Huu ujinga mpaka lini tujiandaeni kwenda road

Huu ujinga mpaka lini tujiandaeni kwenda road

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Tuachane na mambo ya Lema

Tuachane na kifo Cha kaka yake Lissu

Twendeni road tukamkomboe Lissu

Endapo watamuukumu kumfunga tuingie barabarani

Huu utakuwa ni ujuwa Kama atahukumiwa halafu tubaki ndani na wahuni waendelee kula mvinyo

Leo kwake kesho kwako twendeni tukahesabiwe.
 
😪😪😪🥺🥺😭😭😭😭 Wenye uthubutu waliuliwa wote 2025 na wengine,wengi wametekwa na wengine wako lockup😭😭😭☹️
 
Hichi ndio Lema kimemfanya abadili mbinu.

KIongozi kazi yake ni kutafuta majibu, amesema Lema ikiwa hata kwenye msiba mnaogopa kwenye mnakaa mtandaoni unategemea wao wanasiasa watafanya maajabu gani?

Lema vijana wa Arusha walimpa nguvu kwa sasa ni kiongozi wa kitaifa amegundua watanzania maneno mengi vitendo 0
 
Yafaa wananchi tufundishwe namna ya kutengeneza drones simpo simpo, policcm wenyewe huwa ni wajinga hawana akili, zitatusaidia sana kuwaangamiza!.
 
Back
Top Bottom