Baada ya Mdau kuandika hoja akieleza ~ MWAUWASA na urasimu unaofikia kiwango cha juu, ufafanuzi umetolewa kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA).
MWAUWASA:
Kuhusu suala la maunganisho mapya ya huduma ya maji, kwa sasa Mamlaka imeboresha zaidi na Mteja anaomba...
Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm?
Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese...
Ndugu zangu Watanzania,
Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge.
Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
"Njia ya mbele hii ni ngumu kuliko hii ya sasa ila wananchi wanaweza kuzuia hiyo njia isiwaumize viongozi wao, wananchi wako tayari?
Sasa nikizungumza hivyo kwenye mikutano wanaanza ooh Lema umeanza kuwa muoga, sio kuwa kuoga pengine nimeanza kuwa na hekima, nimegundua kuwa njia ya chuki...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya umeanza kutekeleza maelekezo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, kwa kufungua maeneo na njia 106 za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga hadi Ifisi, hatua inayolenga...
Tanzania na Angola zimekubaliana kuunganisha mitandao yao mikubwa ya reli ili kutengeneza njia ya usafirishaji inayovuka bara la Afrika na kuunganisha Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Hindi.
Makubaliano hayo yametangazwa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Angola...
MABORESHO NA NJIA MPYA ZA MABASI YA MJINI (DALADALA) KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM
Dar es Salaam 20 Oktoba, 2026
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) katika hatua ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya usafiri wa abiria inatangaza maboresho katika baadhi ya njia pamoja na uanzishaji wa...
Why doth CHADEMA perpetually resort to jocularity in matters of fundamental import? Ye remain passive, not active!
It is meet and proper for Lissu to abstain from nourishment, yet for us without to engage in a hunger strike is devoid of significance.
We ought to proceed unto the penitentiary...
Ibiteketeke, mboga ya majani ya magimbi yaliyokatwakatwa.
Ni matamu lakini yanawasha sana mdomoni. Nilikuka jana usiku.
Muda huu natoka chooni, nimepata choo kwa mateso makali sana, njia nzima ya haja kubwa inawasha na kuwaka moto
Wahangaza hii kitu msirudie tena kuwapa wageni. Mnawatesa.
Ukitaka kwenda kibiti na au mikoa ya kusini na unatokea morogoro au mikoa ya kaskazini na unataka kwenda lindi au mtwara au rufiji basi itakulazimu kwenda mpaka dsm ndo uende mikoa ya kusini rufiji, lindi na mtwara
Hii inconvinience ni kwa sababu kuanzia chalinze mpaka kibiti hakuna barabara ya...
Samia na wengine wote wanaomhangaikia ili serikali yake na utawala wake uonekane kuwa halali ni muhimu waelewe hili: Kwamba hakuna njia yoyote inayoweza kugeuza Haramu na kuifanya Halali..
Tume za akina Chande na Lila hazina uwezo huo; na wala kuendelea kukandamiza wapinzani na kuwafungulia...
Bodaboda na bajaji katika eneo la Stendi Mpya ya Kigoma zimekuwa zikitumia njia za waenda kwa miguu kukwepa taa za barabarani, hali inayosababisha uharibifu wa taa za pembeni mwa barabara na wakati mwingine ajali.
Watembea kwa miguu tunasikitishwa na tabia hiyo, tunakitaka madereva wa bodaboda...
Wale pro-Nyerere wote nawaita humu. Kichwa kinajieleza chenyewe. Ni kweli Nyerere alirithi Tanganyika kwa njia za kidemokrasia kupitia uchaguzi halafu baada ya yeye kuingia kwenye madaraka, akaamua kwa utashi wake yeye binafsi, kuleta udikteta kupitia chama chake cha TANU na baadae CCM.
Na huu...
Yakiendeshwa na ukuaji wa haraka wa nishati mpya na utengenezaji wa hali ya juu, madini kama vile madini adimu, lithiamu, na kobalti yamekuwa karata muhimu katika ushindani wa kimataifa. Bara la Afrika lenye utajiri wa madini linaonyesha hali tata: nchi zenye uchumi mkubwa zinaimarisha msimamo...
Madereva wa Bajaj njia ya Mbagala Vikindu tunazuiwa kupita Mwandege kisa wanasema Bajaj haziruhusiwi kuvuka mkoa na ukipita na abiria unaandikiwa hadi vyeti vitano kwa wakati mmoja.
Hakuna utaratibu inasemekana ni mbinu ya watu wa daladala kuzuia Bajaj ili wao wafanye kazi japo abiria...
Anonymous
Thread
abiria
bajaj
kuzuiwa
mbagala
njia
utaratibu
vikindu
Madaraka yana-njia zake na usipojua njia za kushika maradaka hata uwe na akili kiasi gani ni ngumu sana kushika madaraka kama hujui zake
Paul Makonda anajua njia za kushika madaraka na mara nyingi watu kama hawa huwaga wanachanga karata zao kwa siri huku wakiwa kwenye power mnakuja kushtuka...
Zile hela za washirikina hazipo watu tukalie mihogo kwa mama mnene rip.
Hali ni mbaya sikuhizi waganga hawatoi zindiko kwa kutupa pesa njia panda.
Mshana Jr
"Wakulima kutambua kwamba kilimo sasa hivi ni biashara,” huu ni wito wa Afisa Kilimo wa Mkoa wa Geita, Mayunga John, ukibeba majibu ya mojawapo ya changamoto kubwa ambayo imeendelea kuwagharimu wakulima wa mkoa huo kwa miaka mingi, upotevu wa mazao ya chakula baada ya mavuno.
Katika sehemu...
Hakuna kitakachoweza kumuangusha mtoto ambae anapitia misingi muhimu inayompelekea awe mwenye afya nzuri ya kihisia, anayejiamini, anayeweza kujenga mahusiano mazuri na wengine na anayejifunza kudhibiti hisia zake.
Haya yote hayaji kwa mtoto kama muujiza, haya yanatengenezwa na ukaribu wewe...
Mheshimiwa Msomaji,
Husika na mada iliyotajwa hapo juu.
Nina heshima kubwa kuwasilisha rasmi kwako Jalada la Usalama wa Kimkakati kuelekea Tanzania 2029, lililoandaliwa na Baraza la Kufikirika la Ushauri Kuhusu Utawala Bora na Usalama wa Kimkakati.
Jalada hili limetayarishwa kufuatia tathmini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.