mtu

  1. PMWAKA

    Watengenezaji Apps mje mnisaidie kitu.

    Wakuu ninashida na App, Mtu anaejua kudevelop mobile App using Android studio naomba msaada wako.
  2. Pdidy

    Vitochi vinasaidia jamani asikwambie mtu smart inasubiri

    Nakushauri we ulie na smart PEKEE mda muafaka kanunue na katochi Kana saidia sana sanaaa Hasa kwenye shida ya chaji kwa kweli hakatanii Pia kama UNATAKA namba zako za Siri unaziweka kule so HATA ukiacha smart yako sebulen unaenda pasha pub unajua M23 watapiga kwenye kitochi tu na inakuwa...
  3. S

    Usiwe pumziko la mtu aliyecheza na maisha yake

    Mwanaume ni kiongozi wa maisha yake, mwenye maono na anayepambana kujenga kesho iliyo bora. Lakini katika safari hii, kuna changamoto—moja wapo ni mzigo wa wale waliochezea maisha yao na sasa wanatafuta pumziko. aise Niseme wazi: Mwanaume usiwe pumziko la mwanamke aliyechezea maisha yake...
  4. chase amante

    Maajabu ya mtu mwenye sura tatu

    Habari wakuu, Kwenye maisha Kuna mambo mengi na mengi bado hayafamiki,lakini Kuna msemo wa wahenga kua ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni. Mimi ni kijana mwanaume ambayo katika pitapita zangu nimeona mambo mengi lakini Kuna hili moja limenitatiza. Kipindi nipo chuo mwaka 2018...
  5. F

    Kumlazimisha mtu kutoa sadaka ya shukrani kwa kufiwa na mama yake aliemuuguza miaka 10 kwa cancer na stroke yenye mateso makali sio sawa

    Habari wadau Kuna familia imepata msiba wa mama yao. Mama huyo amefariki kwa mateso makali ya kuugua kwa zaidi ya miaka 10. Mama huyo alikuwa na cancer na Stroke pia. Familia imeuza mali zao karibu zote katika harakati za kumtibia mama yao na mateso ya kisaikolojia ya kuuguza wamepitia sana...
  6. Matteo Vargas

    Zelensky: Ni bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi umempigia mtu magoti

    Hii ni kauli ambayo raisi wa Ukraine ameiishi pale White House mbele ya Donald Trump ambayo ilitolewa na mwana mapinduzi na mwanaharakati Dolores Ibarruri huko Spain miaka ya 1936 chini ya utawala wa mkono wa chuma wa dikteta Franco. Alichofanya Zelensky mbele ya Trump na makamo wake JD Vance...
  7. R

    Miaka 25 - 35 ndio umri mgumu zaidi kwa vijana wahitimu wa degree, Presha ya kupata mafanikio au kuwa mtu wa level fulani inakuwa ni kubwa mno

    Wahitimu wa degree wanaopitia changamoto za kiuchumi hupata msongo wa mawazo kwa sababu jamii huwa na matarajio makubwa kwao. Jamii huamini wanapaswa kuwa wajanja zaidi kwenye fursa hata wasipopata ajira. jamii huwashusha thamani na hata kuwatania vijana hawa inapoona kuna vijana wenye elimu ya...
  8. Sexer

    Kwa hawa viongozi wetu wa Afrika, nani kama Zelensky alivyowekwa mtu kati Pale white house

    Wakuu, kilichotokea pale white house kati Zelensky dhidi ya Rais wa Marekani na Makamu wake ambapo Zelensky kagomea hadharani bila woga matakwa ya viongozi hao wawili wenye nguvu duniani, na ilifika wakati akabishana nao miamba hao tena wakiwa ndani ya himaya yao, je unadhani kiongozi gani wa...
  9. M

    Nakukumbusha tena kaa mbali na mtu Kigeugeu

    Huyu mtu ni hatari sana atakuingiza kwenye matatizo kibao na kuna muda hutojua kama ni yeye kwa sababu mkiwa naye anaongea hivi ila mkiachana tu anaongea mengine. Mtu kigeugeu mtakubaliana jambo fulani kwa pamoja ila likigeuka likawa na matokeo tofauti na matarajio tayari anakugeuka unaonekana...
  10. KakaKiiza

    Ni njia zipi hutumika ili mtu agombee ubunge hili nikawatumikie wananchi wangu katika jimbo langu??

    Naomba mwongozo jinsi ya kuingia katika mbio za kuwatumikia wananchi wajimbo langu baada yakuona mbunge aliyekuwepo hana alichokifanya,Je ni njia gani za wazi nitumie ili niweze kuingia katika Kinyang'anyiro hicho?? Kwa sina pesa za kuhonga wajumbe mimi nina nia ya dhati ya kutaka kugombea na...
  11. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu aendelea kusisitiza Wagombea CHADEMA, Unataka Ubunge ili iwaje? Watu wetu wanauawa kwa Risasi za Polisi!

