mtu

  1. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Sisi wasomi/wanazuoni tutautumia mgomo wa kutokula wa Lissu kama Case Study ili tuone mtu anakufa baada ya siku ngapi akikaa bila kula

    Niombe watanzania asiwepo mtu wa kuingilia mgomo wa kutokula ambao anatarajia aufanye Lissu kuanzia tar. 26/10/2026. ili kutupa nafasi sisi wasomi tuweze kubaini na kuona ni siku ngapi mtu anaweza akaishi bila kula mpaka anakufa. Sisi wasomi jukumu letu litakuwa ni kuhesabu siku tu mpaka siku...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Dkt Chemical anafundisha nini huko UDSM kama hajui Ndoa ni sehemu ya mafanikio ya mtu both Mwanaume na Mwanamke?

    Dkt CHEMICAL ANAFUNDISHA NINI HUKO UDSM KAMA HAJUI NDOA NI SEHEMU YA MAFANIKIO YA MTU BOTH MWANAUME NA MWANAMKE? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ndoa ni moja ya vipimo vya mafanikio ya mtu. Hilo mtu yeyote ambaye anaakili timamu analijua. Sasa mtu umeenda shule mpaka umefika chuo kikuu...
  3. adriz

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Facebook wanaonekana Low IQ na TikTok ni Vijana wa ovyo? Je, mitandao inaakisi akili ya mtu?

    Moja kwa moja.. Kumekuwa na kasumba bongo ya mitizamo hasi juu watu wa Facebook na TikTok tofauti na mitandao mingine , mfano hapa Jf miaka ya nyuma ukiPost kitu ambacho kinaonekana cha hovyo ua ukiwa dhaifu katika hoja utasikia kauli kama ; 1. Rudi Fesibuku 2. Peleka utotoni wako Fesibuku...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kutetewa na na aina fulani ya watu kunamharibia zaidi mtetewaji kuliko kumsaidia.

    Yawezekana kweli mtu ana mapenzi na mtu au taasisi.lakini namna yake na hoja zake za uteteaji na usifiaji inatia mashaka, ni TOO MUCH! Kumtetea mtu kwa sifa zinazopitiliza viwango. Kusema hadi uongo kwa lengo tu la kusifia,hadi kumpa mtu sifa ambazo sio za kibinadamu ili tu kumpamba...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kati ya kumuoa au kuolewa na mtu asiyefaa au kuingia katika familia isiyofaa... ni kipi kibaya zaidi?

    Kuoa au kuolewa na mtu asiye sahihi ni kubaya zaidi kuliko kuingia kwenye familia mbaya. Hii ni kwa sababu mwenzi wako ndiye mtu utakayeishi naye kila siku, mtakayeshirikiana chumba kimoja, na unayemtegemea kwa usalama wako wa kihisia na kimwili. Ingawa hali zote mbili zina changamoto kubwa...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Je unafahamu nini kuhusu MIND GAME?Je umeshawahi kuchezewa mind game au kumchezea mtu mchezo huu dhalimu wa kikatili? Pascal Mayalla alichezewa na JPM

    Mind game (mchezo wa akili) ni mbinu ya kisaikolojia au ya kimkakati inayotumiwa kumghairi, kumtishia, kumchanganya, au kumfanya mtu afikiri na kutenda kwa namna fulani ili kupata faida au ushindi dhidi yake. Maana na Lengo Kudhibiti hisia: Huchezwa ili kumfanya mtu akose uhakika na maamuzi...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kila mtu angewashangaa wazungu kama Lissu angepata tuzo ya SAKHAROV

    Ndani ya EU kuna watu wajinga/corrupt/lobbists wanapenyesha hoja za kijinga kwa wajumbe wa EU ili kufanikisha agenda zao za kijinga. Sema tu wabumge wa EU wengi wao wana akili lazini, wanazipiga chini mwisho wa siku kwa kuogopa kuchekwa na dunia. Yaani Lissu amefanya nn cha maana kinachostahili...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wana jukwaa, hivi mtu kama huyu angepataje tunzo ya masuala ya haki tena kimataifa?

    Yaani anapewa tuzo ya haki kivipi yaani kwa mfano, kama mtu mwenyewe kaenda kuificha familia yake mahali fulani anapopajua yeye, halafu anarudi pekeyake, huku ana tiketi staby ya ndenge mfukono, anataka kutumia familia za wengine kufanya huu uovu anaoueleza hapa, halafu eti apewe tuzo, real?.🐒...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuisikia sauti ya mungu? Unatambuaje akikujibu maombi?

