ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Bila kuwa na katiba imara na yenye nguvu Lissu angekuwa bado anaropoka ujinga mitaani

    Mwanasiasa/mwanaharakati chunga sana mdomo wako, chama chako/hao wafadhiri wako ni wadogo sana kuliko nchi ya Tanzania. Tanzania ni kubwa kuliko chama chako kabla hujaongea jua kuwa Kuna Sheria, kama vile Sheria cybercrime act, 2015 na nyingine nyingi ambazo zipo kwaajili ya kulinda maadili...
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Huu ujinga mpaka lini tujiandaeni kwenda road

    Tuachane na mambo ya Lema Tuachane na kifo Cha kaka yake Lissu Twendeni road tukamkomboe Lissu Endapo watamuukumu kumfunga tuingie barabarani Huu utakuwa ni ujuwa Kama atahukumiwa halafu tubaki ndani na wahuni waendelee kula mvinyo Leo kwake kesho kwako twendeni tukahesabiwe.
  3. fact only

    JamiiForums Tanzania Ujinga mwingine nikudhani kila jambo unaweza kulitolea ufafanuzi

    Hellow wana JF. Hivi sasa kwenye jamii kunazidi kuibuka vijitabia vya mtu/watu kudhani kila jambo wanaweza kulizungumzia au kujadili hata kama hawana ujuzi wa jambo hilo(hata hapa JF kuna watu wanadhani wanaweza kuzungumzia kila jambo). Hivyo vijitabia vichafu chafu vinapelekea watu kutukana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unamsomesha mwanao international school, madrasa unamnyima?

    Huu ni ujinga mkuu. Mtoto wako unamsomesha international school huku ukilipa mamilion ya fedha huku ukimkosesha haki yake ya msingi ya elimu ya dini. Humpeleki mdrasa halafu hapo hapo unajiona genius na umefanikiwa ktk maisha. Jitafakari sana. Ukifa mtoto wako ndio wa kukuombea dua, wa...
  5. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania Dar Kuna ujinga mingi sana! Yaani ni ujinga

    Dar e es salaam usiku. Ben. R. Mtobwa
  6. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Ukishazaliwa afrika unatambulishwa katika ujinga. Katika usawa huu wa Elon Musk na magari ya kupaa sisi tuna Doto Magari na yule dada wa toa duku duku

    Hakuna vitu positive na kuntu katika taifa hili, watu wenye stori chanya na impact kabambe wanawekwa kapuni ila sasa wale wehu wehu ndio wanapewa airtime ni video tu za wadada wenye makebo na matusi ya dotto magari na chawa wa upande ule
  7. polokwane

    JamiiForums Tanzania Haya yanayoendelea Nchini ya mauaji,utekaji,wizi, ubadhirifu pamoja ujinga wot uliopo sasa, hata mimi ningekuwa DR.NCHIMBI lazima ningeshukia njiani.

    Ukikusanya maujinga ujinga yote yaliopo ndani ya serikali hii ya huyu mama kwa sasa ukajumlisha na ujinga wa hawa wakina makonda na machawa wenzao wanao pita pita huko kujisafisha kwa wananchi wajinga wenye uelewa mdogo, ilikuwa ngumu sana kwa mtu smart kama Dr.Nchimbi kuendelea kufanya kazi...
  8. USSR

    JamiiForums Tanzania Uingereza hakuna gazeti linaloitwa THE NATIONAL VOICE wala hakuna Tovuti ya The national voice.uk.co ni ujinga kuamini

    Moderators naomba uzi wangu usitolewe hadi pale nyie jamiiforums mtakapo niletea ukweli juu ya uongo wa kina mchungaji Bandikile wa kutengeneza gazeti bandia na kulipa tuhuma nzito serkali yetu hasa rais wetu kuhusika katika kashfa za kijinga zilizotajwa kwenye gazti hilo la uongo [Fake...
  9. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

    Bwana nyie wakuu habari zenu, nimekutana na scennario moja very very funny japo ni serious kwa upande mwingine. Katika makujumu yangu ya hapa na pale, nika come accross mteja, ambaye mimi pasipo kukusudia nikajikuta tume exchange numbers. Ni juzi juzi tu kama wiki 2 zimepita ambapo mpaka...
  10. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si Ujinga, hivi huyu Yericko anayedandia ubini wa Nyerere wazazi wake na ndugu zake wanajisikiaje?

