Habari za mchana? Nilikuwa napenda kufahamu kwa ujumla mazingira ya wilaya ya butiama kwa mtu anayeenda kuanza kazi katika wilaya hiyo.
Kwenye upande wa mazingira na tamaduni za huko butiama ?
Gharama pia za maisha huko butiama zipoje ? Kama nyumba na vyakula.
Pia wanajidhughurisha na kilimo...
Siku hizi watu wanapokea simu ambazo zina umuhimu, zina faida, zinawapa furaha, au zina wito maalum kwenye mambo yao. Ukiona simu zako hazipokelewi jiongeze!
Wakati mwingine unaweza kumpigia mtu simu zaidi ya mara tano lakini hupokelewi. Unatuma jumbe nyingi lakini hujibiwi. Tangu ulipomtafuta...
Kuna bidada next door kutokana na wenge la upwiru nikaweka kumbe mtoto wa watu kanogewa akaja kwenda kwao huko mji kasoro Sasa communication zikaendelea full kujibebisha mi namchora tu.
Sasa mwaka jana akaleta pigo za kumtumia nauli aje kula sikukuu Dar Es Salaam Sasa nikafanya tathmini kutuma...
Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?
Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?
Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
Sio mama Kizimkazi tu hata Nyerere aliijenga sana Butiama.
Hayati Magufuli allijenga sana Chato.
Lissu anaanza mapokezi kwao, akipata Urais atajenga sana kwao
Mbunge wa Jimbo la Kawe Dar es Salaam, Askofu Josephat Gwajima amehoji serikali imejipangaje pale itakapopokea tiba ya ‘CRISPR Cas 9 Gene Editing’ kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa seli mundu (sickle cell), kuhakikisha kwamba mtu atakapoingia kwenye chumba cha tiba hahaririwi vitu vingine kwa...
Nimesikia kauli iliyotolewa bungeni na waziri naibu wa habari, tamaduni na sanaa na michezo Hamis mwinjuma kwamba wachambuzi wote lazima waende shule kwanza ambapo amedai kwamba ni kutokana na sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1,
Katika uhalisia sheria haikumaanisha...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo yanaendelea.
Sehemu kubwa ya Jumuiya ya Kimataifa inaamini kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amepiga marufuku wataalamu wa afya mkoani humo kutoza fedha wala vifaa tiba kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure, na kuwataka kufuata muongozo wa Sera ya Afya kwa usahihi.
RC Mtaka ametoa agizo hilo wakati wa kikao cha Kamati ya...
Mwanamke makini anaejitambua na mwenye mvuto na vionjo vitamu hawezi kuchepuka.
Ila ukiona anachepuka ujue ndio basi tena ashakuwa scraper usimshangae.
Pang Fung Mi
Habarini wana jamvi.
Kutokana na vijana wengi waliopata nafasi za kuajiriwa kwa mikataba ya muda maalum katika mashirika binafsi hujikuta kuendelea kuomba nafasi sehemu zingine huku wakiwa bado wapo katika mikataba yao ya awali.
Binafsi nimejikuta nimesomea fani ya Ujenzi nikiwa chuo as a...
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amesema haina haja ya kuweka wahudumu wanaotoa huduma za ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) ili kuepuka shirika kupata hasara kwakuwa ndio kwanza mradi huo umeaanza hivyo haina haja ya kuweka gharama kubwa za uendeshaji.
"Hakuna haja ya kuwa na...
Wakuu salaam kwenu. Imebidi niombe maoni yenu kwani Kuna tabia za ajabu ambazo kuishi nazo yataka moyo.
Tumepiga kambi kwa kazi Fulani ya miezi sita Mimi na jamaa zangu watano,hivyo tupo jumla watu sita, wote wanaume.
Tunaishi maisha ya furaha kama marafiki au niseme ndugu kwani hakuna...
Kuchaguliwa kwa mtu mwenye miaka 80 kuwa makamu mwenyekiti wa chama tawala kuna madhara na faida nyingi.
Kisiasa, umri mkubwa unaweza kuleta uzoefu wa thamani, lakini pia kuna changamoto zinazohusiana na uwezo wa utendaji wa mtu huyu katika nafasi hiyo.
Madhara
Mtu mwenye umri wa miaka 80...
Karibu sana Mdogo wangu Diamond katika Umri wa utu uzima, Sasa wewe jijuwe sio Kijana Tena, Kwa maana Umri wa ujana mwisho ni miaka 35. Kama ilivyo Kwa mwanamama Jokate ambaye naye si kijana Tena.
Hivyo, kwenye makongamani ya vijana diamond ataalikwa kama mtumbuizaji, na si kama Kijana wa...
Ni matumaini yangu mpo salama kabisa.
Wakuu hii tabia ya kuwa kwenye kusanyiko lolote au unakutana na watu tofahuti Kila mara halafu wananambia nimefanana na mtu eidha aliyewahi kumuona au anayemfahamu imenichosha na naona kabisa inanikera.
Hivi Kuna mtu yeyote aliyewahi au anayekutana na hii...
Habari za muda huu waungwana wa hapa jamvini......
Kwenye ulimwengu wa sasa uliojaa changamoto za ulaghai na uaminifu imekuwa ni changamoto kubwa sana kukutana na mwenza mwenye moyo wa dhati wa kujenga maisha na wewe......
Limekuwa jambo la kubahatisha kwa kuwa wakati mwingine waongo na wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.