Kujengwe barabara ya njia sita kuanzia chalinze mpaka kibiti na kisarawe

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Ukitaka kwenda kibiti na au mikoa ya kusini na unatokea morogoro au mikoa ya kaskazini na unataka kwenda lindi au mtwara au rufiji basi itakulazimu kwenda mpaka dsm ndo uende mikoa ya kusini rufiji, lindi na mtwara

Hii inconvinience ni kwa sababu kuanzia chalinze mpaka kibiti hakuna barabara ya lami ndo maana inalazimu kuwa na huu usumbufu

Kama kukijengwa barabara ya lami kuanzia chalinze mpaka kibiti na kisarawe basi kwa kiasi kikubwa sana itaffungua haya maeneo ambayo yapo nyuma sana kimaendeleo

Faida ya barabara ya chalinze mpaka kibiti
  1. Itaondoa usumbufu wa kupitia dsm kwa watu wanaotokea mikoa ya kaskazini au kanda ya ziwa wanaotaka kwenda kanda ya kusini
  2. Itafungua uchumi wa hayo maeno ambao uko nyuma sana
  3. Itaongeza uzalishaji sababu kutakua na wepesi wa kushafirisha mazao ya kilimo yanayozalishwa kwa hilo eneo
Nikiwa Rais wa Tanzania lazima hiyi barabara itajengwa
 
Wazo zuri sana kama likifanyiwa kazi hata kisarawe inaweza kuchangamka zaidi na maeneo ya kibiti..maana huko kumepoa sana
 
Ukitaka kwenda kibiti na au mikoa ya kusini na unatokea morogoro au mikoa ya kaskazini na unataka kwenda lindi au mtwara au rufiji basi itakulazimu kwenda mpaka dsm ndo uende mikoa ya kusini rufiji, lindi na mtwara

Hii inconvinience ni kwa sababu kuanzia chalinze mpaka kibiti hakuna barabara ya lami ndo maana inalazimu kuwa na huu usumbufu

Kama kukijengwa barabara ya lami kuanzia chalinze mpaka kibiti na kisarawe basi kwa kiasi kikubwa sana itaffungua haya maeneo ambayo yapo nyuma sana kimaendeleo

Faida ya barabara ya chalinze mpaka kibiti
  1. Itaondoa usumbufu wa kupitia dsm kwa watu wanaotokea mikoa ya kaskazini au kanda ya ziwa wanaotaka kwenda kanda ya kusini
  2. Itafungua uchumi wa hayo maeno ambao uko nyuma sana
  3. Itaongeza uzalishaji sababu kutakua na wepesi wa kushafirisha mazao ya kilimo yanayozalishwa kwa hilo eneo
Hiyo barabara sio muhimu kama unavyodhani wewe mkuu.Barabara inayohitaji njia sita kwa sasa ni Dar es Salam to Dodoma,tena this is overdue.Infact sina hata haja ya kutaja faida zake,kwa kuwa zipo too obvious.
 
Ndoto za alinacha,wameshindwa kuoanua barabara ya. DSM-MORO iwe huko maporini? Sio kwa utawala huu.
 
Wazo zuri sana. Imefika mahali sipendi kabisa kufika DSM kwa njia yoyote. Tabu inaanzia Morogoro na Kabla ya kukaribia mkuranga. Ni vema kiwa na 4 hd 6 way ili hadi DSM. Yaani Mbezi to Morogoro masaa 6? Si sawa
 
Ndoto za alinacha,wameshindwa kuoanua barabara ya. DSM-MORO iwe huko maporini? Sio kwa utawala huu.
Asilia nipo tofauti kweli na watu wanaojisikia; we unayeita kwa wenzio porini unatokea mkoa gani?!!!!😏😏
Hii niliyotembelea Mimi au mingine?!!!
 
Hiyo barabara sio muhimu kama unavyodhani wewe mkuu.Barabara inayohitaji njia sita kwa sasa ni Dar es Salam to Dodoma,tena this is overdue.Infact sina hata haja ya kutaja faida zake,kwa kuwa zipo too obvious.
Uzi hauhusu barabara ya dodoma
 
El nino ipo?
Wanadai El-Nino ipo ya jua,sio ya mvua.Sasa kama El-Nino ya mvua hamna,hizo hela zilichukuliwa za nini?It is wastage.Na kumbe kulikuwa na hela kama hizo,kwa nini zisingetumika ku-solve our most pressing needs kama kupanua barabara ya Dar-Dodoma ambayo ni nyembamba sana,ipo congested na kiukweli inatia aibu sana?
 
Back
Top Bottom