu, kwa sababu siku watakapoacha kukupigia makofi, unaweza kujikuta umepoteza sababu ya kuendelea na safari yako.”
Katika maisha yetu ya kila siku, kuna mtego mmoja ambao watu wengi hujikuta wameingia bila hata kujitambua. Mtego huo ni kutegemea...
Kumeibuka week hii story yakusikitisha ya mwanamke Roselyn Asanti Mchuna almaarufu Chunna. Ambae inasadikiwa alilishwa sumu na mmoja ya rafiki zake huko nchini Kenya.
Mwanadada huyo mwenyeji wa Mombasa alikuwa influencer na mfanyabiashara mkubwa wa nyumba za kupanga maarufu kama Air BnB katika...
Wakuu Nina miaka 34 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk.
Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel?
Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel?
Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
Kutokana na matendo ya wanafunzi wa kike wanayo yafanya mitaani baadhi ya Wadau wametoa maoni huku wakisema inatakiwa serikali ikae chini ipitie tena Ile adhabu ya miaka 30 Mtu akitembea na Mwanafunzi.
Mdau mmoja anasema Ile Sheria ilistahili Kwa miaka Ile ambapo wazazi walikuwa wakitimiza...
Mfano Nyani, Sokwe, tumbili, Swala, Twiga, Mbuzi, bundi, nguruwe au wanyama wengine wowote wangemuwahi binadamu na kuwa wa kwanza kula matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya kutoka mti wa katikati ya bustani ya Eden kungetokea nini ? Na wao wangepata ujuzi wa mema na mabaya na kuwa na utashi...
Wengine walevi,
Wengine malaya,
Wengine wana addiction ya nyeto, hadi wanawake pia.
Wengine, wana addiction ya kukesha vibarazani.
Wengine wana addiction ya kazi (workaholic)
In one way or another addiction sio mbaya, it depends where unavuna dopamine zako... Either kwenye vit constructive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.