sitosahau nilivyokolea kwa 'mwanamama' mpaka kumpeleke kwa wazee

sitosahau nilivyokolea kwa 'mwanamama' mpaka kumpeleke kwa wazee

habarini... maisha hayaaa...
ninachokumbuka mzee alituangaliaaaa, akaniangalia na mimi pale sebuleni kisha akaingia chumbani,, hakutoka tena siku ile.

bimkubwa ameinama chini anafuta machozi.

sababu kubwa ni kuwa yule demu alikuwa ana mwili, thick, mrefu halafu alikuwa na umri mkubwa kuliko mimi... alinizidi like 18 years... na walikuwa wanajuana na mama.. mimi sikujua before

kilichofuata tukaondoka kwa aibu wote... ila sikutaka kumuacha.. ndoa ikafeli.
imepita miaka mingi sana sasa. uzee umeshatia kambi
Mlimalizanaje naye huyo mshangazi?

18 yrs si anakuzaa huyo mkuu?
 
Sio wote lakini

Juzi kati niliona tukio la Kijana mmoja wa kama miaka 25 hivi akimwomba namba ya simu mshangazi kama wa miaka 57 ama 55

Yule mama alimind sana, pale pale akaanza kumshushia neno la Mungu yule Kijana

Ni maoni yangu kwamba, wenye hizo tabia ni wale wasiojiheshimu
Wasiojiheshimu ni wepi kati ya hao, mtu mzima aliyemind kutongozwa au yule yanki aliyevamia mtumbwi wa vibwengo?
 
habarini... maisha hayaaa...
ninachokumbuka mzee alituangaliaaaa, akaniangalia na mimi pale sebuleni kisha akaingia chumbani,, hakutoka tena siku ile.

bimkubwa ameinama chini anafuta machozi.

sababu kubwa ni kuwa yule demu alikuwa ana mwili, thick, mrefu halafu alikuwa na umri mkubwa kuliko mimi... alinizidi like 18 years... na walikuwa wanajuana na mama.. mimi sikujua before

kilichofuata tukaondoka kwa aibu wote... ila sikutaka kumuacha.. ndoa ikafeli.
imepita miaka mingi sana sasa. uzee umeshatia kambi
Nakumbuka nilikuwa na miaka 16 nikapata mpenzi wa kwanza, mdada mzuri sana, mi nikiwa F1 yeye alikuwa F4.
Ilikuwa siri yetu! Siku isiyo na jina Mzee aliniita na kuniambia huyo mwanamke wako ni mkubwa kuliko wewe, Ila sikumuacha.
 
✓Wamama wanaokubali kulala na hawa vijana wadogo
✓Vijana wadogo wanaodiriki kuwatongoza na kulala na wamama watuwazima
mzee mwenzangu.. tusifanye kana kwamba vijana wanakosea.. je, ni jinai kwa sheria? au kitamaduni ni mbaya? kwa tamaduni zipi ni kosa kijana kueleza hisia za mapenzi kwa mwanamke mtu mzima?
 
unashangaa huyo? kuna mmoja nilimuelewa.. nakumbuka alinizidi 35 years at the time... niliimbisha sana.. almost 1 month
Lakini baadaye si ulifanikiwa au alikupiga chini mazima?

Wanashida sana kutongozeka hao, sijui huwa wanajishitukia na macho ya watu!

Nadhani ukitumia kuwadi hawezi sumbua.
 
mzee mwenzangu.. tusifanye kana kwamba vijana wanakosea.. je, ni jinai kwa sheria? au kitamaduni ni mbaya? kwa tamaduni zipi ni kosa kijana kueleza hisia za mapenzi kwa mwanamke mtu mzima?
Kwa Mila na desturi zetu, sio jambo la kawaida Kijana mdogo kumlala Mama mtu mzima

Ni vile tulikuwa tunafosi tu

After all kwa kesi yangu, the difference was not big, 29 kwa 42 😅

Anyways, mavi ya kale hayanuki 🤪
 
Lakini baadaye si ulifanikiwa au alikupiga chini mazima?

Wanashida sana kutongozeka hao, sijui huwa wanajishitukia na macho ya watu!

Nadhani ukitumia kuwadi hawezi sumbua.
aah wapi... nilikula.. bao 3 za kibabe... all overnight... dah nimekumbuka mbali sana
 
Mimi Kuna mmoja wakati nipo shule ya msingi std 6 alikuwa ananivutia sana,sema yeye Rika moja na mama yangu mzazi.Kadri umri wangu ulivyosogea nilijikuta nikisisimka kila ninapokutana naye.
Nilipofikia umri wa kutosha,nikaanza kumuwinda,akajaa.Mpaka Leo tukikutana najipigia TU.Ila ndio tumeifanya siri kubwa.
Tangu mwaka 2006 nakung'uta tu
 
Kwa Mila na desturi zetu, sio jambo la kawaida Kijana mdogo kumlala Mama mtu mzima

Ni vile tulikuwa tunafosi tu

After all kwa kesi yangu, the difference was not big, 29 kwa 42 😅

Anyways, mavi ya kale hayanuki 🤪
14 yrs msichana anazaa, hivyo huyo ana umri wa mama, wala tusirembe rembe sana.
Sema nini kipendacho...!
 
Hivi huwa ni tatizo la kisaikolojia au kitu gani? Unawezaje kumtongoza mtu sawa na mama yako🙆‍♂️
 
14 yrs msichana anazaa, hivyo huyo ana umri wa mama, wala tusirembe rembe sana.
Sema nini kipendacho...!
Wanaume wakati mwingine tunakula kinachopatikana

Unamvizia Suzy Rika lako miezi inakatika bila jibu la kueleweka

Hapo nyumba ya jirani unaona Kuna Mama anakuita Kila siku umrekebishie dishi la tv yake huku anaigusa gusa bunduki yako

Ndiyo mwanzo wa hayo mahusiano ya gizani

All in all sio jambo zuri kwa maadili yetu
 
Back
Top Bottom