Lema anasema njia ya chuki haitasaidia CHADEMA, kuing'oa ccm huyu jamaa ni kichaa, CHADEMA wasipende ccm ndo watatoboa? "Stupid"

Lema anasema njia ya chuki haitasaidia CHADEMA, kuing'oa ccm huyu jamaa ni kichaa, CHADEMA wasipende ccm ndo watatoboa? "Stupid"

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm?
Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese nenda Kalale na hao watu ila usishawishi na wengine wawe kama wewe kamwe.
 
Chuki imekusaidia nini? Imekuongezea kipato? Imekupa madaraka? Ccm imetoka madarakani?

Zaidi inakupa sonona, kesi mahakamani, malalamiko, matusi (unamkosea muumba wako kwa matusi yasiyo na mwisho) nk
 
Back
Top Bottom