    Nimejikuta nawaza kama mzazi umezaa mtoto umemlea kwa kadiri ya Mungu alivyokujalia, mara mtoto anakuwa anajiingiza kwenye maisha ya utapeli na kulikana jina la ukoo wako wewe kama Baba mzazi utajisikiaje? Wapo watoto wa ukoo wenye jina lao la Nyerere na hawashoboki nalo mfano mtoto wa kike wa...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga CCM kujivunia kumiliki dola

    Katika miaka 65 ya utawal wake sifa na majivuno ya CCM haikupaswa kuwa kumiliki dola na majeshi yake na kuwapakiza wanachama wake masikini kwenye mabasi kuhudhuria mikutano ya chama chao. Katika miaka 65 ya kuwepo madarakani wastani wa kipato cha Watanzania ni duni sana kwa wastani wa $1,300...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kutangaza nchi kwa kutumia jina Samia badala ya Tanzania!

    Karibu Tanzania eti na picha sa Samia badala ya picha za vivutio kama mbuga na sehemu za utalii. Mama hauziki wazungu wengine wakiona picha ya Mama ndiyo hawaji kabisa
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha ujinga nani anacho?

    UCHAWA ni kusifia Ujinga na kuukataa ukweli,nani mwenye kipimo cha ujinga?
  14. Samatime Magari

    JamiiForums Tanzania 🛣️Barabarani sio kila vita lazima ushinde na Upole Sio Ujinga..

    Sometime unakua mpole tu unaacha watu wanapita wanaenda Maisha yanaendelea. Sio wewe kila saa ni ubishi jamaa akisogeza gari na wewe unasogeza. kiongeza speed na wewe unaongeza eti unakaza/unabana sio sawa upole kiasi sio ujinga. . Na mpaka nasema haya nilishuhudia ajali moja ya isiyo ya lazima...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kutokujua Kingereza kumeongeza ujinga na uduni wa fikra kwa Watanzania

    Lazima tukubali ukweli kwamba Waswahili na Wabantu hatuna historia kubwa kuu ya kale kihivyo na kwa hiyo hatuna mengi ya kujifunza, kuchangamsha na kuimarisha misuli ya bongo zetu kutoka kwenye historia yetu na tamaduni zetu wenyewe na kati yetu. Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa tunahitaji...
  16. Mwakikusi

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakiolewa na kuzoea ndoa wanakuwa na jeuri

    Kwa muda mrefu nimeshuhudia na kujionea (personally) wanawake wakiolewa na kuzoea ndoa wanakuwa na jeuri. Hawaandai chakula vizuri,wanapika kwa kujivuta mfano,chai saa 5,lunch saa 9,dinner saa 3 usiku.Na wengi wao wakija wageni wanawahudumia kuliko mume,na ndugu zake anawaheshimu mpaka kusahau...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wana CCM kama sio waoga wamuachie Balozi Nchimbi azungumze badala ya kumshambulia akiwa amefichwa

    Wana CCM kuibuka kumshambulia Nchimbi huku yeye mwenyewe akiwa hawezi kujitetea ni ishara ya uovu, uoga na ujinga mkubwa sana. Kubwatuka, kutokwa povu na kujitamba dhidi ya mtu ambaye amefungwa kusema na kujitetea mwenyewe ni uoga wa kiwango cha juu sana, ni kutojiamini. Nchimbi aachiwe afanye...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hata kujinunulia Vocha hawezi alafu analazimisha akushauri. Ujinga mtupu!

    MWANAMKE HATA KUJINUNULIA VOCHA HAWEZI ALAFU ANALAZIMISHA AKUSHAURI. UJINGA MTUPU! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nyie dada zangu. Nilishawaambia mfanye kazi. Baadhi yenu bado vichwa ngumu. Hamtaki kujishughulisha. Alafu ninyi ninyi ndio wakwanza kulalamika waume zenu hawawasikilizi...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tukiondoa Huu Ujinga wa Kudhaminiwa na Chama cha Siasa, 2030 Akisimama Kama Mgombea Huru, Hakuna Mtu Atashindana Naye. Rais Bora ni Kutoka CCM Pekee!

    Wanabodi Kwanza nitangulize kuomba radhi kwa kusema samahani kwa shurti la udhamini wa chama cha siasa kugombea uongozi wa umma,mimi kuuita ni ujinga!. Kiukweli kitu ambacho ni cha kijinga kweli kukiita ni ujinga,ni halali...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Binadamu hawakutoka kwa nyani au sokwe. Huu ni ujinga au uzushi uliosambaa sana

    Sijui ilikuaje huu ujinga wa kuamini Sayansi inasema binadamu tulitoka kwa nyani au sokwe kukita mizizi sana kwenye vichwa vya watu wengi wanaoamini binadamu waliumbwa. Sayansi kupitia nadharia ya evolution haisemi binadamu waliwahi kuwa nyani au walitokana na nyani. Evolution inasema binadamu...
Back
Top Bottom