Trần Văn Hữu (Vietnamese: [t͡ɕən˨˩ van˧˧ hiw˦ˀ˥]; 9 March 1896 – 17 January 1984) served as president of Cochinchina's government from 1948 to 1949, and as Prime Minister of the State of Vietnam of the State of Vietnam from 1950 to 1952.
Habari za wakati huu,
Hapo eneo moja lililopo Dodoma mjini kuna Mama aliuziwa kiwanja miaka ya tisini huko kama sio mwanzoni mwa elfu mbili hivi.
Sasa akajenga kijumba kidogo cha kuanzia maisha kisha mambo mengine yatafuata mbele, na hapo mtaani eneo karibu lote wameuziwa viwanja/ mashamba na...
https://www.youtube.com/live/fgScnH9W6rA
TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) ULIOFANYIKA SEPTEMBA, 2026
UTANGULIZI
Katika Mkutano wake wa 173 uliofanyika tarehe 02 Novemba, 2026 katika ofisi za Baraza la Mitihani la Tanzania zilizopo Dar es Salaam, Baraza la...
Ushindi huu wa Simba sports club uende na nderemo na vifijo week hii nzima, tubishane sana na watani zetu, tutukanane kama kawaida yetu, kisitokee kitu chochote cha kisiasa kututoa kwenye reli.
Yani week hii nzima ni week ya kifootball kama kawaida yetu watanzania tujikite humo, hayo mengine ya...
Tuachane na mambo ya Lema
Tuachane na kifo Cha kaka yake Lissu
Twendeni road tukamkomboe Lissu
Endapo watamuukumu kumfunga tuingie barabarani
Huu utakuwa ni ujuwa Kama atahukumiwa halafu tubaki ndani na wahuni waendelee kula mvinyo
Leo kwake kesho kwako twendeni tukahesabiwe.
Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda. Rwanda yupo Kagame, Uganda yupo Museveni na pia Mtutsi.
Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya...
Moshi
Hatua ya Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)Moshi Manispaa kuanzisha mradi wa ushonaji nguo zikiwamo sare za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni hatua ya kupongeza.
Pia hatua hii ya kuanzisha mradi huo ni mfano wa kuigwa na Jumuiya zote za Chama Cha Mapinduzi (CCM),ikiwamo umoja wa vijana wa...
Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo maswali huwa muhimu kuliko majibu ya haraka. Kuna wakati wananchi hulazimika kutafakari si kwa sababu hawana imani na nchi yao, bali kwa sababu wanataka kuelewa kinachoendelea ndani ya mfumo wanaoutegemea kuwalinda.
Leo, swali kubwa si kuhusu nani...
TANZANIA tulipoanza kudai maendeleo katika nchi yetu, tulionjeshwa kidogo namna ya kuyaleta hayo maendeleo na yenye uchungu ndani yake, tulipewa brudoza, tingatinga, ambalo halikujali chochote chenye kutia hasara na ama kitacholeta uchungu badaye,
Bali ilikuwa wengine wote wakae kimya, brudoza...
1:Utaonekana mwerevu pale utakapo kuwa na kitu cha kuonesha, porojo za mdomoni ni sawa na mbwa koko kubweka tu.
2:hakuna mwanaume anayependa mwanamke mmoja, hakuna mwanamke anaye penda mwanaume asiye na kitu.
3:flashlights za dunia hii, zipo kukusherehekesha, ila kama huna plan ya maisha...
Katika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video zinazoonesha misa au ibada za kuwaombea Marehemu. Kama na wewe huwa unashiriki misa hizo, sikulaumu, nafikiri ni kwa kutokujua kwako ukweli huu:
Kuwaombea watu waliofariki ili Mungu awalaze mahali pema, ni kupoteza muda. Mtu akifa, sekunde...
Huu ndio ukweli asilimia 100% wamama ndio watunzaji wawatoto kwenye familia.
Wababa wao kazi zao kubwa nikuwapiga watoto na mama na kukimbilia kwa michepuko kuwahudumia .
Halafu wanaume wengi kutoa zamani wanapenda kutunzwa sana tu mwanamke anaamka asubuhi anaenda kutafuta chochote kitu ili...
Huu ni ujinga mkuu.
Mtoto wako unamsomesha international school huku ukilipa mamilion ya fedha huku ukimkosesha haki yake ya msingi ya elimu ya dini.
Humpeleki mdrasa halafu hapo hapo unajiona genius na umefanikiwa ktk maisha.
Jitafakari sana.
Ukifa mtoto wako ndio wa kukuombea dua, wa...
Habari wana JF. Mimi ni member wa muda mrefu ila kwa muda kidogo sikuwa nimeingia humu na bahati mbaya nikawa nimesahau Login details hivyo kunipasa kufungua Ac mpya.
Kuna kitu kinanipa maswali mengi kuhusu hii kitu inaitwa HIV. Niliwahi pita na mtoto mmoja wa kimbulu miaka ya 2020 wakati...
Hii ni Combination moja ambayo ni hatari sana inapotaka jambo lao. Kwa sasa hivi Dunia nzima inafuatilia kinachoendelea Israel na Usa.
Kuna swala zinafanyika sehemu mbalimbali za ibada za kuombea Netanyau asiendelee na Uongozi wake Israel kwa kuwa anatuumiza sana moyo na hasa tukio lake la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.