    Wanaosema wamejibiwa maombi na mungu au wameongozwa na roho Mtakatifu huwa wanajuaje ? Huwa wanasikia sauti yake mungu?
  10. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kuna kiwanja nataka kununua ila kipo katika mtaa ambao upimaji wa viwanja haujafika. Je inawezekana kumtafuta mpimaji anipimie na kuniwekea bikon?

    Karibuni wakuu
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Alafu mtu anakuja kusema Wamarekani ni mashetani. Shetani ni huyo anaekuhuburia kil siku hivyo ili aulinde ushetani wake

    Hata hizi pesa zilizo rudishwa zinaenda kupigwa juu kwa juu na wala ugali.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mimi nimesema kuna mtu atakufa tu, hata kama anajifanya yuko imara

    Narudia tena kuna mtu atakufa haraka sana kuliko anavyodhania na kujiona. Time will tell
  13. mdogo wenu wamwisho

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Je, ni kila mtu anayestahili kusaidiwa?

    Katika jamii zetu, tumefundishwa kusaidiana tunapokuwa na uwezo. Lakini kuna swali ambalo watu wengi hawapendi kulijadili: Je, ni kila mtu anapaswa kusaidiwa? Wapo watu wanaosaidiwa mara nyingi lakini hawajifunzi kujitegemea. Wengine wanapewa mitaji, wanaharibu, kisha wanarudi kuomba msaada...
  14. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Ila JF 😁, kila mtu ana pesa, ana nguvu za kiume, anatongozwa na wake za watu , kila mtu haishi kwa shemeji yake na kila mdada humu ana keboz makubw🔥

    Maisha yaendelee
  15. F

    JamiiForums Tanzania Swali je kuna mganga wa kienyeji mkali ambaye dawa na mizimu yake inaweza kumfanya aweze kufungua password ama pattern ya simu ya mtu mwingine ?

    nimekutana na hii post sehemu, nikajiuliza nami , je kuna mganga wa kienyeji mwenye huo uwezo?
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania History ina jirudia kila mtu kubaki na nchi yake

    Trump watu wana mshambulia ila kinachofata kwa sasa msije kulaumu nyie mnaokimbilia nchi zao. Wachina wanaanza kukusanya vyao. Najiuliza UK itakuwa arabic au Iran kuwa saudia . Dunia ya sasa kuna series inaitwa ze Babylon ya mwaka 90 na nyengine star war's japo imepunguzwa ukwali.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nasra Mohamed (M/kiti UVCCM – Dar): Kiongozi anayewatisha Vijana tutakushugulika naye, hatutakuogopa, upendwe na kila mtu wewe Pesa!

    “Kuna kiongozi anatishia UVCCM tutakushugulikia hatutakuogopa, unataka upendwe na kila mtu umekuwa Pesa.?” - NASRA MOHAMED - Mwenyekiti wa UVCCM DSM.
  18. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni lazima mtu awe na mipango maishani, au tunaweza kufanikiwa hata bila mipango?

    Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilifikiria sana mwishonimwa mwaka huu. Kama tunavyojua mwaka ndio huo unaelekea ukingoni, tupo Oktoba sasa, lakini naamini kuna watu walioweka mipango yao Januari ambayo mpaka sasa bado haijatekelezeka. Wengine walipanga kuanzisha biashara, kujiendeleza kielimu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni lazima mtu awe na mipango maishani, au tunaweza kufanikiwa hata bila mipango?

    Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilifikiria sana mwishonimwa mwaka huu. Kama tunavyojua mwaka ndio huo unaelekea ukingoni, tupo Oktoba sasa, lakini naamini kuna watu walioweka mipango yao Januari ambayo mpaka sasa bado haijatekelezeka. Wengine walipanga kuanzisha biashara, kujiendeleza kielimu...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa ni mwizi Hana credibility ya kumshutumu mtu yeyote kwa ufisadi

    Hii kitu ni nzuri kwa Watanzania watu CCM kugombana wenyewe kwa wenyewe. Lakini mchengerwa ni fisadi na mwizi hawezi kumshutumu Mtanzania yeyote Zile frem za mbagala pembeni ya kituo Cha mwendokasi atuambie ametoa wapi pesa za kujanga frem pale?.
Back
Top Bottom