habarini... maisha hayaaa...
ninachokumbuka mzee alituangaliaaaa, akaniangalia na mimi pale sebuleni kisha akaingia chumbani,, hakutoka tena siku ile.
bimkubwa ameinama chini anafuta machozi.
sababu kubwa ni kuwa yule demu alikuwa ana mwili, thick, mrefu halafu alikuwa na umri mkubwa kuliko mimi... alinizidi like 18 years... na walikuwa wanajuana na mama.. mimi sikujua before
kilichofuata tukaondoka kwa aibu wote... ila sikutaka kumuacha.. ndoa ikafeli.
imepita miaka mingi sana sasa. uzee umeshatia kambi