sitosahau nilivyokolea kwa 'mwanamama' mpaka kumpeleke kwa wazee

zee_latown

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2026
Posts
677
Reaction score
1,234
habarini... maisha hayaaa...
ninachokumbuka mzee alituangaliaaaa, akaniangalia na mimi pale sebuleni kisha akaingia chumbani,, hakutoka tena siku ile.

bimkubwa ameinama chini anafuta machozi.

sababu kubwa ni kuwa yule demu alikuwa ana mwili, thick, mrefu halafu alikuwa na umri mkubwa kuliko mimi... alinizidi like 18 years... na walikuwa wanajuana na mama.. mimi sikujua before

kilichofuata tukaondoka kwa aibu wote... ila sikutaka kumuacha.. ndoa ikafeli.
imepita miaka mingi sana sasa. uzee umeshatia kambi
 
Kipi kilifanya utekwe na huyo Mama mtu mzima?

Ingekuwa amekuzidi miaka 5 hadi 10 sio mbaya, lakini iwe kwa mechi za kirafiki tu, sio kwenda kumtambulisha kama mpenzi wako/mke mtarajiwa

Niliwahi kudate Dada mzima, ambaye alinipita miaka 12 hivi ama zaidi, I was 29 and she was 41 or 42

Sitaki kurudi lile kosa, huwa wagumu kukuachia maana umri huo wewe una nguvu. Na Mwanaume mwenye nguvu anapendwa sana maana anafanywa machine
 
huenda ujanani tulikuwa na hulka sawa mzee mwenzangu
 
habarini... maisha hayaaa...
ninachokumbuka mzee alituangaliaaaa, akaniangalia na mimi pale sebuleni kisha akaingia chumbani,, hakutoka tena siku ile.

bimkubwa ameinama chini anafuta machozi.

sababu kubwa ni kuwa yule demu alikuwa ana mwili, thick, mrefu halafu alikuwa na umri mkubwa kuliko mimi... alinizidi like 18 years... na walikuwa wanajuana na mama.. mimi sikujua before

kilichofuata tukaondoka kwa aibu wote... ila sikutaka kumuacha.. ndoa ikafeli.
imepita miaka mingi sana sasa. uzee umeshatia kambi
Hii stori kama ni ya kweli aiseee Nimecheka sana kwenye Daladala ya kutoka haw Moro kwenda dumila
 
Wamama wanaachia mbunye balaa.mm kuna siku nilipata mechi ya kirafiki na mother hivi aliye nizidi na miaka 20 nanilipiga mbaya.
Sio wote lakini

Juzi kati niliona tukio la Kijana mmoja wa kama miaka 25 hivi akimwomba namba ya simu mshangazi kama wa miaka 57 ama 55

Yule mama alimind sana, pale pale akaanza kumshushia neno la Mungu yule Kijana

Ni maoni yangu kwamba, wenye hizo tabia ni wale wasiojiheshimu
 
Back
Top Bottom