Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Yaani anapewa tuzo ya haki kivipi yaani kwa mfano, kama mtu mwenyewe kaenda kuificha familia yake mahali fulani anapopajua yeye, halafu anarudi pekeyake, huku ana tiketi staby ya ndenge mfukono, anataka kutumia familia za wengine kufanya huu uovu anaoueleza hapa, halafu eti apewe tuzo, real?.🐒
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Tanzania