Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).
Tumekuwa na Taifa ambalo lina support matendo ya kishetani kama haya chini ya huyu mwanamke. Kama (mashoga wanafanya annual conference yao)
Serikali kupitia Polisi, TISS mambo ya kishetani kama haya hawayahoni ila CHADEMA wakifanya mtukano unazuiwa kwa sababu ya intelijensia yao imewaambia...
Huku na huku, nikajikuta namingo na toto moja bambataa....
Nikaanza kuilia mongo, siku nakutana nayo kwenye maongezi ikawa namna hii....
Yeye: Yaani kila nikikuona ukitabasamu, hua natamani nikukaribishe nyumbani kwangu ili nikufanyie kitu.
Mimi: Waaawuuu...🤗 nikamuuliza kwani upo singo...
Taifa lipo kwenye kipindi ambacho wananchi wanahitaji ukombozi. Wamechoshwa kuibiwa mali zao za umma na wanaona kabisa CCM inaondolewa madarakani.
Wasaliti kama Mbowe au Zitto Kabwe miaka ile ya nyuma hawana nafasi tena.
Chadema wachukue hatua stahiki mapema dhidi ya huyu mnafiki.
Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu.
Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa...
Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm?
Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese...
Carima is bitch ni msema wake pendwa lema,leo anajitokeza kulia lia mbele ya wanahabari uchwara kumlalamikia Mage kimambi, na Maria Sarungi real?
Lema ni wakulia lia mbele ya vyombo vya habari kweli na kusema kuna wakati wanaharakati walmislead akawachafua ccm kweli?
Naomba CHADEMA lema ni...
Mama nimetazama tena zile video za “Kazi Yako” ya Tarh 29/10/2025 nikasema hadharani unaonekana upo Imara lakini nadhani ukibaki peke yako katika faragha zako bila shaka unailaani siku waliyokupa Urais.
Nimetazama zile video na nikashuhudiwa wazi wazi moyoni kwamba pengine EL NINO inayotangazwa...
23 October 2026
Ikunga, Singida
Tanzania
MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE
https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI
Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ...
Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
Nimemfahamu last week ofisini kwao nimeonana naye mara mbili ya tatu nimemgonga. Ni mtamu balaaaah.... Namfikiria vituko vyake mtu mzima anadeka kama mtoto.
Wakati namwomba game alikuwa anakataa huku nguo zinatoka... Akaanza kulia huku anakatika kuwa ninamfanyia vibaya alikuja tu kunisalimia...
Habari zenu wakuu,
Japo mnasema Kitanda hakizai haramu lakini Kwa hapa nimekuwa nimekuwa Na mashaka, Ni miaka miwili Sasa imetimia Toka niachane Na Yule binti wa kizaramo Na kuachana kwetu Kwa upande wangu sikuwa Na sababu kubwa japo Nina Imani Kwa upande wake sababu ilikuwepo japo mpaka Leo...
Yaani upo nchi za watu ,wakakupa na uraia na bado ukapewa na uongozi kama zali la mentali,na bado unataka kutunisha misuli na wenye system .... Sioni akitoboa huyu mamsi...
Nachokiona ni attention seeker aonekane kwenye spotlight (ukizingatia pia nchi anayotoka na dini yake ya haki 😑)...
Yaani anapewa tuzo ya haki kivipi yaani kwa mfano, kama mtu mwenyewe kaenda kuificha familia yake mahali fulani anapopajua yeye, halafu anarudi pekeyake, huku ana tiketi staby ya ndenge mfukono, anataka kutumia familia za wengine kufanya huu uovu anaoueleza hapa, halafu eti apewe tuzo, real?.🐒...
Kijana kapata nafasi ya kuongea na Rais akaomba kwenda kutukana wapinzani. Ni zaidi ya uwendawazimu. Rais wa TAHLISO kakosea sana. Hii kauli yake haifai kwenye nchi ya kistaarabu kama yetu. Halafu TAHLISO sio chama cha kisiasa wala idara ya CCM. Huyu angejikita kwenye malengo ya TAHLISO na hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.