Huu ni ujinga mkuu.
Mtoto wako unamsomesha international school huku ukilipa mamilion ya fedha huku ukimkosesha haki yake ya msingi ya elimu ya dini.
Humpeleki mdrasa halafu hapo hapo unajiona genius na umefanikiwa ktk maisha.
Jitafakari sana.
Ukifa mtoto wako ndio wa kukuombea dua, wa kukutolea sadaka, kwenda kukuhijia kama hukuwahi kwenda.