Tuachane na mambo ya Lema
Tuachane na kifo Cha kaka yake Lissu
Twendeni road tukamkomboe Lissu
Endapo watamuukumu kumfunga tuingie barabarani
Huu utakuwa ni ujuwa Kama atahukumiwa halafu tubaki ndani na wahuni waendelee kula mvinyo
Leo kwake kesho kwako twendeni tukahesabiwe.
Wakuu;
Baada ya kutabiri sawia kabisa Samia kuwa Rais 2025.
Naona nipumzike siasa kwa muda mpaka 2030 tukijaliwa.
Wish you all mijadala yenye tija.
Mpaka tukikutana tena.
Wandugu hapa kuna maana kubwa sana kiroho.
Ndugu wa Lissu wasema hawamalizi matanga ya kaka yake Lissu aliyefariki .
wanapoamua kuhusisha msiba na kesi ya Lissu ni laana .
Kifupi roho ya marehemu itawasumbua viongozi wa Tanzania wasipokuwa makini.....
Ile ripoti kama haikumshauri mh rais na serikali yake, iwatibu wa majeruhi waliojeuliwa tarehe 25/10/2025, basi ile haikuwa tume ulikuwa ni "ushuzi" tu ulioundwa kupoteza muda wa watanzania.
Nimemwaga machozi baada ya kukutana na clip ya mtoto Anger kule the chanzo mtoto akilalamika kuanza...
Habari wakuu,
Kuna ndugu yangu anahitaji kuhama Kigamboni kwenda Riverside Ubungo.
Nitawapata wapi watu wanaofanya kazi ya kuhamisha watu kwa Kigamboni.
Tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitangaza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi kuhusu mauaji yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi. Tume hiyo iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman ilibaini kuwa watu 518 walipoteza maisha, wengi wao kwa majeraha ya risasi. Mwenyekiti wa Tume hio...
Wafanyabiashara wengi wanajitahidi kutafuta wateja na kukuza mitaji yao, lakini wanasahau hatua muhimu ya kuirasimisha biashara yao, ambayo ni kusajili jina la biashara kupitia BRELA.
ZIFAHAMU SABABU 5 MUHIMU ZA KUSAJILI JINA LA BIASHARA YAKO.
1. KUJENGA UAMINIFU KWA WATEJA
Biashara yenye...
Kuna baadhi ya watu wanaona kama vile CCM au Serikali yao inaonewa Kwa kutumiwa kuhusika na utekaji mfano mzuri suala lile la mabinti waliomaliza form iv walivyorecord na kutoa maneno ambavyo hayana maadili Serikali ilireact haraka kupitia waziri Gwajima na Sio tu hili mambo mengi ambavyo...
Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025.
Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya .
Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
Ukitaka kwenda kibiti na au mikoa ya kusini na unatokea morogoro au mikoa ya kaskazini na unataka kwenda lindi au mtwara au rufiji basi itakulazimu kwenda mpaka dsm ndo uende mikoa ya kusini rufiji, lindi na mtwara
Hii inconvinience ni kwa sababu kuanzia chalinze mpaka kibiti hakuna barabara ya...
Huu ni ushauri murua wa kiroho utakaokuzindua hisia
1. Kuwa mbinafsi na nguvu/nishati yako. Mimi
Ilinichukua miaka mingi kujifunza hili:
Acha kuwa entatain watu wanaokupa makombo tu.
Kilichokusudiwa kwa ajili yako hakitahitaji kutumia ili kije kwako, kwa hiyo ikiwa hakiendi vyema...
Ilianza kidogo kidogo tofaLi watu wenye uvivu wa ubongo wanasema tofaRi, Ligi wanasema Rigi, kengeLe wanasema kengeRe sasa wamefika mpaka kwenye "r"ugha ya civilization Reaction wanasema Leaction!
What next? Look kusemwa Rook, River kusemwa Liver na Rock kusemwa Rock?!
Moja kwa moja..
Zamani watu wa mikoani Kuja na kuwa na maisha Dar ilikuwa ndoto yao kubwa sana , Dar walikuwa wanaona kama 'New York City' 🌆 , mtu wa Dar ilikuwa ukipangiwa shule za mikaoni basi ukijulikana wa Dar wanakuona bonge la mtu na kuulizwa maswali mengi ya kuhusu Dar kutokana na shauku...
habarini... maisha hayaaa...
ninachokumbuka mzee alituangaliaaaa, akaniangalia na mimi pale sebuleni kisha akaingia chumbani,, hakutoka tena siku ile.
bimkubwa ameinama chini anafuta machozi.
sababu kubwa ni kuwa yule demu alikuwa ana mwili, thick, mrefu halafu alikuwa na umri mkubwa kuliko...
Kula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana.
Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili...
Damas Mgaya (38), mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amefariki dunia baada ya kukutwa amejinyonga ndani ya chumba chake kwa kutumia kamba ya kiatu, kufuatia madai ya mgogoro wa kifamilia.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, ACP Mahamoud Banga, amethibitisha kutokea kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.