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anasema kuwa uamuzi wa mtu kugombea Ubunge au nafasi nyingine ni wa Chama si wa mtu mmoja, na uamuzi wa Chama ni hakuna uchaguzi kama hakuna mabadiliko, hivyo yeyote anayekwenda CHADEMA ajue kwamba hakuna uchaguzi kwa...
  12. euca

    Natafuta mtu anayesoma diploma ya Procurement and supply chup kikuu huria OUT.

    Habari za wakati huu wana jamiiforum, Rejea kichwa cha Habari hapo juu ni kwamba Nina tafuta mtu anayesoma katika Chuo Kikuu huria OUT, kozi ya procurement and supply ngazi ya Diploma lakini pia kama Kuna mtu utakuwa unamfahamu na hayupo humu basi waweza niunganisha naye PM ipo wazi,Ahsante.
  13. W

    Bile acid reflux inanisumbua

    Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
  14. GENTAMYCINE

    Wakatoliki wenzagu tumeshaanza kuyaandaa Machozi, kwani Mimi sipendi Unafiki na Kufichaficha nadhani Israeli hatomuacha Mtu huko Vatican

    Kama Ulaya ndiko kuna Kila Kitu cha Kumzuia Israeli asikibonyeze Kitufe, ila wameshindwa je, kuna sababu ya Kufichana?
  15. Setfree

    Kama unakasirika sababu ya jambo moja kati ya haya fahamu wewe ni Mpumbavu kabisa

    Usiseme natukana watu, soma mpaka mwisho utajua kwanini kichwa cha uzi kimeandikwa hivyo. Katika mijadala na malumbano ya hoja hapa JF, kuna watu wengi waliojaa hasira vifuani mwao. Wanakasirishwa na maneno au vitendo vidogo vinavyoweza kuepukika. Yafuatayo ni baadhi ya mambo madogo ambayo...
  16. Mwizukulu mgikuru

    Nilivyonusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali miaka 15 iliyopita. Tanzania kufariki ni dakika 0 tu!

    Ni miaka 15 sasa imepita tangu ninusurike kuuawa na walimwengu. Nilikuwa nikiishi Tabora, na jioni moja, nilikuwa natembea mjini Tabora. Wakati natembea, nikajihisi kubanwa haja ndogo, nikawa nakatiza mtaa wa Salimini. Kwa wale wenyeji wa Tabora, mnafahamu ule mtaa ulivyo wa Kiswahili...
  17. W

    Nilivyojikuta Kituo cha Polisi baada ya kumsajilia Mtu Line ya simu

    Nakumbuka 2021 kuna mshkaji wangu aliniomba nimsainie line ya simu kwa NIDA yangu kwa sababu alikuwa hana kitambulisho cha Taifa. Basi mimi si nina muamini nikamsajilia kwa wale wakala wanaozungukaga mitaani, kipindi hicho niko Arusha yeye akaenda kufanya mishe zake Morogoro Baada ya miezi...
  18. GENTAMYCINE

    Mnaacha Kuwaombea Watanzania wengi wenye Shida mbalimbali 'Mnajipendekeza' Kumuombea Mtu ambaye ni Tajiri hadi Umauti wake

    Watumishi wa Mungu Tanzania wakiongozwa na Mtume @mtume_boniface_mwamposa wameandaa kongamano maalumu kwa ajili ya kumuombea Dua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. @samia_suluhu_hassan na kuliombea Dua Taifa la Tanzania liepukane na migogoro ya kisiasa, vita na kila aina ya baya...
  19. Nehemia Kilave

    Ni nini kifanyike pale tunapoona mtu anatekwa au kuchukuliwa na watu pasipo ridhaa yake ?

    Habari wana JF ,natumaini mu wazima wa afya . Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya watu kuonekana wanachukuliwa kwa nguvu au kutekwa na kupotea kabisa . Kubwa zaidi katika matukio hayo kunaonekana kikiwa na watu pembeni wakishuhudia matukio hayo huku muhusika akipambana peke...
  20. Dogoli kinyamkela

    Kila mtu ana aura. Aura ni kiputo cha mwanga wa kiroho, sauti na hisia ambayo inamzunguka kila mtu

    kila mtu ana aura. Aura ni kiputo cha mwanga wa kiroho, sauti na hisia ambayo inamzunguka kila mtu. ✍️ Kupitia mbinu rahisi na mazoezi, unaweza jifunze kufahamu zaidi aura zako na za watu wengine. ✍️ Kwahiyo kadri unapopata mwamko wako wa kiroho basi utauona huu ulimwengu ni mpya kwako...
Back
Top Bottom