Kuna Mtanzania mwenzetu anaitwa Juma Ally Maganga ambaye ni dereva wa magari makubwa, inadaiwa anashikiliwa na Watu ambao wanadai wao ni Askari Polisi Nchini Sudan Kusini, sababu ya kumshika ni kwamba wanamtuhumua amemgonga mtu na kusababisha kifo wakati alipokuwa katika safari zake akipita...
Jana nimekutana na dharau kwenye daladala ambapo kila mmoja alikua amefura kwa staili yake.
Baada ya kupanda tu dada akaanza kuongea na simu, ikionesha amemuazima gari anaeongea nae. Sentence “ gari yangu” ilitumika sana. Sauti ilikua kubwa gari zima alisikika yeye.
Sasa sijui uyo aneongea nae...
Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Mabingwa watetezi wa kombe la Muungano Simba SC watashuka dimbani kumenyana vikali kuzisaka alama tatu ugenini dhidi ya Namungo FC mjini Luangwa Lindi majira ya saa 12:30 Jioni
Kila la kheri na mchezo mzuri kwa timu zote mbili.
Updates za vikosi vya timu...
Kutokana na mapenzi ya mtu ikiwa wampendaye akihama chama,akifa au kushindwa uchaguzi chama kitatetereka kutokana na kusujudu mtu na si katiba,misingi na itikadi. Hii ni kwa vyama vya upinzani lakini Ccm wao baadhi kujifanya wafuasi wa mtu ni kujipendekeza ili wapate teuzi na chakula na Ccm...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wataalamu wa sekta ya ujenzi kubuni mbinu za kupunguza foleni mijini na kuongeza mapato ya Serikali kupitia barabara za mwendokasi huku akipendekeza zitumiwe na magari binafsi kwa kulipia.
Akizungumza leo Alhamisi Februari 13, 2025 mkoani kwenye...
Shika neno hili. Kuna mtu ukimkopesha Hela, kila mara unakuwa mtu wa kupoteza simu na mtu msahaulifu.
Mtu mwingine ukimkopesha Hela Yako, anakupeperusha, unajikuta bila sababu yoyote umehamia mbali na eneo la mdaiwa wako.
Mtu mwingine ukimkopesha Hela, unajikuta unaanza kuandamwa na makesi ya...
Nashangaa wakati mwingine unaandika nyuzi ya kawaida tu, ila watu wanareply haiwezekani, chai, uongo. Mngejua, kuna mambo ya kustaajabisha watu wameyabeba moyoni, hawawezi tu kusema na hata wakisema hamtawaamini.
Anyway, hivyo vibao viwaburudishe (mimi baadhi ya yale ya moyoni ambayo siwezi...
Errol Musk, baba wa Elon Musk amefichua siri kwamba yeye ni mtu wa totozi. Mzee Musk ameenda mbali zaidi na kusema yeye amekula kuku na mayai yake na wala hakuna ubaya kula mayai kwa maana kwamba ametembea na kuzaa na binti yake wa kambo.
Mzee Musk alimuoa Heide, mkewe mwingine ambae walioana...
Nimekumbuka hili tukio huwaga linaniumiza sana…
Unakuta mwanaume anakuangaikia kukupata mnaenda vizuri mara anabadilika mwisho wa siku ana kwambia yeye kuna mtu yuko nae kabla yangu so ina maana mimi ni mchepuko wake
Oya kuna Kijana mmoja baada ya kuwa na kutokuelewana sana kati yetu...
Wakuu habari za nyakati hii, nashukuru kwa mliojitokeza kwenye matangazo yangu ya awali ila kwa leo nina uhitaji na mtu wa kusimamia Ng'ombe mkoani Iringa, kijiji cha Malangali, nyumba ya kuishi ipo tayari na chakula kipo pia sharti tu awe ni mtu na familia yake ili wakifika wafanye makazi ya...
Maisha hayana formula, Mara nyingine kwenye Maisha yako omba Sana Bahati! Huwezi amini ndio huyu sasahivi anakaa meza moja na Wararabu kutoka Saudia, yeye ndio anaamua akate kipande kipi.
Nimeleta mada kwenu tajwa hapo juu.
Katika harakati zangu za mizunguko ya hapa na pale , nimejikuta naanzisha mazoea na mke wa mtu ,mwisho wa siku nikamkaribisha kwangu kwa bahati nzuri akaniambia anakuja ile alivyokuja nikamtamkia nampenda ila alichonisihi akaomba iwe siri yangu mimi na yeye...
Moja Kwa moja kwenye mada.
Mkuu wee ni MTU mzima Mwenye familia na watoto kama Mimi pengine umenizidi umri au nimekuzidi umri.
Umenipigia simu asubuhi ya Jana tumepanga fresh sana mipango na akuniambia kuna Kazi unataka unipe ambayo itanisogeza kimtindo nikakwambia Mimi nipo fresh kabisa...
Valentine hiyoo inakuja usikose maua na chocolate mwambie nakupenda ili muende VALENTINE.
Usikae mwenyewe kama mshumaa umejifungia, huu uzi kwa ajili yenu.
Fungukeni mukasherekee kwa pamoja.
Katika mijadala mingi kuhusu dini na imani, kuna mkanganyiko mkubwa kati ya neno mpagani na mtu asiyeamini kabisa uwepo wa Mungu (atheist). Nimetumia neno wapagani kwenye kichwa cha habari ili kuvuta usikivu wako, lakini lengo la makala hii ni kufafanua tofauti kati ya makundi haya mawili na...
Muda huu kungekuwa na msiba mzito kwenye baraza la mawaziri kama nyuma mwiko angefungwa,
Naona wanajeshi bado wana mishahara yao wamegomea bahasha na kocha wala hana shobo na nyuma mwiko.....aibu kwa refa aliyepokea bahasha amejitahidi kuongeza dk zake lakini la kuvunda halina ubani refa apewe...
Huko Coco Beach, sio mara moja, kuna mwamba anapita pita na Hummer yake ya umeme namba E full kipupwe kama mufindi haigongi.
Hana mbwembwe hajaweka personalized number plate.
Ikumbukwe chuma inauzwa Tsh Mil 250 kwenda juu, hapo bila usafiri wa kuileta Bongo wala Ushuru wa TRA (ambao utakua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.